Korea kaskazini 'inaunda makombora mapya

Cogito ergo_sum

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,648
Reaction score
2,930
Korea kaskazini 'inaunda makombora mapya', maafisa wa Marekani wanasema

Korea kaskazini inaonekana kuwa inaunda makombora mapya licha ya kuidhinisha uhusiano mwema na utawala wa Trump, vyombo vya habari vinaripoti.

Satelaiti za kijasusi zimegundua shughuli zinazoendelea katika eneo ambako kumetengezwa makombora ya masafa marefu, maafisa wa Marekani wameliambia Washington Post.

Shirika la habari la Reuters linamnukuu afisa huyo akisema kuwa haijulikani wazi ni kwa kiwango gani shughuli hiyo imeendelea.
Rais Donald Trump amekutana na kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong-un mnamo Juni.

Baada ya mkutano wa kwanza, viongozi hao wawili waliahidi kushughulika kuhakikisha wanasitisha matumizi ya silaha za nyuklia. Trump alisema Korea kaskazini, 'sio tishio tena la nyuklia'.

Lakini Trump alishutumiwa nyumbani kwa 'kuafikiana kwa mdomo' pasi kufikia makubalino madhubuti kutoka kwa Kim ya kusitisha mipango na matumizi ya nyuklia.

Taarifa za hivi punde zinasema nini?

Siku ya Jumatatu gazeti la Washington Post limewanukuu maafisa wanaosema Korea kaskazini inaeonekana kuunda kombora moja au amawili ya masafa marefu katika kiwanda cha Sanumdong karibu na mji mkuu Pyongyang.

Kiwanda hicho kiliunda kombora la kwanza la masafa marefu la nchi hiyo lililo na uwezo wa kufika Marekani, gazeti hilo linaongeza.

Kwa mujibu wa Reuters, picha za satelaiti, zinaonyesha magari yakiingia na kutoka kwenye kiwanda hicho , lakini sio kiwango cha ujenzi huo wa makombora.

Hizi sio taarifa za kwanza kuwa Korea kaskazini huenda inaendelea na uundaji wa mpango wake wa silaha, na kutilia shaka athari halisi ya mkutano wa Singapore.
Mwishoni mwa mwezi Juni vyombo vya habari Marekani viliangazia taarifa zinazotokana na uvujaji wa taarifa za ujasusi zinazoashiria kuwa kaskazini ingali inaendeleza shuguli zake za kurutubisha nyuklia katika viwanda vyake miongoni mwa shughuli nyingine.

Wiki iliyopita Mike Pompeo amewaambia Maseneta kuwa viwanda vya Korea kaskazini "vinaendelea kurutubisha kemikali za nyuklia" zinazotumika kuunda silaha.
 
Nchi ime jaa ma urenium lakini hatujui kwa kuyapeleka zaidi ya kugombewa na Rassia, China, USA ili wengine wasipate umiriki...
 
  1. Hao ni kipigo tu ndio lugha watakayoelewa, haya mengine ni kupoteza muda tu.
 
Huwezi kuharibu kiini cha uhai wako. Haijalishi ni kitu gani kitakukuta....labda ufe,vinginevyo no way. Hope they won't stop unless USA denuclearize itself in the very first place.
 
Korea kaskazini 'inaunda makombora mapya', maafisa wa Marekani wanasema

Korea kaskazini inaonekana kuwa inaunda makombora mapya licha ya kuidhinisha uhusiano mwema na utawala wa Trump, vyombo vya habari vinaripoti.

Satelaiti za kijasusi zimegundua shughuli zinazoendelea katika eneo ambako kumetengezwa makombora ya masafa marefu, maafisa wa Marekani wameliambia Washington Post.

Shirika la habari la Reuters linamnukuu afisa huyo akisema kuwa haijulikani wazi ni kwa kiwango gani shughuli hiyo imeendelea.
Rais Donald Trump amekutana na kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong-un mnamo Juni.

Baada ya mkutano wa kwanza, viongozi hao wawili waliahidi kushughulika kuhakikisha wanasitisha matumizi ya silaha za nyuklia. Trump alisema Korea kaskazini, 'sio tishio tena la nyuklia'.

Lakini Trump alishutumiwa nyumbani kwa 'kuafikiana kwa mdomo' pasi kufikia makubalino madhubuti kutoka kwa Kim ya kusitisha mipango na matumizi ya nyuklia.

Taarifa za hivi punde zinasema nini?

Siku ya Jumatatu gazeti la Washington Post limewanukuu maafisa wanaosema Korea kaskazini inaeonekana kuunda kombora moja au amawili ya masafa marefu katika kiwanda cha Sanumdong karibu na mji mkuu Pyongyang.

Kiwanda hicho kiliunda kombora la kwanza la masafa marefu la nchi hiyo lililo na uwezo wa kufika Marekani, gazeti hilo linaongeza.

Kwa mujibu wa Reuters, picha za satelaiti, zinaonyesha magari yakiingia na kutoka kwenye kiwanda hicho , lakini sio kiwango cha ujenzi huo wa makombora.

Hizi sio taarifa za kwanza kuwa Korea kaskazini huenda inaendelea na uundaji wa mpango wake wa silaha, na kutilia shaka athari halisi ya mkutano wa Singapore.
Mwishoni mwa mwezi Juni vyombo vya habari Marekani viliangazia taarifa zinazotokana na uvujaji wa taarifa za ujasusi zinazoashiria kuwa kaskazini ingali inaendeleza shuguli zake za kurutubisha nyuklia katika viwanda vyake miongoni mwa shughuli nyingine.

Wiki iliyopita Mike Pompeo amewaambia Maseneta kuwa viwanda vya Korea kaskazini "vinaendelea kurutubisha kemikali za nyuklia" zinazotumika kuunda silaha.
Tanzania move la hama hama ya wabunge wa upinzani USA Mara Irani Mara wamerudi Tena N Korea na drama zao, lengo kuwatoa raia kwenye mstari wa kujadili mukhtasari wa mambo muhimu ya kitaifa....shame on u watawala...
 
Korea kaskazini inaonekana kuwa inaunda makombora mapya licha ya kuidhinisha uhusiano mwema na utawala wa Trump, vyombo vya habari vinaripoti.

Satelaiti za kijasusi zimegundua shughuli zinazoendelea katika eneo ambako kumetengezwa makombora ya masafa marefu, maafisa wa Marekani wameliambia Washington Post.

Shirika la habari la Reuters linamnukuu afisa huyo akisema kuwa haijulikani wazi ni kwa kiwango gani shughuli hiyo imeendelea.

Rais Donald Trump amekutana na kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong-un mnamo Juni.

Baada ya mkutano wa kwanza, viongozi hao wawili waliahidi kushughulika kuhakikisha wanasitisha matumizi ya silaha za nyuklia. Trump alisema Korea kaskazini, 'sio tishio tena la nyuklia'.

Lakini Trump alishutumiwa nyumbani kwa 'kuafikiana kwa mdomo' pasi kufikia makubalino madhubuti kutoka kwa Kim ya kusitisha mipango na matumizi ya nyuklia

Taarifa za hivi punde zinasema nini?

Siku ya Jumatatu gazeti la Washington Post limewanukuu maafisa wanaosema Korea kaskazini inaeonekana kuunda kombora moja au amawili ya masafa marefu katika kiwanda cha Sanumdong karibu na mji mkuu Pyongyang.

Kiwanda hicho kiliunda kombora la kwanza la masafa marefu la nchi hiyo lililo na uwezo wa kufika Marekani, gazeti hilo linaongeza.

Kwa mujibu wa Reuters, picha za satelaiti, zinaonyesha magari yakiingia na kutoka kwenye kiwanda hicho , lakini sio kiwango cha ujenzi huo wa makombora.

Hizi sio taarifa za kwanza kuwa Korea kaskazini huenda inaendelea na uundaji wa mpango wake wa silaha, na kutilia shaka athari halisi ya mkutano wa Singapore.

Mwishoni mwa mwezi Juni vyombo vya habari Marekani viliangazia taarifa zinazotokana na uvujaji wa taarifa za ujasusi zinazoashiria kuwa kaskazini ingali inaendeleza shuguli zake za kurutubisha nyuklia katika viwanda vyake miongoni mwa shughuli nyingine.

Wiki iliyopita Mike Pompeo amewaambia Maseneta kuwa viwanda vya Korea kaskazini "vinaendelea kurutubisha kemikali za nyuklia" zinazotumika kuunda silaha.

Chanzo: Korea Kaskazini 'inaunda makombora mapya'
 
Hao ndio watu wa Asia walivyo, hawana papara wala wasiwasi na si uliona bado huyo wa Korea ya Kaskazini bado anaongea na Wachina pamoja na ndugu zao wa Korea ya Kusini! Unadhani hawa wanaweza kusalitiana!? No way ni wamoja sana na hata Trump hawawezi kwa ujanja na hila zao.
 
Kiduku be cautious.. fuata makubaliano yetu ya pale Singapore..!!
 
Huwa najiuliza tu,inahitajika makombora mangapi ya nyuklia kuitekeza south Korea,maana kwa conventional weapons pekee,watakesha,
Na Japan na south Korea zitaadhirika kiasi gani na hiyo milipuko ya nyuklia.
Back to square one,gharama ni kubwa kuliko faida,solution marekani aongee na hawa watu,na aondoe vikwazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom