Mbali na staili yake ya uongozi wa kimabavu lakini kwenye hili hatuna budi kumpa tiki kubwa sana.
Kuna nchi nyingi Afrika zinazoongozwa kimabavu na chache zinazojitahidi demokrasia lakini bado...
Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ?
Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu...
Watawala wa Houth huko Yemen wametangaza rasmi kuanza mashambulizi ya meli za marekani zinazofanya biashara ya mafuta na wamesema kwamba makubaliano yao na Rais Donald Trump yamesitishwa..
Kwa...
Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla wa Gaza: Msafara amabao walikuwa wanajidai eti wanapeleka misaada Gaza waziri Itamar Ben-Gvir amesema watu hao...
Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel.
Eti Baraza la amani la mpito la...
Raia mmoja wa Tunisia, Saber Chouchane (56), amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kuchapisha kwenye mtandao wa Facebook, maneno yanayodaiwa kumkashifu Rais Kais Saied na kudhalilisha vyombo vya...
Rais wa Marekani awaambia Israel ‘kuacha mara moja kurusha mabomu Gaza’, asema Hamas iko tayari kwa ‘amani ya kudumu’.
Hamas imesema inakubali sehemu kadhaa za mpango wa Rais wa Marekani Donald...
Wanaukumbi.
Baadhi ya nchi kama Qatar, Misri, Uturuki, Pakisatan, Jordan, Falme za Kiarabu, Iran na Ulaya, kuomba Hamas kukubali mpango wa Amani.
Hamas imewasilisha majibu yake kwa makubaliano...
Mtoto wa aliyewahi kuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amefikishwa katika mahakama ya Harare nchini humo akikabiliwa na shtaka la kupatikana na dawa za kulevya aina ya bangi.
Kwa mujibu wa...
US ya sasa chini ya Trump ni mapambano na mshikemshike kila kona. Wanajeshi wamezagaa kila kona na silaha, watu wanakwidwa na kubebwa mzobemzibe sio poa.
Jihad Al-Shamie, mwenye umri wa miaka 35, raia wa Uingereza mwenye asili ya Syria, aliwagonga watu kwa gari kisha akaanza kuwachoma visu nje ya sinagogi la Kiyahudi la Heaton Park jijini...
Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla, Elon Musk, ameweka rekodi ya kihistoria Oktoba 1, 2025 baada ya kufikia utajiri wa karibu $500 bilioni, sawa na takribani Shilingi za Kitanzania Kadrilioni 1.2 (zaidi...
Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo...
Rais wa Korea Kusini, Lee Jae Myung, ameomba radhi rasmi siku ya Alhamisi kwa niaba ya taifa lake kutokana na usimamizi mbovu wa programu za uasili wa watoto nje ya nchi ambazo zilikuwa zimejaa...
Kwa muda mrefu nchini Nigeria kumekuwa na vikundi vya kigaidi vinavyoua wakristo kwasababu wana dini tofauti, Hata hivyo vyombo vya habari vimekuwa kimya.
kupitia mtandao huru wa X watu wengi...
Watu wawili wameuawa baada ya maafisa wa polisi kufyatua risasi wakijaribu kuwazuia kundi la waandamanaji waliodaiwa kutaka kuvamia kituo cha polisi kusini mwa Morocco, vyombo vya habari vya...
Israel inakadiria kuwa watu 500,000 wameuhama mji wa Gaza wakati IDF ikisonga dhidi ya ngome za Hamas
Wengi walioondoka wanaviambia vyombo vya habari vya Kiarabu kwamba Hamas ilijaribu kuzuia...
Nchi nyingi za Magharibi kwa miaka mingi zimekuwa zikikariwa na jamii ya watu wa Dini ya kikristo, Nazungumzia Amerika Kaskazini, Amerika Kusini na Ulaya. Lakini hivi karibuni kumekuwa na ongezeko...
Takribani watu 30 wamepoteza maisha na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya skafoldi kuporomoka katika Kanisa la Menjar Shenkora Arerti Mariam, jimbo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia. Tukio hilo...