Kamati ya Migodi na Nishati ya Bunge la Zimbabwe imeeleza kuwa itamwita Rais wa zamani wa nchi hiyo, Robert Mugabe kufafanua kuhusu upotevu wa almasi yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 15...
Uingereza yakataa kushirikiana na Marekani katika mashambulizi dhidi ya Syria
Gazeti moja la Uingereza limefichua kwamba, Waziri Mkuu wa nchi hiyo amekataa ombi la Rais wa Marekani la kushiriki...
The stupid, it burns: Florida State Rep. Kimberly Daniels thanks God for slavery, claiming “if it wasn’t for slavery, I might be somewhere in Africa worshipping a tree.”
Who is Brazil's ex-president Lula?
He was once a president celebrated abroad and loved at home. Now he is a convicted criminal. Brazil's Luiz Inacio Lula da Silva's life is in shambles.
In...
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa
Kama kichwa cha habal kinavyo someka hapo juu
Kwa mda mrefu sasa nimekuwa team iran ayatorah lakin leo nahama rasimi nahamia team netanyau
sababu...
Rais Donald Trump ameiambia nchi ya Urusi kwamba ijiandae maana Marekani itashambulia nchi ya Syria kwa makombora mapya
Marekani imeazimia kuishambulia Syria baada ya kuituhumu serikali ya nchi...
Rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe bado ameshikilia funguo za ikulu ya rais, ikiwa ni miezi minne tokea kulazimishwa kujiuzulu, anadai aliyekuwa msemaji wake mkuu George Charamba, ambaye...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangza idhini ya kuiuzia Qatar makombora 5000 yenye thamani ya dola milioni 300 huku mgogoro baina ya nchi hiyo ndogo na Saudia ukizidi kutokota.
Katika...
By Kylie Kiunguyu on April 10, 2018 — Ethiopian Airlines has signed a memorandum of understanding with the prominent South African Aerospace Manufacturing Company, Aerosud Holdings, to establish a...
Kasisi wa kanisa katoliki amepigwa risasi na kufa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo.
Vyanzo vya habari kutoka Kaskazini mwa jimbo la Kivu vimearifu kuwa Padri Étienne Nsengiunva...
Watu wasiopungua 181 wamefariki nchini Algeria baada ya ndege ya kijeshi kuanguka karibu na kituo chandege cha Boufarik nje ya mji mkuu wa Algiers
Taarifa zinaeleza kuwa ndege hiyo ilikuwa...
Taarifa ya wizara ya Ulinzi ya Urusi imethibisha kwamba Israel ndio iliyotekeleza shambulio la makombora dhidi ya uwanja wa ndege wa Syria.
Kwenye taarifa hiyo imeelezwa kwamba ndege mbili za...
Najua Tz tunaongoza kijeshi AFRIKA MASHARIKI NA KATI, ila Nina shida ya kujua kati ya mataifa haya mawili, maana kila moja linadai kuwa zaidi ya mwenzie
Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza mwafrika wa Afrika Kusini(hayati Nelson Mandela), Bi. Winnie Mandela amefariki leo Jumatatu mchana akiwa na umri wa miaka 81 jijini Johannesburg...
- Kisiwa hiki pamoja na nchi nyingine nne zimegraduate kutoka katika viwango vya nchi masikini kabisa kwa Mujibu wa Viwango vya UN.
-Kwa Mujibu wa UN news Center nchi nyingine ni Kiribati,Bhutani...
Majaji wawili wa Mahakama ya Katiba nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamejiuzulu kwenye nafasi zao, na kusalia majaji sita badala ya tisa katika Mahakama hiyo.
Jaji mmoja alifariki dunia...
Aman iwe nanyi wapendwa
Husika na kichwa cha habal jabo juu
Mimi nasikitishwa sana na hawa ndugu zetu wa kitabu cha khaki, kitabu kisichokuwa na shaka ndan yake kuanzisha uadui na iran muisilam...
Photo and info re Chuck Valentine Ezeh, a Nigerian Drug Lord based in Kuala Lumpur, Malaysia. He has put 5 Indonesian women in prison in Hong Kong for drug trafficking. Photo and info and letter...
Likiwa bado sakata la uchunguzi wa rais wa Us likiendelea kupamba moto, hatimaye wakili binafsi na wa muda mrefu kabisa wa Donald trump Michael Cohen amejiwa katika ofisi zake na F.B.I ambapo...