Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,311
- 12,202
Yasemekana kati ya ndege (Eurofighter) 128 za Ujerumani ni ndege 4 tu ndio zipo tayari kwa kuruka kipindi cha vita. Hali inayofanya jeshi la Ujerumani kuwa dhaifu upande wa anga kujilinda.
Hayo yamesemwa na gazeti la Spiegel ingawa waziri wa ulinzi wa Ujerumani kakubali ni kweli baadhi ya ndege zina matatizo huku akigoma sema idadi halisi ya ndege zilizo tayari kwa vita .
Ndege nyingine zipo hoi kutokana na matatizo ya kiufundi pamoja na upungufu wa mabomu. Matatizo hayo yanatokana na upungufu wa vifaa kwenye jeshi la ujerumani, huku ndege 10 zikionekana zina matatizo kwenye mifumi ya uendesheji wake pamoja na upande wa upozaji na uwezo wa kutambua ndege za adui.
Matatizo yanaweza fanyiwa kazi lakini maengineer wanashindwa pata vifaa kutokana na watengenezaji wake kusitisha uzalishaji wa vifaa. Huku ikikadiriwa jeshi la ujerumani linaweza ziwekea mabomu ndege 4 pekee.
My Take:
Lakini ujerumani ndio anaangaliwa mchango wake kwenye kuilinda EU baada ya UK kuamua kujitoa, hii inawaweka wapi hawa wababe wa zamani!?.
Luftwaffe ni jeshi la 4 kiukubwa EU baada ya UK, France na Italy
Luftwaffe 'down to four' combat-ready Eurofighters out of 128, as pressure builds over weak defence spending