MISRI: Watu 75 wahukumiwa kifu wakiwemo maafisa wa ngazi ya juu wa iliyokuwa Serikali ya Ujamaa wa Kiislamu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
MISRI: Watu 75 wahukumiwa kifu wakiwemo maafisa wa ngazi ya juu wa iliyokuwa Serikali ya Ujamaa wa Kiislamu iliyopata kuliongoza taifa hilo mwaka 2013

Aidha, watubumiwa wengine 660 wa makosa mbalimbali ya jinai wanatarajiwa kuhukumiwa mnamo tarehe 8 Septemba mwaka huu

Watu hao walikuwa washirika wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Mohammed Morsi aliyeondolewa na Jeshi baada ya kutawala Kwa mwaka mmoja tu

=====
CAIRO (AP) — Egypt's state-run media says a court has sentenced 75 people to death, including top figures of the outlawed Muslim Brotherhood group, for their involvement in a 2013 sit-in.

Saturday's decision in Cairo Criminal Court will now be referred to the Grand Mufti — the country's top theological authority — for his non-binding opinion on the sentences. He usually approves the court's decision.

Sentencing for more than 660 others was set for Sept. 8, according to state-run Al-Ahram news website.

The 2013 sit-in supported former Islamist President Mohammed Morsi who was militarily ousted following mass protests against his divisive one-year rule. Morsi hailed from the Brotherhood. The sit-in was violently dispersed
 
Ujamaa wa kiislamu ndio kitu gani? Au ndio Muslim Brotherhood? Ok, Udugu wa Waislamu.
 
Saturday's decision in Cairo Criminal Court will now be referred to the Grand Mufti — the country's top theological authority — for his non-binding opinion on the sentences. He usually approves the court's decision.
Waarabu kwa kushirikisha dini kwenye mambo ya kiutawala hawajambo! Inawaletea tabu sana hii kitu! Naomba kueleweshwa huo utaratibu una faida gani, kwa mfano, kwa issue hiyo? Wekeni dini mbali na utawala wenye akili zao waliyaona hayo tangu kale.
 
U
MISRI: Watu 75 wahukumiwa kifu wakiwemo maafisa wa ngazi ya juu wa iliyokuwa Serikali ya Ujamaa wa Kiislamu iliyopata kuliongoza taifa hilo mwaka 2013

Aidha, watubumiwa wengine 660 wa makosa mbalimbali ya jinai wanatarajiwa kuhukumiwa mnamo tarehe 8 Septemba mwaka huu

Watu hao walikuwa washirika wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Mohammed Morsi aliyeondolewa na Jeshi baada ya kutawala Kwa mwaka mmoja tu

=====
CAIRO (AP) — Egypt's state-run media says a court has sentenced 75 people to death, including top figures of the outlawed Muslim Brotherhood group, for their involvement in a 2013 sit-in.

Saturday's decision in Cairo Criminal Court will now be referred to the Grand Mufti — the country's top theological authority — for his non-binding opinion on the sentences. He usually approves the court's decision.

Sentencing for more than 660 others was set for Sept. 8, according to state-run Al-Ahram news website.

The 2013 sit-in supported former Islamist President Mohammed Morsi who was militarily ousted following mass protests against his divisive one-year rule. Morsi hailed from the Brotherhood. The sit-in was violently dispersed
Sio Ujamaa wa Kiislam bali ni Undugu wa Kiislam. Chama cha Muslim brotherhood
 
Back
Top Bottom