Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,318
Waendesha mashitaka nchini Afrika ya kusini wametoa kibali rasmi cha kumkamata na kumshitaki Grace Mugabe mke wa rais aliyetimuliwa madarakani Robert Mugabe kufuatia matendo aliyo kuwa anayafanya dhidi ya raia.Huu ni mwanzo tu na tunaweza kusikia na Mugabe naye anatiwa korokoroni