Mabomu yalotumika Yemen yagundulika ni MK 82 a US based story imeishia hapo?.

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,323
2,000
Mabomu yalotumika hivi juzi kuuwa raia wasio na hatia huko Yemen mabaki yake yagundulika ni MK82 yanayozalishwa na kampuni ya kimarekani Raytheon iliyopewa mkataba kuwasupply Saudi Arabia!.
IMG_20180814_104330_847.jpg
IMG_20180814_104308_892.jpg

US bomb pieces found at Yemen bus strike site as Pentagon says ‘we may never know’ who supplied it
 

Hassan Mambosasa

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
2,663
2,000
siipendi USA"" lakini katika hili nitawatetea",wao" wameuza bidhaa" Tatizo lipo kwa Mlaji " aliyeamua" kuitumia ndivyo sivyo" sidhani kama USA " walimuuzia" halafu wakampa na masharti " ya kuyatumia"" BY the way naichukia mnooo Saudia
Wao ndo wanaunda mazingira yatakayopelekea mtu kutaka kununua silaha zao. Rejea mgogoro wa Saudi na Qatar, aliuza silaha kwa pande zote mbili huku akijifanya hayupo upande wa Qatar
 

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,709
2,000
Wao ndo wanaunda mazingira yatakayopelekea mtu kutaka kununua silaha zao. Rejea mgogoro wa Saudi na Qatar, aliuza silaha kwa pande zote mbili huku akijifanya hayupo upande wa Qatar
sawaaa" lakini", hajawatuma " dhambi iwaendee hao saudia " washenzi sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom