International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Korea ya Kaskazini imeionya U.S Kuhusu la shinikizo lake la Kijeshi Juu yake. Wizara ya Mambo ya nje N.K imesema kuwa kuwa Marekani huenda ikateteresha Amani katika Peninsula ya Korea endapo...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Wasafiri mpoooo?????? Kusafiri ni moja ya hobby ambayo wengi wetu tunayo.Zipo sababu nyingi za watu kupenda kusafiri zikiwemo Utalii,Kutafuta fursa za kibiashara,Masoko na burudani tu.Kwa...
1 Reactions
0 Replies
679 Views
Yasemekana kati ya ndege (Eurofighter) 128 za Ujerumani ni ndege 4 tu ndio zipo tayari kwa kuruka kipindi cha vita. Hali inayofanya jeshi la Ujerumani kuwa dhaifu upande wa anga kujilinda. Hayo...
4 Reactions
55 Replies
6K Views
Nchi ya Saudi Arabia imeamua kuruhusu ujenzi wa makanisa baada ya kusainiwa kwa makubaliano kati ya viongozi wa Wahhabi na Kadinali wa Vatican. - Makubaliano hayo kati ya Rais wa Baraza la...
3 Reactions
15 Replies
8K Views
ISRAEL imejitoa katika mbio za kuwania kiti cha ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya kuona uwezekano wa kushinda ni finyu japo kuna nafasi mbili wazi na wagombea walikuwa ni...
5 Reactions
62 Replies
6K Views
Rouhani :U.S watapata Majuoto ya Kihistoria Kiongozi wa Iran Hassan Rouhani Amesema Marekani watajuta endapo wataamua kuutupilia mbali mkataba wa Nyuklia wa mwaka 2015 amesema wako tayari...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
KREMLIN, URUSI: Rais Vladimir Putin aapishwa kuendelea kuliongoza Taifa hilo baada ya kushinda Uchaguzi Mkuu mwezi machi 2018 > Sherehe za kuapishwa kwake zinafanyika katika ukumbi wa Andreyevsky...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Pakistan, Ahsan Iqbal ajeruhiwa kwa risasi wakati akiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika eneo la Mashariki mwa Jimbo la Punjab > Waziri huyo amejeruhiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
HAWAII: Moja kati ya Volkano hai Ulimwenguni yalipuka na kuharibu nyumba 26. Lava zaidi ya mita 100 hewani > Zaidi ya watu 1,700 wamelazimika kuondoka katika eneo hilo na wanapaswa kukaa mbali na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Takribani watu 10 wamefariki dunia na wengine 29 kujeruhiwa baada ya kutokea kwa mlipuko wa bomu katika Msikiti mmoja Mashariki mwa Afghanistan > Mlipuko huo umetokea wakati Watu wakiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tukio nadra sana angani, la kutokea kwa upinde unaofanana na ndimi za moto, lilitokea katika anga la Singapore na kuwasisimua sana wakazi. Upinde huo ulidumu kwa takriban dakika 15 na ulionekana...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Mali za kanisa Yerusalemu zataifishwa MUUNGWANA BLOG / 1 day ago Serikali ya Israel yataifisha mal ina milki za kani Yerusalmeu Mashairiki katika eneo linalokaliwa kimabavu. Israel inajaribu...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Tembea uone. By the way naheshimu sana mila za watu nawezka hili wazi kabisa. Ila kuna mengine da!! wenyeji wangu hapa nilipo ukialikwa kwenye msiba jiaandaee. Mwili unatolewa Mochwali na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hawaii yakumbwa na Kimbunga pamoja na volkano Kisiwa kikubwa cha Hawaii kimepigwa na kimbunga kinachotajwa kuwa kikali taangu mwaka 1975. Kimbunga hicho cha kipimo cha ritcha 6.8 kimewafanya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yaarifiwa kwamba North Korea imekubali kuharibu makombora yake ya masafa marefu (ICBM) na pia kuharibu kabisa silaha zake za Nyuklia. Vyombo vya habari vya Japan vinaarifu kwamba kundi la...
2 Reactions
82 Replies
6K Views
Waziri Mkuu wa Israel Muda mfupi uliopita ametoka kuelezea mpango wa Siri wa kutengeneza silaha za Nyuklia ambao unatekelezwa na Iran. Atoa ushahidi wa picha na mafaili mengine ambayo...
1 Reactions
106 Replies
11K Views
Wapalestina hawajawahi watakia mema wayahudi wala Israel acha wadundwe tu! Palestinian Mufti of Jerusalem, Amin al Husseini, warmly welcomed by Hitler and other Nazi officers in 1941. This...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Waasi wa Syria wasalimisha silaha zao kwa serikali Waasi nchini Syria wanaendelea kwa siku ya pili leo kusalimisha silaha zao nzito nzito kwa serikali kufuatia makubaliano ya kuihama miji ya kati...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekua nikijiuliza hili swali, Wakoloni Waingereza walibagua sana watu waliowatawala, hasa Afrika kwetu na India na hata masalia ya Ubaguzi bado yapo lkn cha ajabu walivyotawala sehemu ya Uchina...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Korea Kaskazini Imewaachilia Huru wafungwa Watatu Raia wa Marekani wenye Asili ya Korea waliokuwa wakishikiliwa nchini humo kwa Tuhuma Za Upelelezi Wafungwa hao wataruhusiwa kurudi Marekani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…