International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Trump aomba fedha kwa ajili ya ujenzi wa ukuta kwenye mpaka na Mexico na RFI Rais wa Marekani, Donald Trump ametaka kupewa fedha kwa ajili ya ujenzi wa ukuta mrefu kwenye mpaka wa nchi hiyo na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
KWENYE SIASA ZA MAREKANI: JE UNAJUA MAANA YA SERIKALI KUFUNGWA (Government Shutdown) ? 🔍 Swali 1: Nini maana ya Serikali kufungiwa? Jibu: Siasa za Marekani, Serikali kufungwa hutokea pale mambo...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Walimu nchini Zimbabwe wamesema kuwa leo Jumanne wanaanza mgomo kushinikiza kulipwa mishahara yao kwa sarafu ya dola ya Kimarekani. Hayo yameelezwa na muungano wa walimu wa nchi hiyo. Walimu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mahakama nchini Bangladesh imewaweka kizuizini wanaume saba akiweko kiongozi mmoja wa ngazi ya chini wa chama kinachotawala nchini humo cha Awami League, kuhusiana na tuhuma za ubakaji. Mama wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa nchi yake imewapeleka wanajeshi 80 mjini Libreville, Gabon, kuwalinda raia wa Marekani na ubalozi wa Marekani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Rais wa Benki ya Dunia atangaza kung'atuka ktk nafasi yake leo. Je hizi nazo ni siasa maji taka au? ====== World Bank President, Jim Yong Kim has made the surprise announcement that he is...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Tamko hilo limetolewa na baadhi ya mataifa yaliko Ukanda wa Magharibi ikiwemo Umoja wa Ulaya, Marekani, Canada na Urusi. Intaneti ilifungwa nchini DRC siku ya jumatatu kwa amri ya Serikali ambapo...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Matumizi ya PrEP lazima yaambatane na utumizi wa mipira ya kondomu. Miji kama London, San Francisco na New York inasajili visa vichache vya maambukizi ya virusi vya HIV na wataalam wanadai kwamba...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
RAIS Mstaafu wa Afrika Kusini Jacob Zuma, anakusudia kuingia studio hivi karibuni, kurekodi albam ambayo itakuwa na nyimbo za mapambano. Uongozi wa mji wa Durban, mji mkuu wa jimbo lake la...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
======= Wafanyakazi na abiria wa Shirika la Ndege la Brunei wamenusurika baada ya kifaa cha kutunzia nishati ya umeme(Power Bank) kulipuka ndani ya ndege hiyo Picha zilizosambaa kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais Muhammadu Buhari amemteua ndugu yake Amina Zakari kushika nafasi nyeti ndani ya tume ya uchaguzi Tume hiyo itasimamia uchaguzi mkuu wa mwezi Februari mwaka huu ambapo Rais Buhari atawania...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Mfalme Sultan Muhammad V amejiuzulu nafasi hiyo baada ya kudumu kwa muda wa miaka 2 KUALA LUMPUR, (Xinhua) -- Malaysia's King Sultan Muhammad V resigned on Sunday, after over two years serving as...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa mawasiliano nchini Gabon anasema wanajeshi waaminifu kwa serikali ya Rais Ali Bongo wamefanikiwa kuzima jaribio la mapinduzi ya serikali nchini humo. Guy-Bertrand Mapangou ameambia BBC...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
645 Views
GDP UNITED STATES THIRD QUARTER OF 2018 GDP in United States grows 0.8% Gross Domestic Product of United States grew 0.8% in the third quarter of 2018 compared to the previous quarter. This rate...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
1. What is the Tanzania e-Visa? The Tanzania e-Visa is an electronic authorisation from the Government issued in electronic PDF format. It is the equivalent to a visa. The e-Visa is an entry...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali ya Rais Donald Trump iliingia kwenye makubaliano ya Mpango wa Uendeshaji wa Serikali ya Uwazi Lakini hadi sasa imewashtua waangalizi hao wa OGP kwa kutokuweka wazi mipango ya vita dhidi...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Mshauri wa usalama wa taifa wa Marekani anajaribu kuiondolea Israel wasiwasi kuhusu uamuzi wa Rais Donald Trump wa kuwaondoa wanajeshi wake kutoka Syria. John Bolton anakusudia kukutana na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom