Serikali ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo imetangaza kusambaa kwa ugonjwa wa Ebola katika maeneo mapya.
Hali ya wasiwasi imetanda katika maeneo mengi ya mashariki mwa Congo,baada y'a wizara ya...
Uchaguzi Zimbabwe umefanyika bila ya figisu figisu zozote na baada ya kampeni za kistaarabu kabisa (ukiondoa jaribio la kumlipua Mnangwaga) kufanyika.
" Zimbabwe experienced a beautiful...
Kampuni kubwa na maarufu ya De Beers imetangaza kwamba kuanzia September mwaka huu itaanza kuuza nchini Marekani almasi ambazo hazichimbiwi toka ardhini bali zinatengenezwa kiwandani.
Kampuni...
Zimbabwe election: Troops disperse MDC Alliance supporters
Media captionBBC captures footage of post-election violence in Harare
Troops have opened fire in Zimbabwe's capital Harare after...
Korea kaskazini 'inaunda makombora mapya', maafisa wa Marekani wanasema
Korea kaskazini inaonekana kuwa inaunda makombora mapya licha ya kuidhinisha uhusiano mwema na utawala wa Trump, vyombo vya...
wanakadiriwa kuwa ni "waokoaji" na familia zao wanao fikia 800
Waliokolewa kutoka mji wa Daraa (kusini mwa Syira) na mpakani na Eneo la Syria la Golan height linaloshikiliwa na Israel kimabavu...
MISRI: Watu 75 wahukumiwa kifu wakiwemo maafisa wa ngazi ya juu wa iliyokuwa Serikali ya Ujamaa wa Kiislamu iliyopata kuliongoza taifa hilo mwaka 2013
Aidha, watubumiwa wengine 660 wa makosa...
Ametangaza kupitia vyombo vya habari. Hivyo Mugabe kahamia MDC[emoji1] [emoji1]. CHADEMA msimshagae Waitara
----
Robert Mugabe has said he will not vote for his former party, Zanu-PF, or the...
Uwezo na mafanikio ya Iran vyamkosesha utulivu Netanyahu
Suala la Iran limekuwa likizidi kuvuruga akili ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Israel kiasi kwamba hata katika...
I saw this on the BBC and thought you should see it:
Trump says ready to meet Iran's Rouhani - Trump 'ready to meet Iran's Rouhani'
Rais Donald Trump wa Marekani amesema yupo tayari kukutana na...
wakati watu wakishangaa Ninja kuchukua hatua kali kumsaka mbwa wa polisi hapa kwetu, huko clolombia polisi wamechukua hatua za dharula kumuongezea ulinzi mbwa alievunja rekodi ya kusaidia kukamata...
In this screen grab handout from the Minneapolis Police Department, police chase Thurman Blevins, who was armed with a handgun and was shot dead by officers, prosecutors said (AFP Photo/HO)...
Fedha ya Iran imepoteza nusu ya thamani yake dhidi ya Dola kabla hata ya vikwazo vya Marekani kuanza kufanya kazi rasmi.
Kwa sasa Dola moja inatajwa kubadilishwa kwa 100,000 rials (fedha ya Iran)...
Marekani imemshinikiza Rais wa Congo DRC Joseph Kabila kutangaza kuwa hatogombea tena katika uchaguzi ujao wa Disemba 23.
Hatua hiyo ya Marekani imekuja baada ya mataifa ya Ufaransa na Uingereza...
Mkutano wa kumi wa viongozi wa nchi za BRICS umefanyika huko Johannesburg. Rais Xi Jinping wa China amehudhuria mkutano wa baraza la viwanda na biashara la nchi za BRICS huku akisisitiza kuwa...
Baada ya Mwanafalme wa UAE kumuomba Waziri Mkuu wa Ethiopia Kiongozi kujenga chuo cha kiislam Addis Ababa Ethiopia Waziri Mkuu wa Ethiopia Kiongozi Abey Ahamed alimjibu Mwanamfalme huyo taifa hilo...
Shirika la Utangazaji la limesema kuwa linamchunguza Mtendaji Mkuu wa Shirika hilo, Les Moonves kwa tuhuma za kuwanyanyasa kingono watumishi 6 wanawake wa shirika hilo
Wajumbe huru kutoka kwenye...
INDONESIA: Watu 10 wamefariki huku majengo mengi yakiharibika baada ya tetemeko la ardhi la ukubwa wa 6.4 kuikumba nchi hiyo katika kisiwa cha Lombok ambapo Watalii wengi hupenda kuenda
Tetemeko...
Kwa niaba ya vyama vya ukombozi kusini mwa Africa, CCM na Zanu-PF ni moja ya vyama vya kikombozi vilivyobaki vyenye nguvu.
Kwa niaba ya makomredi wenzangu namtakia kila la kheri ndg Emerson...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.