SINGAPORE: Upinde nadra wa mvua wasisimua wakazi

The Certified

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
910
773
Tukio nadra sana angani, la kutokea kwa upinde unaofanana na ndimi za moto, lilitokea katika anga la Singapore na kuwasisimua sana wakazi.

Upinde huo ulidumu kwa takriban dakika 15 na ulionekana kote katika kisiwa hicho
1.jpg
2.jpg
3.jpg

Taarifa za habari zinaashiria kwamba huenda ulitokana na miali ya jua kuchepuzwa au kupindishwa na chembechembe za barafu kwenye mawingu.

Wengine wanasema huenda ilitokana na kutawanyishwa kwa miali ya jua na matone ya maji angani.
Fazidah Mokhtar, anayefanya kazi katika kituo kimoja cha kuwahudumia watoto, aliambia BBC kwamba alianza kuuona upinde huyo mwendo wa saa kumi na moja na dakika kumi jioni Jumatatu.

"Ulianza kama mdua mdogo wa rangi ya machungwa kisha ukawa mkubwa na mkubwa hadi marangi yote ya upinde yakaonekana. Ulidumu kwa dakika 15 hivi kisha ukaanza kufifia pole pole na kisha kutoweka."

Alisema "watoto shuleni, baadhi ya wazazi, na wafanyakazi pia, walifurahia sana upinde huo na kusema ni tukio la kupendeza sana."
 
Tukio nadra sana angani, la kutokea kwa upinde unaofanana na ndimi za moto, lilitokea katika anga la Singapore na kuwasisimua sana wakazi.

Upinde huo ulidumu kwa takriban dakika 15 na ulionekana kote katika kisiwa hicho View attachment 472722 View attachment 472723 View attachment 472724
Taarifa za habari zinaashiria kwamba huenda ulitokana na miali ya jua kuchepuzwa au kupindishwa na chembechembe za barafu kwenye mawingu.

Wengine wanasema huenda ilitokana na kutawanyishwa kwa miali ya jua na matone ya maji angani.
Fazidah Mokhtar, anayefanya kazi katika kituo kimoja cha kuwahudumia watoto, aliambia BBC kwamba alianza kuuona upinde huyo mwendo wa saa kumi na moja na dakika kumi jioni Jumatatu.

"Ulianza kama mdua mdogo wa rangi ya machungwa kisha ukawa mkubwa na mkubwa hadi marangi yote ya upinde yakaonekana. Ulidumu kwa dakika 15 hivi kisha ukaanza kufifia pole pole na kisha kutoweka."

Alisema "watoto shuleni, baadhi ya wazazi, na wafanyakazi pia, walifurahia sana upinde huo na kusema ni tukio la kupendeza sana."
read about BLUE BEAM PEOJECT utajua hayo yote...it is a highly technological idea to blasphem the world and cheat people that messiah is about to come...
 
It involves two things. A technologically simulated "second coming" and the reemergence of new "MONTAUK type projects that have the ability to take up a whole bunch of people as in a "rapture" type of situation and whisk the whole bunch into never-never land.

Ironically, portions of the holographic projections have the potential for changing the planet into oneness with God. Unfortunately, this operates on the premise that Man shall somehow become God in human form and control other Men and dictate all actions and thoughts.
 
mbona ya kawaida haya kwa sie tuliokulia porini, au vijijini, sema ndo hatukuwa na uelewa, lakini ni mambo ya kawaida kabisa
 
Back
Top Bottom