Mtoto wa kwanza wa rais wa Guinea, Ahmed Sékou Touré pamoja na Mkewe washtakiwa kwa tuhuma za kumfanya mtumwa Msichana mmoja kwa miaka 16
Mohamed Touré pamoja na Mkewe Denise Cros-Touré, wote...
Jeshi la Anga la Saudia (RSAF) limemuua kiongozi mwandamizi wa pili toka juu wa kundi la waasi wa Yemeni (Houthis) aliyekuwa akiitwa Saleh al-Sammad. Saleh al-Sammad pamoja na mabodigadi wake 6...
MALAWI: Jeshi la Polisi limetoa kauli ya kuruhusu maandamano ya kesho ya wananchi ya kuipinga Serikali, limesema ni haki kwa wananchi kuandamana.
Lakini limetaka wananchi watakaondamana...
Mapema wiki hii China ilitangaza kulipa kisasi kwa kuziongezea ushuru bidhaa za vyakula na kinywaji toka Marekani kwa 25%.
Baada ya hatua hiyo Sasa Marekani imeamua kurusha kombora lingine kubwa...
Mfalme Mswati wa Swaziland, King Mswati III ametangaza kubadili jina la nchi hiyo na sasa itaitwa King of eSwatini ikimaanisha Ufalme wa eSwatini.
Mfalme huyo ametangaza mabadiliko ya jina hilo...
Mchumba wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini, Bi. Nonkanyiso Conco(24) amelazimika kuacha kazi katika taasisi(kampeni) ya 'She Conquers' baada ya taasisi hiyo kumtaka afanye hivyo sababu haitaki...
Nchi za Marekani, Uingereza na Ufaransa zimeshambulia nchi ya Syria mapema asubuhi ya leo ikiwa ni kulenga sehemu kadhaa za serikali zenye kuhifadhi silaha za kemikali
Shambulio hilo ni juu ya...
Waziri Mkuu wa Armenia, Serzh Sargsyan ajiuzulu baada ya maandamano ya takribani siku 11 aliyojumuisha wananchi pamoja na wanajeshi.
Wafuasi wa upinzani walikuwa wakimtuhumu Bwana Sargsyan...
Leo ni MAOMBI NA MAOMBEZI rasmi kwa wakazi wa Dar-es-salaam
Kwa mahitaji mbalimbali piga simu 0755203300
NA ili kuunganishwa na groups la MAOMBI NA MAOMBEZI AFRICA Tuma neno NIUNGE kwenda whatsup...
Viongozi wa kijamii katika mji wa Rajasthan nchini India wanasema mtu mmoja ambaye ni muislam ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaoamini ng'ombe kuwa mungu wao.
Ummar Khan alikua akisafirisha...
Bunge nchini Zimbabwe limesema kuwa Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ametakiwa kufika mbele ya bungeni mapema mwezi ujao kujieleza kuhusu “kutoweka kwa almasi zenye thamani ya dola...
Kim Jong-un is set to become the first North Korean leader to cross into South Korean territory since the end of the Korean War in 1953, as final details are put in place for the summit.
South...
RWANDA: Serikali yafungia maelfu ya makanisa na mamia ya misikiti huku ikiandaa mkakati wa kudhibiti uanzishwaji wa nyumba hizo za ibada
> Rais Kagame akizungumzisa suala hilo amesema kuwa...
Raisi wa 41 wa USA George Bush (93) yuko ICU siku chache baada ya kumpoteza Mkewe. Mke wake, Barbara Bush alifariki akiwa na umri wa 91 na walikuwa wameoana kwa miaka 73.
=======
Former...
April 23, 2018
Toronto, Canada
Police in Toronto say they have arrested a male suspect after a white van mounted a curb in the city’s north end, killing 10 people and injuring 15 others.
Deputy...
Kiongozi wa Korea kaskazini atangaza rasmi kusitisha majaribio ya nyuklia na makombora ya masafa marefu na kwamba NK itafunga sehemu zote ambazo zinatumika kujaribia silaha hizo.
Rais wa Marekani...
Mke wa Mwanamfalme wa Uingereza (Prince William), Bi Kate Middleton amejifungua mtoto wa kiume leo tarehe 23 Aprili 2018.
Mtoto huyo ni mtoto wao wa 3 baada ya Prince George and Princess...
KOREA KASKAZINI: Basi limepinduka na kuua watu 36 wakiwemo Watalii kutoka China 32 na Wenyeji wa Korea Kaskazini 4
> Ajali hiyo imetokea katika jimbo la Hwanghae lililoko Kaskazini mwa nchi hiyo...