Dunia inadaiwa dola trillion 217

Dunia inadaiwa dola trillion 217

dunia inadaiwa na nani?
nailikopa hizo kwa matumizi yapi na aliesaini mkopo huo ni nani?
o
 
wazungu walishaanza yao tena, baada ya kupata sayari nyingine wakakomba mipesa kwenda kuishi angani sasa huku kwetu hali tete na hapo bado hawajahamisha account zao tayari mambo yameanza kwenda mlama mzungu mzungu tuhurumien sie weusi
 
hahaaa
 
Mdai atakuwa Dr Shika au kichaa wa Gp32.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom