undefine
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 442
- 1,011
Archibishop Hilarion Capuchi
Archibishop maarufu wa zamani wa Palestina amefariki dunia siku ya jana akiwa na umri wa miaka 94.Taarifa kamili imetolewa na ofisi ya Vatican mjini Rome Italia. serikali ya Hamas pamoja na Rais Mahmoud Abbas wametuma rambi rambi huku rais Mahmoud amemtaja Capucchi kama shujaa.
Archibishop Capucchi alizaliwa 1922 na mwaka 1945 aliweza kuwa mchungaji wa kanisa katoliki na miaka 9 baadaye akawa Archibishop.Archibishop Capucci kwa nyakati tofauti alikuwa kiongozi wa nyumba ya ibada ya Jerusalem
mwaka 1960 Archibishop Capucchi alikuwa balozi wa Palestina na amekuwa mwanaharakati wa kupigania haki kwa kuandika makala,kuhubiria kuhusu makandamizo ya wa israel dhidi ya wapalestina,mwaka 1966 Archibishop Capucchi alikamatwa na wana usalama wa Israel kwa kosa la kupitisha silaha,grenades,Rifles kwenye gari lake la Mercedez Benz katika eneo la West Bank kuwapelekea (PLO) palestine Liberation Organisation,Capucchi alipelekwa mahakamani lakini Bishops wengi walisimama kidete kumtetea na wakitoa hoja kwamba kipindi wayahudi wanauliwa na Nazi ,Bishops walikuwa wanatumia nafasi yao kusambaza silaha na kufanya mambo yaliokuwa kinyume kuwatetea wayahudi dhidi ya wakandamizaji lakini serikali ya Israel hawakutaka kumwachi Archibishop na alihukumiwa kifungo cha miaka 12 jela.
Mwaka 1975 PLO walifanya mashambulizi na kushinikiza Serikali ya Israel wamuachia Capucci lakini shinikizo hizo hazikufanikiwa.
Operation Entebbe
Mwaka 1976 makomando wa PFLP waliteka Air France Flight 139 iliyokuwa inatoka Tel Aviv na kwenda Ufaransa ilikuwa na abiria 248.Makomando wa PLPF waliiteka ile ndege na kuamuru kuipeleka Entebbe Uganda mahala ambapo waliwasiliana na Idd Amin ambaye alikubali kuwapokea ili waweke shinikizo wafungwa wa kipalestina ' wanaoshikiliwa katika jela ya Israel waachiwe huru lakini mission hiyo ilifeli baada ya makomando wa Israel kufanya counter operation iliyofanikiwa.,
Viongozi waandamizi wa PLFP baada ya shiniko zao kufeli kumtoa Archibishop Capucci waliandaa mpango wa kuteka ndege iliyokuwa inatoka Tel Aviv na kwenda Ufaransa ili watumie mbinu hiyo kuingia mkataba na serikali ya Israel waachie wafungwa wao waliokuwa wamefungwa kwenye jela za Israel.Haddad kiongozi wa PLFP ndiye aliyeratibu operation yote na alikuwa na mahusiano mazuri na Idd Amin ,watekaji wa ndege walikuwepo wajerumani 2 Wilfred Bose na mwenzake pamoja na makomando 2 wa PLFP.
viongozi was PLFP;
1.Haddad ''alikuwa mkristo aliyezaliwa Kaskazini mwa Israel ya sasa'' pia ni KGB agent.Mpaka anakufa kwa kulishwa sumu na Mossad,Haddad alikuwa anafanya kazi kama KGB Agent.Haddadi alikuwa mwanaharakatii wa PLFP aliyepata mafunzo yake Soviet Union na alikuwa msaidizi wa Habbash.Haddad ndiye aliye operate tukio zima ya ndege ya israel iliyotekwa na kupelekwa Entebbe Uganda
2.George Habbash Muasisi wa PLPF . Habbash alizaliwa mwaka 1926 katika familia ya Orthodox na alikuwa mhitimu wa fani ya udaktari.Alikuwa mwanasiasa na Muasisi wa chama cha PFLP ''Popular front of the liberation of palestine.Habbash alikuwa amejiegemeza katika mfumo wa Marxist -Lennism.Baada ya siasa zake za ujamaa kufeli Habbash akaanza kutumia mbinu ya Guerrila war akiaminini ndio njia pekee ya kuikomboa Palestina.Habbash alifariki mwaka 2008 kwa ugonjwa wa cancer akiwa na umri wa miaka 82 na alizikwa katika kanisa la Eastern Orthodox church.Rais Mahmoud Abbas wa chama cha PLO alitangaza siku 3 ya maombolezo.
3.Ahmed Jibril alikuwa muislamu alizaliwa mwaka 1939 eneo la yazur Israel ya sasa na ni mmoja wa waasisi wa PLFP,Jibril alianzisha chama chake cha kikomunisti ambacho kilikuwa na mlengo wa Marxist PLF lakini baadae aliungana na Habbash na kuunda PLFP.
4.Abu Ali alikuwa muislamu
Baada ya mpango wa wale watekaji ndege kufeli hivyo njia ya kumtoa Archibishop Capucci aliyehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela iliota mbawa lakini Pope John Paul akatokea na kuwa mkombozi.
On November 7, 1977, The Washington Post reported: “Demands for Capucci’s release have turned up regularly in the lists submitted by airplane hijackers, including the Entebbe hijackers, but where the threats have failed, a personal letter from Pope [John] Paul has apparently succeeded. The appeal is being made on humanitarian grounds.”
Pope John Paul aliandika barua kushinikiza Archibishop Capucchi aachiwe na hatimaye ombi ya Pope ilikubaliwa na Serikali ya Israel. Serikali ya Israel Walikubali kumuachia Capucci ila kwa mkataba maalum kuwa Archibishop Capucchi aondoke Palestina na asijihusishe na masuala yeyote yale ya kisiasa. Capucchi aliachiwa huru kwa shinikizo ya Vatican na ombi ya Pope John Paul baada ya kutumikia kifungo miaka 2. Baada ya kuachiwa huru Archibishop Capucchi alihamia Rome Italia lakini mwaka 1979 alirudi Palestina kuhudhuria vikao kadhaa vya chama cha PLO na PLFP kisha kurudi Rome. mwaka 2009 Archibishop Capucchi alipanda ndege kwenda Gaza lakini maofisa wa Israel walizuia ndege hiyo na kumrudisha Capucchi Rome.
Ofisi ya Vatican siku ya jana wametangaza kifo cha Archibishop Capucci na shujaa wa wapalestina
Picha:Wakristo palestina katika sherehe ya christmass na mwaka mpya