Mugabe anachambuliwa KTN Channel 274 Now

Mugabe anachambuliwa KTN Channel 274 Now

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,554
Reaction score
2,160
Wadau naangalia CHANNEL 274 KTN DSTV Decoder... Wana-Documentary kuhusu Mugabe mwenye access aangalie... Naona yanaweza kutokea hapa kwetu. SAD.
Imeanza saa 4 itaisha saa 5,Tafadhali sana tuangalie.
 
Hata mnangwa naye hana jipya, hana tofauti yeyote na Mugabe,
Ni swala la muda tu
 
Ingekuwa nilii ningeenda kuseti dish haraka sana!!!
 
Tupe kwa uchache wengine hatupo karibu na tiivii
 
Kwa ufupi... Wameelezea jinsi alivyoanza vizuri kuanzia Uwaziri Mkuu hadi akawa Rais. Kilichotokea
1. Alipoingia Madarakani Kulikuwa na vyama viwili ZANU kikingozwa na yeye na ZAPU kikiongozwa na Joshua Nkomo
2 ZAPU ni Chama cha Minority clan ya NDEBELE,,Wakati ZANU ni cha Majority SHONA...
3 Alipambana sana kukidhibiti ZAPU kwa kuhakikisha anawaua na kudhibiti baadhi ya vimbelembele wake,Hatimaye Mpinzani wake Joshua Nkomo akanyoosha mikono na kukubali kuungana na Kuwa ZANU-PF
4. Akamteua Joshua Nkomo kuwa Vice President, na kufuta Prime Minister position.
Nitaendelea baadaye
 
Back
Top Bottom