International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko huko Kusini mwa India katika Jimbo la Kerala yafikia 324 Mpaka sasa takribani watu laki mbili(200,000) wameachwa bila ya makazi na kulazimika kuishi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kijana mmoja kutoka nchini Australia amekiri kuudukua mtandao wa Apple na kuiba nyaraka kadhaa. Kijana huyo wa kiume mwenye miaka 16 aliingia kwenye mtandao huo mara kadhaa mwaka huu kutoka...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari kwenu wadau. Nchini Congo DRC Fomu za wagombea urais zaanza kutolewa. Fomu hizi zinatolewa kuanzia tarehe 25/07/2018 hadi 08/08/2018. Hata hivyo siku ya kuanza na ya pili zimepita bila...
8 Reactions
113 Replies
11K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Marekani ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na think tank wengi zaidi duniani kuliko nchi yoyote. THINK TANK ni kundi la wataalam wanaofanya tafiti mbalimbali...
4 Reactions
38 Replies
8K Views
Kuna uwezekano kuwa jeshi la China linafanya mazoezi ya kushambuia vituo vya Marekani na vya washirika huko Pacific, kwa mujibu kwa makao makuu ya ulinzi ya Marekani. Ripoti ya kila mwaka kwa...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Ndege inayomilikiwa na Kampuni kitoka China ikiwa imebeba abiria 157 imeacha njia kwaajili ya kutua na kukwama kwenye nyasi Ndege hiyo imepata ajali hiyo baada ya injini ya kushoto kupata...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Rais Ibrahim Boubacar Keita ashinda tena kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi baada ya kumbwaga mpinzani wake, Soumaila Cisse > Rais Keita ametengazwa mshindi kwa kupata asilimia 67 ya kura zote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kilichotokea UGANDA kiwe Mfano mzuri kwa Tume za uchaguzi Africa Mara Baada ya kumtangaza mbunge wa Chama cha upinzani Mbali na kuwa korokoroni ile Hali taabani Baada ya kipigo kikali cha...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa Marekani walihakikisha wanaivunja vunja vipande nchi ya URUSI, ambayo kwa kipindi kile ili kuwa tishio kwa superiority ya Mmarekani. Sasa kabla China haijafanikiwa kuwa...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Katika historia ya kwanza ya Paskstani, chama cha PPP kinachoongozwa na mwana wa aliyekuwa waziri mkuu wa Pakstani Marehemu Benazir Butho, kimemteua mwammke wa kwanza mwenye asili ya Tanzania Bi...
5 Reactions
62 Replies
10K Views
Mahakama nchini Libya imewahukumu kifo wanajeshi 45 baada ya kuwatia hatiani kwa makosa ya kuwaua watu kwa kuwafyatulia risasi mwaka 2011 wakati wa harakati za kuomundoa Madarakani aliyekuwa rais...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naangalia CHANNEL 274 KTN DSTV Decoder... Wana-Documentary kuhusu Mugabe mwenye access aangalie... Naona yanaweza kutokea hapa kwetu. SAD. Imeanza saa 4 itaisha saa 5,Tafadhali sana tuangalie.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Mabomu yalotumika hivi juzi kuuwa raia wasio na hatia huko Yemen mabaki yake yagundulika ni MK82 yanayozalishwa na kampuni ya kimarekani Raytheon iliyopewa mkataba kuwasupply Saudi Arabia!. US...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Queen of pop music of our days is turning 60 today. Happy Birthday Madonna Madonna’s fortune to date is US$ 590 Million. One of the self made women millionaires in the world.
11 Reactions
32 Replies
5K Views
Cheif Excutives who among them are only seven women. Business owners suggest they need strong people who can run their business and when the campany is making profit there is no question on how...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wazambia wamejitokeza kupinga vikali utekelezwaji wa tozo ya 30 Ngwe sawa na dola za Marekani 0.1 kwa watumiaji wa mitandao ya WhatsApp, Skype na Viber. Uamuzi wa kutoza fedha kwa watumiaji wa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
asilimia tisini ya post nyingi katika international forum hapa jamii forum zinamhusu trump na marekani,fuatilia post post nyingi hapa.hilo pekee linaonesha kwamba taifa LA marekani na trump ndio...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
African Education System has surprising outcomes. The smartest students pass with 1st Class & get admission to medical & Engineering schools. The 2nd Class Students get MBAs and LLBs to manage the...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Afghanstan kuona aliejilipua katika chuo kikuu na kuua watu 50 wengi wakiwa wanafunzi wanaojiandaa kwa mitihani. Talaban wanalaumiwa kwa shambulio hili. Wengi wa wapiganaji wa Taliban wanaaminiwa...
2 Reactions
4 Replies
771 Views
Osama bin Laden ndo Gaidi wa kwanza duniani kuzikwa kwa heshma na jeshi la Marekani huku akifunikwa Bendera ya taifa ya nchi hiyo. Osama alifutwa Uraia wa Saudia na Kupokonywa pass yake ya...
2 Reactions
22 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…