Alipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini
Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni...
Uchumi wa Argentina umezidi kufanya vibaya chini ya utawala wa Rais Javier na kuwa katika hatihati ya kuanguka kutokana na utawala mbovu wa Rais huyo hali inayopelekea Marekani kuandaa kitita cha...
Katika hali ya kufedhehesha mamia ya wajumbe kwenye mkutano wa umoja wa mataifa wamesusia kumsikilizia Netanyahu mara baada ya kupanda jukwaani ,
Hivi karibuni kumekuwa na Matukio ya raia wengi...
Shirika la habari la BBC imeeleza kuwa kiongozi wa mtandao wa biashara ya ngono uliokuwa ukiwadhalilisha wanawake katika mitaa ya kifahari ya Dubai amekamatwa na mamlaka za Umoja wa Falme za...
Hayo sio maneno yangu bali ni reaction za media across the world;
Ingawa fikra zangu ni kwamba kama huu ndio muendelezo na huyu ndio Mwenyeji bora si wabadilishe sehemu za kukutana au kutumia...
Jasusi wa Kizayuni akijifanya mpiganaji wa ISIS na Imamu akamatwa Libya
Gazeti la Kihispania limefichua kuwa vikosi vya Libya vimekamata imamu wa msikiti kwa tuhuma za kufanya ujasusi kwa ajili...
Video ya kamera za ulinzi imeonyesha tukio la wizi wa kutumia silaha katika duka la vito la Heller Jewelers mjini San Ramon, California, Septemba 22, 2025 mida ya mchana. Polisi wamesema wahusika...
D.Trump kasema kwamba ilhan abdulahi omar ambaye alizaliwa nchini somalia na leo hii ni rep au Mbunge huko Minesota, aliolewa na kaka yake mzazi ili apate uraia wa USA, mambo yameanza kuiva huko...
Iran imeanza maandalizi ya kushambuliwa na Israel baada ya vyanzo vyake kudhibitisha kuwa wakati wowote wanaweza kushambuliwa na Israel.
Juhudi mbalimbali zimefanya katika jeshi lake ili kuwaweka...
Mara kadhaa kwenye hili jukwaa na la tech nimekuwa na mijadala na watu wa Pro-Americanism.
Huwa nawaambia Marekani ina uhaba wa skilled personnel hasa katika kutengeneza bidhaa ambazo ni complex...
Amnesty International imetoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa wafuasi 36 wa chama cha upinzani cha Movement for the Renaissance of Cameroon (MRC) waliokaa gerezani kwa miaka mitano kwa kushiriki...
Jaji anayechunguza madai ya wizi wa fedha dhidi ya mke wa Waziri Mkuu wa Uhispania, Pedro Sanchez, Begona Gomez, ameagiza afikishwe mahakamani kusikilizwa kesi, kwa mujibu wa hati ya mahakama...
Septemba 18, 2025 mji mkuu wa Guinea, Conakry, ulijaa shughuli za kampeni huku wananchi wakijiandaa kupiga kura ya marekebisho ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi Col. Mamadi...
Video hii inaonyesha Muonekano wa Mji wa Gaza July 2023 kabla ya Mashambulizi ya Jeshi la Israel kwenye Mji huo Septemba 1, 2025.
--------------------
As Israeli bombardment intensified...
Serikali nchini Madagascar imepiga marufuku ya kutoka nje usiku kufuatia maandamano yaliyoendelea nchini humo ambapo polisi wamelazimika kutumia risasi za mpira na gesi ya kutowa machozi kutawanya...
Jeshi la anga la Israel likishirikiana na wanamaji jioni hii wameamua kwenda kuwasalimia wahouth huko Yemen, lengo lao kubwa ni kumuona kiongozi wao Mkuu Abd al-Malik al-Houthi.
Taarifa Kamili...
Akili Mnemba (Artificial Intelligence au AI) hutumia kompyuta kufanya kazi ambazo kwa kawaida zingehitaji akili ya binadamu. Siku hizi AI inatumika katika maisha ya kila siku, mfano wasaidizi wa...
Akielekea New york City, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema atatumia hotuba ya United Nations General Assembly (UNGA) kuwashutumu viongozi wa dunia wanaoitambua Palestina
Waziri Mkuu...
Rais wa Malawi, ambaye pia ni mwenyekiti wa SADC, Lazarus Chakwera ametoa wito kwa wananchi wa visiwa vya Shelisheli kujitokeza kupiga kura ili kushiriki mchakato wa maendeleo katika nchi yao...
Spika wa Bunge la Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Vital Kamerhe amejiuzulu muda mfupi kabla ya kufanyika kwa kura ya maoni iliyolenga kumwondoa madarakani. Akitangaza hatua hiyo...