Israel na mbinu ya kuwatimua wakristo Jerusalem

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
6,752
Reaction score
4,974
Mali za kanisa Yerusalemu zataifishwa

MUUNGWANA BLOG / 1 day ago

Serikali ya Israel yataifisha mal ina milki za kani Yerusalmeu Mashairiki katika eneo linalokaliwa kimabavu.

Israel inajaribu kutaifisha mali za kanisa Yerusalemu kwa kulazimisha malipo makubwa ya ushuru.

Katibu mkuu wa tume ya kiislamu na ukristo ya kuunga mkono Yerusalemu na miji mitakatifu Hanna Isa amefahamisha kuwa kiwango cha dola milioni 191 za ushuru zinatakiwa na serikali.

Serikali ya Israel inaomba kiwango hicho cha kodi licha ya kutambua kuwa kiwango hicho kanisa hailina uwezo wa kulipa kiwango hicho.

Isa aliendelea kusema kuwa Israel inajaribu kutaifisha mali za kanisa jii Yerusalemu.

Miongoni mwa mali zinalengwa na Israel kutaifishwa na pamoja na mashamba, vituo vya biashara, shule, hospitali na milki nyingine.

Kwa mujibu wa Isa , Israel kumalizika kodi hiyo ni kuwalamisha wakristo kuondoka Yerusalemu.
 
Hiki ni kiswahili?
 
Hayo makanisa ya kikatoliki hata siku moja hatajawahi kuwa upande wa Israel.Sasa kwanini Israel ishirikiane nayo?
 
Huyo yesu hawamtambui lakini wakristo huwaambii kitu kwa waisrael wanawaita wateule wa mungu wakati huyo mungu mwenyewe hawamkubali.
Haya mambo huyajui! Umekaririshwa na watu ambao nao pia hawana weledi na maswala haya. Wakisikia 'Wayahudi' wanachukulia dini ya Kiyahudi ndiyo kabila la Wayahudi! na wakidhani kwamba hakuna Wayahudi kwa kabila ambao ni Wakristo! Umbumbumbu wa kiimani! Wala hawajui kilichotokea baada ya Wayahudi, au Waisrael kuwa na Falme mbili, ya Yudea na Israel ambao wote hawa ni Wayahudi. Wakati wa harakati za kupigania Uhuru kuutoa utawala wa Kirumi ufalme mmoja haukuunga mmoja harakati hizo na hivyo Warumi wakausapoti na kujumuika nao kwenye swala la imani na ndiyo wakasaidia kueneza ukristo na upande wa pili (Yudea) wakaamua kuukataa hata ukristo kwa sababu waliona wamewasalitiwa na Wayahudi wenzao wa upande wa ufalme wa Israel kwa kuunga mkono Warumi hivyo wakaamua Mfalme wao ndiye Masihi wao na kuamua kumkana Yesu. Hawa wote ni Wayahudi, uwepo wa dini ya kiyahudi na kikristo haimaanishi kuwa Wakristo wa huko si Wayahudi! Kukaririshwa mambo ni janga! Kuna watu hawataki kabisa kusikia kitu Myahudi wakati huohuo anakubali kuwa kina Ibrahim, Yusufu, Yesu (Issa) ni Manabii lakini hawajui kuwa wote hawa ni Wayahudi! Hawa ndiyo wanaokubali kuwa Yesu (Issa) ni Nabii lakini hawafuati mafundisho yake! Unashindwa kujua watu wa dizaini hii neno NABII wanalichukuliaje? Nimalizie kwa kukuhurumia, unapokataa kuwa Waisrael siyo wateule wa Mungu, ilikuwaje Manabii unaowakubali hata wewe watoke kwenye Taifa hilo? Kina Musa, Ibrahim, Yusufu, Daudi, Suleiman, Osaka nk (Hakuna Mwarabu kwenye orodha hii ukiachilia mbali waliojipachika karne 6 baadaye lakini kwa kutumia yaleyale yaliyomo kwenye biblia - km Torati, Zaburi nk). Au jiulize, ilikuwaje mwaka 1967 Waisrael waliwapiga Waarabu wote kwa vita ya siku 6, Waarabu wakitumia vitabu vyao na Waisrael wakitumia kitabu chao?
Thanks for coming to my aid. Wayahudi wanatoza Makanisa na Misikiti kodi kubwa ili washindwe kujiendesha na kuondoka. Hali synagogues hazilipishwi kodi

Mungu mkubwa
 
Wale hawapendi ukristo, na ndiyo MAANA wakamuua masihi Yesu Kristo, ambaye tunakumbuka kifo chake katika majira haya.
 
Huyo yesu hawamtambui lakini wakristo huwaambii kitu kwa waisrael wanawaita wateule wa mungu wakati huyo mungu mwenyewe hawamkubali.

Hawajasoma maandiko KUWA WAISRAEL walimkana Yesu ambaye ndiyo njia na uzima yeyote hawezi kumfikia Mungu bila kupitia kwa Yesu. Hivyo wakapoteza uteule wao na kupewa watu wa mataifa kama mtume Paulo.
 
