International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mohammed Dewji, head of the $1.25bn MeTL Group and an MP in Tanzania, is set to launch a foundation in May to give away $100m of his fortune. Dewji – ranked 31st richest person in Africa...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Uturuki yaonyesha mkanda wa video wa maafisa usalama wa Saudia waliotajwa kumuua Jamal Khashoggi Serikali ya Uturuki imeonyesha mkanda wa video wa kuingia timu ya watu 15 kutoka Saudia, wakati...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Waziri wa Mawasiliano Gobind Singh Deo amesema hayo huku akifafanua kuwa ni kutokana na upinzani mkubwa wa adhabu hiyo kutoka kwa wadau mbalimbali Mashirika yanayopigania haki za binadam...
1 Reactions
3 Replies
901 Views
Mahakama ya kijeshi ya Misri imewahukumu kifo watu 17 leo kuhusiana na mashambulio kadhaa ya mabomu ya kujitoa muhanga katika makanisa mashambulio ambayo kundi la Dola la Kiislamu lilidai kuhusika...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Ethiopia to open its borders to all Africans Ethiopia has announced plans to open its borders so that all Africans can enter the country without prior permission. Prime Minister Abiy Ahmed Ali...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais wa nchi hiyo Julius Maada Bio, ameiamuru wizara ya ujenzi na uchukuzi kuiandikia China kukataa kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 318. Hii ameiita, kukabiliana na mlundikano wa madeni...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Mahakama ya Bangladesh leo imemuhukumu kifungo cha maisha kiongozi wa upinzan Tarique Rahman, huku watu wengine 19 wakihukumiwa kifo kutokana na shambulizi la mabomu lililotokea mwaka 2004 dhidi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jeshi la Marekani limerusha ndege yake aina ya B-1B bomber. katika anga ya Korea Kusini kama sehemu ya mazoezi ya pamoja ya angani katika hatua inayoonekana kama onyo kwa Korea Kaskazini. Mazoezi...
3 Reactions
82 Replies
9K Views
Russian S-400 Triumph medium-range and long-range surface-to-air missile systems [Sergei Karpukhin/Reuters] Mwezi uliopita, Setember 2018, Russia ilifanya maonesho ya kivita, Vostok-2018 war...
9 Reactions
214 Replies
22K Views
Kuna habari za kuaminika Kuwa Russia ameingia Libya na anawaunga mkono Haftar na pia amewapa silaha nzito, Pia kuna wanausalama wa GRU na vikosi toka Russia vimepelekwa Mashariki mwa Libya kwa...
4 Reactions
28 Replies
6K Views
© REUTERS / Bandar Algaloud/Courtesy of Saudi Royal Court Ktk mahojiano na bloomberg, Crown Prince Mohammed Bin Salman amesema kuwa Saudia haitolipia gharama yoyote kwa USA juu ya ulinzi wake...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Mgombea wa upinzania Maurice Kamto ajitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika siku ya Jumapili Hata hivyo chama tawala chini ya Rais Paul Biya kimekanusha usdhindi huo na kumtuhumu bwana Kamto...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
PUTIN AZUNGUMZIA USAMBAZAJI GESI ULAYA MOSCOW, Urusi RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amekadiria kuwa kwa mwaka huu nchi yake itakuwa imesambaza gesi mita za ujazo bilioni 200 kwa bara la Ulaya...
8 Reactions
38 Replies
4K Views
BUNDI ni aina ya ndege ambaye hula nyama; hufanya mawindo yao wakati wa usiku na kupumzika wakati wa mchana. Pamekuwepo na imani kwa wengi kwamba bundi anaponekana nyumbani kwa mtu ni lazima kuna...
1 Reactions
4 Replies
821 Views
Mamlaka nchini Sudan Kusini inaendelea na mazungumzo dhidi ya wafungwa ambao wamejihami kwa bunduki na visu, na ambao wanashikilia eneo la gereza hilo mjini Juba wakishinikiza kuachiwa huru kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Urusi imeunda kombora jipya ambalo haliwezi kutunguliwa na linaweza kufika pahala popote duniani, kwa mujibu wa Rais Vladimir Putin. Bw Putin amekuwa akieleza sera zake muhimu za muhula wa nne...
18 Reactions
254 Replies
31K Views
Kanye West anategemewa wiki hii kuwa mgeni wa D.Trump kwenye Ikulu ya USA au White house, ...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri mkuu wa Israel aenda Tena kuongea na Putin kuhusu s300 ya huko Syria Habari za Ulimwengu | DW Habari za Ulimwengu | DW
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Ndugu Meng Hongwei anayetajwa kama Rais wa Interpol anadaiwa kutekwa na mpaka sasa hajulikani hasa mahali alipo . Swali langu ni fupi tu , kwamba kama kigogo huyu wa Mapolisi wa kimataifa...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…