International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

"Every time we do something you tell me America will do this and will do that. I want to tell you something very clear: Don't worry about American pressure on Israel. We, the Jewish people control...
19 Reactions
98 Replies
19K Views
Hili taifa kwa sasa linaongozwa na watu ajabu ajabu sana, yani Trump na Tanzania wa Afya/bush dokta RFK Jr sasa hivi ndio wako mstari wa mbele kutoa elimu ya afya. Sasa hivi wamekuja na kituko eti...
0 Reactions
5 Replies
353 Views
Vyombo vya habari mbalimbali vya Nchini Urusi vimezua mzozo mpya mtandaoni kwa kudai kwamba Marekani hakuwahi kutua Mwezini, na hivyo kutilia shaka Teknolojia ya miaka 1960 na kusema kwamba picha...
11 Reactions
93 Replies
5K Views
Mkuu wa Mossad katika hotuba adimu: "Mossad ina uwezo mkubwa na usiofikirika ndani ya Iran" kuna watu walikuwa wanasema Iran haiingiliki sisi Mossad tumejipenyeza kila sehemu mpaka katikati ya...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamaa zetu Sauz Wana uchaguzi Mkuu mwakani (2024) maadam Ni Chama rafiki basi watumie mbinu za Chama Chetu kushinda; 1. Mchujo kupitia wajumbe, 2. Kupita bila kupingwa, 3. Kuzima internet (wakati...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Netanayahu anaanza kutapatatapa na kulia lia. Kama kawaida yake anataka kuonewa huruma washirika wake wakubwa. Uingereza, Canada, Australia, Ufaransa, ambao walikuwa wanampa silaha na...
2 Reactions
45 Replies
1K Views
Ili Wakazi wa EU waweze kufurahia Haki zao za Msingi za Faragha (ad-free service) chini ya Sheria ya Umoja wa Ulaya pindi wanapotumia Facebook na Instagram, watatakiwa kulipia Tsh. 35,138 kwa...
1 Reactions
2 Replies
894 Views
Burkina Faso, Mali na Niger zimetangaza uamuzi wao wa kujiondoa mara moja kuwa wanachama wa mahakama ya kimataifa inayoshughulikia kesi za uhalifu wa kivita na kibinadamu ICC,zikidai mahakama hiyo...
2 Reactions
1 Replies
330 Views
Kongamano la 12 la Xiangshan hivi karibuni umefanyika mjini Beijing, China. Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto mbalimbali, kongamano hilo si kama tu ni jukwaa la mazungumzo, bali pia ni...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Nauliza wanawake wa Bongo mko wapi kudai mabadiliko kwenye masuala ya uongozi? Mmezubaa sana jamani. Em jitahidini. Hili la Nigeria liwe funzo kwenu ===== Leo Septemba 22, 2025 Mamia ya...
0 Reactions
1 Replies
264 Views
Septemba 20, 2025 Waandamanaji wanaopigania demokrasia kutoka Eswatini walikusanyika nje ya Ubalozi wa Marekani jijini Pretoria wakipinga vikali taarifa za makubaliano kati ya serikali ya Marekani...
1 Reactions
0 Replies
233 Views
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa Uingereza kulitambua rasmi taifa la Palestina zaidi ya miaka 100 baada ya Azimio la Balfour kuunga mkono "kuanzishwa kwa makazi ya...
2 Reactions
13 Replies
687 Views
Wakuu, Huko Ufilipino mambo yameanza kuwa sukari kama ambavyo wiki kadhaa nyuma ilivyokuwa huko Nepal Maelfu ya waandamanaji wameingia mtaani wakidai kwamba kuna mabilioni ya dola ya kodi za...
2 Reactions
6 Replies
468 Views
Netanyahu says Israel 'in isolation', blaming Qatar, China and Muslims in the West Prime minister says Israel will be 'Athens and Super Sparta', as he admits it would need to develop its own arms...
2 Reactions
5 Replies
789 Views
Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: Taarifa ya kijeshi iliyotolewa na uongozi wa Brigedi ya Martyr Izz al-Din al-Qassam: "Tunauambia uongozi wa kijeshi na kisiasa wa adui: Gaza haitakuwa sehemu rahisi kwa...
5 Reactions
70 Replies
2K Views
Here’s what that recognition typically symbolizes: 1. Legitimacy of Palestinian Statehood It signals that these countries formally acknowledge Palestine as a state (not just as a “territory” or...
2 Reactions
3 Replies
415 Views
Huko Marekani chini ya utawala wa Trump wanaendelea kusogea mdogo mdogo kufanana kama tawala za China, Russia, Korea Kaskazini na nchi nyingi za Africa ambapo bwana au bibi mkubwa namba moja...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Cairo, September 2025 – The Global Solidarity Network has marked the International Day of South-South Solidarity with a thought-provoking cultural salon under its “Global Solidarity Talks”...
1 Reactions
1 Replies
365 Views
Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zimbabwe (ZACC), imetangaza kufungua upya jalada la Uchunguzi dhidi ya Mfanyabiashara Wicknell Chivayo kutokana na kuhusishwa kwake na masuala ya Rushwa na Ufisadi...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Mkataba huo unalenga kuipatia Misri takriban mita za ujazo bilioni 130 za gesi hadi mwaka 2040 zenye thamani ta dola bilioni 35 mpango huu utapunguza tatizo la nishati nchini Misri baada ya...
1 Reactions
22 Replies
982 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…