Mwanamke wa Kijerumani abadili rangi ya ngozi kutoka kuwa nyeupe hadi nyeusi

wolfpack

JF-Expert Member
Aug 6, 2013
1,140
1,348
Mwanamke mzungu mwenye asili ya kijerumani abadilisha rangi ya mwili wake kutoka mweupe(uzungu) kuwa mweusi(Kiafrika).

Wakati huku bongo dada zetu wakipambana ya hela yote kujichubua ii kuwa weupe basi kuna baadhi ya weupe wanapambana kuwa weusi.

Screen Shot 2019-01-25 at 06.09.56.png

Screen Shot 2019-01-25 at 06.13.03.png


Link: Trading Races: Model Turns Herself Black
 
Atabadilisha vyote lakini KIPOCHI MANYOYA kitabaki LADHA YA KIZUNGU ile ile....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sindano za kuongezea joto

"ᵀʳʸ ⁿᵒᵗ ᵗᵒ ᵇᵉᶜᵒᵐᵉ ᵃ ᵐᵃⁿ ᵒᶠ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ᵇᵘᵗ ʳᵃᵗʰᵉʳ ᵗʳʸ ᵗᵒ ᵇᵉᶜᵒᵐᵉ ᵃ ᵐᵃⁿ ᵒᶠ ᵛᵃˡᵘᵉ✓"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom