Gadafi was aiming at islamizing all africans. That's what he made mistakes

Nov 18, 2018
29
61
Gadafi alichukuwa na wafica wakristo sana. Lengo lake la misaada kwa nchi za africa lilikuwa na lengo la kuwasilimisha tu.
Ndo mana alimsaidia muslamu mwenzake idd amini dada ili kuisambatatisha tanzania ili tanzania iwe islamic empire baadae.
Mwl nyerere mpaka anakufa alikuwa hataki kumsikia gadafi.
Pili alikuwa anachinja wale wote wanaomkosoa unaitwa ikulu unapigwa risasi ndugu zako wasipokuona wiki nzima wanajua tayari umeshapigwa risasi.
Ndiyo alkuwa anawajali watu wake kwa kuwatolea mahari nk lakini alikuwa anaua kama nzige.
 
Sasa unapewa kila kitu..unaleta mdomo wa nini??mdomo haujawai kumuacha mtu salama..leo hayupo takribani miaka kadhaa..libya iko wapi sasa??mambo haya ndio gadafi alikuwa anajaribu kuyazuia..alitaka amani ya libya..ni kama tu mbowe na pro mbowe wanavyoamini nje ya mbpwe hakina chadema tena.
 
Ujiulize suala moja tu. Jee Africa na Libya kwa sasa iko bora zaidi kwa vile Gadafi hayupo?

Hujui chochote na broken English yako hiyo! Inaonesha namna gani uko chini kimtazamo. Kama vile ulivoandika heading ya English.uliyokuwa huna hakika nayo kitafsiri, basi vilevile umekurupuka kuandika mada uliyokuwa hujafanyia utafiti. Unafikiria JF ni Groups za whatssapp.

Gadaffi aliuliwa na raisi wa Ufaransa wa wakati ule kwa sababu alitaka kutowa ushahidi dhidi ya.kesi iliyomkabili ya kupokea hongo kuendesha kampen ya uraisi. Hakuna chengine. Nyerere alikuwa hataki kuwaona hata Israil pia, sasa hivi tunao kila kona. Unajuaibisha kwa hoja zako za Std 2
 
Gadafi alichukuwa na wafica wakristo sana. Lengo lake la misaada kwa nchi za africa lilikuwa na lengo la kuwasilimisha tu.
Ndo mana alimsaidia muslamu mwenzake idd amini dada ili kuisambatatisha tanzania ili tanzania iwe islamic empire baadae.
Mwl nyerere mpaka anakufa alikuwa hataki kumsikia gadafi.
Pili alikuwa anachinja wale wote wanaomkosoa unaitwa ikulu unapigwa risasi ndugu zako wasipokuona wiki nzima wanajua tayari umeshapigwa risasi.
Ndiyo alkuwa anawajali watu wake kwa kuwatolea mahari nk lakini alikuwa anaua kama nzige.
Mada nzuri ila fupi mno
 
Ushahidi kwahiyo mkuu
 
Ujiulize suala moja tu. Jee Africa na Libya kwa sasa iko bora zaidi kwa vile Gadafi hayupo?

Hujui chochote na broken English yako hiyo! Inaonesha namna gani uko chini kimtazamo. Kama vile ulivoandika heading ya English.uliyokuwa huna hakika nayo kitafsiri, basi vilevile umekurupuka kuandika mada uliyokuwa hujafanyia utafiti. Unafikiria JF ni Groups za whatssapp.

Gadaffi aliuliwa na raisi wa Ufaransa wa wakati ule kwa sababu alitaka kutowa ushahidi dhidi ya.kesi iliyomkabili ya kupokea hongo kuendesha kampen ya uraisi. Hakuna chengine. Nyerere alikuwa hataki kuwaona hata Israil pia, sasa hivi tunao kila kona. Unajuaibisha kwa hoja zako za Std 2
Maneno kuntu!
 
ndio mana misaada yake ilikua kujenga misikiti tu mfano msikiti wa gadafi pale dodoma
 
Wala sikushangaa baada ya kuona hilo jina, halafu inaonekana wewe ni mlibya mweusi usiyejua historia yenu, hata kuandika inakupa shida.
Kweli umeamka vibaya
Unafikiri OAU ilikuwa ya waislam?
Unajua ile ndege iliyolipuliwa na al magrahi wa lockabie?
Gaddafi alikuwa mwanaume haswa ambae alikuwa anawaza mbali sana lakini kwa chuki uliyonayo na kufuata upepo tu kama wa vyama vya kisiasa sintakushangaa sana

Huyu jamaa alikuwa anataka kutengeneza hela za dhahabu (coins) na kuinyanyua Africa unalijua hilo?
Leo unaona cryptocurrency unajua ilianza wapi?
Kasome kwanza ujipange kuliko kuleta hadithi za chuki kwenye forum yetu pendwa
 
Alimsilimisha Jean Bhokasa wa Central Africa akaitwa Saladin Bhokasa kwa makubaliano ya kuendeleza Uislam Central Africa na mapesa mengi mengi.
 
Back
Top Bottom