Kabul 50 wamekufa baada ya suicide attacke

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,273
Afghanstan kuona aliejilipua katika chuo kikuu na kuua watu 50 wengi wakiwa wanafunzi wanaojiandaa kwa mitihani. Talaban wanalaumiwa kwa shambulio hili.
Wengi wa wapiganaji wa Taliban wanaaminiwa kuwa si raia wa Afghanistan bali ni wa Pakistan.
 
Back
Top Bottom