Haya mambo huyajui! Umekaririshwa na watu ambao nao pia hawana weledi na maswala haya. Wakisikia 'Wayahudi' wanachukulia dini ya Kiyahudi ndiyo kabila la Wayahudi! na wakidhani kwamba hakuna Wayahudi kwa kabila ambao ni Wakristo! Umbumbumbu wa kiimani! Wala hawajui kilichotokea baada ya Wayahudi, au Waisrael kuwa na Falme mbili, ya Yudea na Israel ambao wote hawa ni Wayahudi. Wakati wa harakati za kupigania Uhuru kuutoa utawala wa Kirumi ufalme mmoja haukuunga mmoja harakati hizo na hivyo Warumi wakausapoti na kujumuika nao kwenye swala la imani na ndiyo wakasaidia kueneza ukristo na upande wa pili (Yudea) wakaamua kuukataa hata ukristo kwa sababu waliona wamewasalitiwa na Wayahudi wenzao wa upande wa ufalme wa Israel kwa kuunga mkono Warumi hivyo wakaamua Mfalme wao ndiye Masihi wao na kuamua kumkana Yesu. Hawa wote ni Wayahudi, uwepo wa dini ya kiyahudi na kikristo haimaanishi kuwa Wakristo wa huko si Wayahudi! Kukaririshwa mambo ni janga! Kuna watu hawataki kabisa kusikia kitu Myahudi wakati huohuo anakubali kuwa kina Ibrahim, Yusufu, Yesu (Issa) ni Manabii lakini hawajui kuwa wote hawa ni Wayahudi! Hawa ndiyo wanaokubali kuwa Yesu (Issa) ni Nabii lakini hawafuati mafundisho yake! Unashindwa kujua watu wa dizaini hii neno NABII wanalichukuliaje? Nimalizie kwa kukuhurumia, unapokataa kuwa Waisrael siyo wateule wa Mungu, ilikuwaje Manabii unaowakubali hata wewe watoke kwenye Taifa hilo? Kina Musa, Ibrahim, Yusufu, Daudi, Suleiman, Osaka nk (Hakuna Mwarabu kwenye orodha hii ukiachilia mbali waliojipachika karne 6 baadaye lakini kwa kutumia yaleyale yaliyomo kwenye biblia - km Torati, Zaburi nk). Au jiulize, ilikuwaje mwaka 1967 Waisrael waliwapiga Waarabu wote kwa vita ya siku 6, Waarabu wakitumia vitabu vyao na Waisrael wakitumia kitabu chao?

Umetoa maelezo mengi na simulizi ndefu. Lkn hujatumia msahafu wowote kuonesha such kuthibitisha hayo unayoongea. Nilitegemea nione mistari ya kwenye Quran au biblia inayounga mkono hoja yako. Usipofanya hivyo hakuna atakaye sadiki, ataona ni mtazamo au mawazo yako.
 
Hayo makanisa ya kikatoliki hata siku moja hatajawahi kuwa upande wa Israel.Sasa kwanini Israel ishirikiane nayo?
Hivyo makanisa mengine yamesamehewa kodi sio..?

Au mtoa mada ame-specify ni kanisa gani...????

Hivi nani kakulogaa...hizi akili zetu ni dunia ipi...??? Wewe hujui Ukristo ndo Ukatoliki...na hakuna Yesu bila Ukatoliki..??
 
Siyo sahihi, ukristo na ukatoliki ni VITU viwili tofauti.
Na hilo lilitokea baada ya kifo cha mitume ukristo ukaanza kuchanganywa na mapokeo ya binadamu. Na ukatoliki ukazaliwa baada ya mapokeo mengi ya kipagani kutoka milki ya roma kuingia kwenye ukristo. Na ndipo dini ikaitwa Roman Catholic church. Ukichunguza vizuri hiyo si dini aliyoiacha Kristo na Mitume wake.
 
Siyo sahihi, ukristo na ukatoliki ni VITU viwili tofauti.
Ukatoliki ndio Ukristo...fullstop and longbreak...

Ndilo kanisa lilianzishwa na Yesu Kristo mwenyewe....mwaka 33AD

hilo lilitokea baada ya kifo cha mitume ukristo ukaanza kuchanganywa na mapokeo ya binadamu.
Nafikiri labda utakuwa hufahamu maana ya mapokeo......
Hebu jichangamshe hapa...

2 Wathesalonike 2:15
Basi, ndugu, simameni imara, mkayashike mapokeo mliyofundishwa, ama kwa maneno, ama kwa waraka wetu.

Na ukatoliki ukazaliwa baada ya mapokeo mengi ya kipagani kutoka milki ya roma kuingia kwenye ukristo. Na ndipo dini ikaitwa Roman Catholic church. Ukichunguza vizuri hiyo si dini aliyoiacha Kristo na Mitume na mitume wake.

Nadhani tumeshaelewa hapo kwa Watesalonike..
 
Back
Top Bottom