Burundi yataka Baraza la Haki za Binadamu la UN kufunga ofisi na kuondoka nchini humo

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Wizara ya Mashauri ya nchi za Kigeni na Umoja wa Mataifa imesema baraza hilo la Umoja wa Mataifa limepewa miezi miwili kuondoka Burundi

Shirika la habari la AFP limeunukuu Umoja wa Mataifa ukisema "Serikali ya Burundi imekuwa ikionesha ukali dhidi jamii ya kimataifa,"

Nchi hiyo ilisusia mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki mwezi Novemba uliolenga kuzungumzia mzozo wa kisiasa unaoendelea nchini humo

Mwaka 2007 Burundi ilijitoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai baada ya Mahakama hiyo kuanzisha uchunguzi kuhusu dhuluma nchini humo
=====

The Burundi government has ordered the United Nations Human Rights Council to shut its office in the country within two months, foreign ministry and UN sources told AFP.

The government on Wednesday sent a verbal note to resident UN coordinator Garry Conille to transmit the message to the rights council’s High Commissioner Michelle Bachelet in Geneva.

“All international staff must be immediately redeployed and the office has two months to pack up and close its doors,” according to the high ranking source at the foreign ministry, speaking on condition of anonymity.

A UN source confirmed the information, but also asked not to be named.

“The Burundi government is growing more radical and defiant towards the international community,” the source said, highlighting Bujumbura’s boycott of an East African Community Summit in November.

The gathering of regional heads of state in Tanzania, was meant to focus on the ongoing political crisis in Burundi, after several rounds of mediation failed due to government refusing to meet with exiled opposition groups.

Burundi’s absence forced the postponement of the summit to December 27.

Burundi has been locked in crisis since President Pierre Nkurunziza in April 2015 announced he would seek a controversial third term in office, sparking civil unrest that has left 1,200 dead and over 400,000 displaced.

In October 2016 Burundi suspended co-operation with the UN’s human rights office over its “complicity” in a report accusing Bujumbura of systematic abuses and warning of a risk of genocide.

In September this year Burundi threatened to quit the rights council altogether after another report pointed to crimes against humanity in the country.

In 2017 Burundi became the first nation to leave the International Criminal Court after it launched a probe into the alleged atrocities in the country.
 
Pierre Nkurunzinza nahisi atakua ana matatizo ya akili, hivi ameshindwa kuvuta kumbukumbu zake juu ya kichomtokea MUAMMAR GADAFFI wa Libya???

Gadaffi alikua na pesa nyingi, uchumi mzuri, mahusiano mazuri na nchi zote Africa nzima, jeshi kubwa na kali la kisasa (kuliko yeye Nkurunzinza). Ila waliishia kumtoa roho yake mchana kweupe.

Ni heri aanze kutafuta CHAKA mapema la kujificha. Dunia hii siku hizi hakuna mbabe, ukijifanya mbabe unatekenywa na VIKWAZO VITAKATIFU tu, utavua mpaka chupi kumba msamaha.

Russia & North Korea tu ndio mbegu za vidume zilizobakia tu. Japo nao walishakiri kua vikwazo walivyowekewa viliwayumbisha.
 
These dictators need military solution! Short of that UN is wasting time!
 
wajinga sana hawa, halafu wakipigwa mkwala wepesi sana kulialia

Burundi ni nchi huru, kama jamii ya kimataifa haiheshimu sheria za Burundi, haina budi kutimuliwa.
 
Kwa hiyo we unahisi kuna nchi yaafrica yoyote inaweza kuwa vimbia hao watu,kucheza na hao watu no sawa na MTU kuichezea serikali,hao wakiamua huezi kuwafanya lolote
 
Pierre Nkurunzinza nahisi atakua ana matatizo ya akili, hivi ameshindwa kuvuta kumbukumbu zake juu ya kichomtokea MUAMMAR GADAFFI wa Libya???

Gadaffi alikua na pesa nyingi, uchumi mzuri, mahusiano mazuri na nchi zote Africa nzima, jeshi kubwa na kali la kisasa (kuliko yeye Nkurunzinza). Ila waliishia kumtoa roho yake mchana kweupe.

Ni heri aanze kutafuta CHAKA mapema la kujificha. Dunia hii siku hizi hakuna mbabe, ukijifanya mbabe unatekenywa na VIKWAZO VITAKATIFU tu, utavua mpaka chupi kumba msamaha.

Russia & North Korea tu ndio mbegu za vidume zilizobakia tu. Japo nao walishakiri kua vikwazo walivyowekewa viliwayumbisha.
North Korea mbabe Tokea lini juzi tuu hapa amenyosha mikono juu kuomba vikwazo apunguziwe
 
Burundi ndio kioo bwana jiwe anapenda kujiangalia/yaani ndio sehemu anapenda sana kuiga.
 
Back
Top Bottom