International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Maurice Kamto, ambaye alichukuwa nafasi ya pili katika uchaguzi wa urais wa mwezi Oktoba na ambaye anadai kuwa yeye ndio aliibuka mshindi, amekamatwa tangu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika moja ya matamko yake kuhusu ajira kwa vijana rais mstaafu wa zimbabwe aliwahi kutoa ujumbe huu ambao viongozi wengi wa kiafrika hawapendi kuusikia kamwe.tazameni hapo chini huo ujumbe na...
15 Reactions
44 Replies
5K Views
With over 40million mobile network subscriptions reported in Tanzania, the telecom sector forms the backbone of a dynamic and inclusive digital economy. However, for this sector to fulfil its...
1 Reactions
0 Replies
739 Views
Rais wa zamani wa Afrika Kusini amenukuliwa kwa mara ya kwanza Jumatatu wiki hii na tume ya uchunguzi inayohusika na kutoa mwanga kuhusu mashtaka ya rushwa alipokuwa madarakani. Shahidi mmoja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa Venezuela baada ya kutangaza kuvunja mahusiano yote na Marekani ameamuru kufungwa kwa ubalozi na balozi ndogo zote za Venezuela zilizopo nchini humo Rais wa Venezuela Nicolas Maduro...
12 Reactions
117 Replies
12K Views
Jamani kati ya vitu ambavyo nimejaribu kuvifuatilia na nikashindwa kuvielewa ni hii issue ya Brexit ya Uingereza kujitoa kwenye European Union, hadi nafikia kuona kama issue nzima haina logic...
1 Reactions
3 Replies
963 Views
Serikali ya Jiji la Dubai yatoa tuzo za mwaka za usawa wa kijinsia ambapo katika hafla hiyo tuzo zote zilitwaliwa na Wanaume Hali hiyo imewaibua wanaharakati wengi waliozikosoa na kusema hazikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwanamke mzungu mwenye asili ya kijerumani abadilisha rangi ya mwili wake kutoka mweupe(uzungu) kuwa mweusi(Kiafrika). Wakati huku bongo dada zetu wakipambana ya hela yote kujichubua ii kuwa...
2 Reactions
50 Replies
9K Views
Afisa wa Jeshi la Polisi la Nigeria, Dilapo Badmos amewataka watu wote wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja kuondoka nchini humo, au washtakiwe kwa kuvunja Sheria Taarifa hiyo ameitoa kupitia...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Mahakama nchini Misri zimemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela mtangazaji wa TV aliyemuhoji shoga anayejihusisha na biashara ya ngono. Mtangazaji huyo anayejulikana kwa jina la Mohammed...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
1.KESI DHIDI YA MKE: Jamaa mmoja liyejulikana kwa jina Peter Wellis alimpa talaka aliyekuwa mke wake na hakutaka kumlipa fidia.Hivyo alimshtaki kwa kosa la wizi wa mbegu zake za kiume kwa madai...
12 Reactions
102 Replies
11K Views
Huwa najiuliza, ni mikataba gani imewekwa ya kijeshi kuruhusu Jeshi la anga la Israel kutumia anga ya Lebanon kushambulia Syria. Je, Syria wakiamua kushambulia ndege hizo kwa makombora kuelekea...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
"FBI, Open the Door" "FBI, Warrant" Ni sauti ya kwanza kabisa kusikia Roger Stone aliyekuwa Mshauri wa Rais Trump, asubuhi ya leo. Stone anatuhumiwa na mashtaka saba, kutoka kwa special cousel...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Karibu watu 100 waliokuwa katika sherehe za harusi wameangukiwa na ukuta na paa baada ya hoteli kubomoka nchini Peru Hoteli yabomoka 13 wafariki Zaidi ya watu 13 wamepoteza maisha katika kijiji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiongozi wa upinzani amejitangaza kuwa rais wa mpito huku rais Maduro akiwa bado anajiona ni rais. USA, Canada na nchi mbali mbali za amerika kusini zimemtambua mpinzani aliyejitangaza rais wa...
14 Reactions
83 Replies
14K Views
Watu kumi wameuawa katika shambulio la kigaidi katika Kijiji cha Sikiré, kilomita ishirini kutoka Manispaa ya Arbinda, katika mkoa wa Soum, nchini Burkina Faso, kwa mujibu wa vyanzo vya polisi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
China ni nchi inayoongoza kwa kufungiwa mitandao mingi sana ya kijamii, website pamoja na applications. Baadhi ya sababu zilizoripotiwa kwamba zimefanya mpaka kufungiwa kwa mitandao hiyo ni...
6 Reactions
71 Replies
14K Views
Umoja wa Mataifa umesema makaburi ya pamoja zaidi ya 50 yamegundulika katika mkoa huo, ambapo taarifa zinasema yalichimbwa na mashirika ya kiraia kwa ajili ya kuwazika walipoteza maisha. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni siku saba sasa tangu mwanasoka wa Argentina Emiliano Sala pamoja na rubani wake watoweke pamoja na ndege yao. Na kwa siku tatu za awali tangu kupotea kwao mamlaka za Uingereza zilijitahidi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri mkuu wa Canada, Justin Trudeau amemuachisha kazi balozi wa nchi yake nchini China. Trudeau amesema amemuomba McCallum ajiuzulu. Balozi huyo amekuwa akikosolewa kufuatia matamshi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom