TRUMP NA MAREKANI NDIO MAARUFU ZAIDI DUNIANI

TRUMP NA MAREKANI NDIO MAARUFU ZAIDI DUNIANI

The seer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
407
Reaction score
690
asilimia tisini ya post nyingi katika international forum hapa jamii forum zinamhusu trump na marekani,fuatilia post post nyingi hapa.hilo pekee linaonesha kwamba taifa LA marekani na trump ndio maarufu zaidi dunian.
Pia hata ukifuatalia katika vyombo vya habari mbalimbali vya kimataifa huandika zaidi habari za marekani na trump kila kukicha.pia watu mbalimbali hupenda kufuatilia taarifa za marekani iwe kwa ubaya au kwa uzuri.
Sio katika habari tu.hata watu mbalimbali wakimbizi na wahamiaji hupenda kwenda kuishi marekani kuliko nchi yeyote.uarabuni kuna nchi nzuri sana kama Qatar .Dubai.Iran.lakini wakimbizi toka Syria na Libya hupenda kwenda marekani na ulaya kuliko nchi hizo.
Pia waimbija mziki mbalimbali hupenda zaidi kwenda marekani.
Hivyo taifa LA marekani ni maarufu zaidi kuliko taifa lolote.
Ndio maana trump alipozuia baadhi ya watu kutoka mataifa Fulani kuingia marekani watu walilalamika sana wakimwita mbaguzi yote ni kwa sababu ya kupenda kuishi marekani.
Pia kwa sasa trump anampango wa kujenga ukuta ili kuzuia wahamiaji haramu kuingia marekani lakini wengi wanampinga sana yote wanataka watu waingie marekani kuishi.
 
U.S.A
IMG_20180815_102554_562.JPG
IMG_20180815_102554_562.JPG
IMG_20180815_102529_501.JPG
 
Back
Top Bottom