International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mambo vipi wadau??..binafsi nmekuwa na maswali mengi kuliko majibu kuhusu kiburi cha Marekani, katika tafuta tafuta nmekutana na hili hapa chini. Miaka ya 1940s kumewahi tokea ajali kubwa maeneo...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Mpinzani wa Maduro aliye jipa urais nchini Venezuela bwana Guaoido amekata ofa iliyotolewa na rais Maduro ya kukutana kwao na kuzungumzia hatma ya Venezuela. Guaoido anadai yeye ni rais wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Aliyekuwa waziri wa zamani wa michezo wa Ivory Coast ambaye kwasasa ni mbunge, Alain Lobognan amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kusambaza taarifa za uongo kupitia ukarasa wake wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Russia claims no knowledge of plane sent to Venezuela 'to extract 20 tonnes of gold' from national bank Daria Litvinova , The Telegraph•January 30, 2019 Allegations that a Russian jet which...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hispania, Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zimempa kiongozi wa Venezuela, Nicolas Maduro siku 8 tu za kuitisha uchaguzi upya ama la si hivyo watamtambua kiongozi wa upinzani Juan Guaido kuwa Rais...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Maandamano makubwa yanatarajiwa kufanyika nchini Venezuela baadae hii leo katika harakati za kumataka raisi wa nchi hiyo Nicolas Maduro kujiuzulu. Harakati hizo zinachochewa na Juan Guaido ambaye...
6 Reactions
65 Replies
6K Views
Wanajamvi, Hatujajuwa ni kwa namna gani mgogoro wa Venezuela utafikia mwisho wake!! Lakini ukweli ni kwamba mataifa makubwa yamegawanyika! Na mataifa hayo makubwa, Sasa yanataka mataifa mengine...
5 Reactions
39 Replies
7K Views
Habari wana ukumbi, je Urusi inategemea nini kwenye uchumi wake na shilingi yake ina nguvu gani duniani!
2 Reactions
57 Replies
8K Views
Huyu jamaa n mmoja Kati ya watu niliotokea kuwa nawakubali kwa vitu ambavyo wanaviamini na kuvijengea msingi imara. NI ambae haoneshi kutetereka au kumpa hisia za ushindi mpinzani wake hii...
10 Reactions
39 Replies
4K Views
RAIS Emmanuel Macron wa Ufaransa amezitaka nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) kususa kufanya mazungumzo mapya na Uingereza kuhusu makubaliano ya kujiondoa kutoka umoja huo, maarufu kama Brexit...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Email Russian Deputy Foreign Minister Sergei Ryabkov stated that Israel’s security is one of Moscow’s “top priorities” in the Middle East. By Daniel Krygier, World Israel News Russia recently...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakati sisi bado tunakimbizana na mashine za kukusanyia ushuru na zile za kupigia chabo sms za wananchi.. nchi ndogo kama mkoa wa kigoma itarusha satillite yake ya kwanza. Kuna faida lukuki...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
A man in China has been detained after allegedly poisoning and stealing four dogs. The suspected dog snatcher killed the pets because he wanted to eat dog meat, according to reports. He claimed...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong In wapanga kukutana nchini Vietnam mwishoni mwa mwezi huu(Februari) Mpango wa mkutano huo uko kwenye hatua za mwisho ambapo...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Maelfu ya raia nchini Venezuela, wakiongozwa na Spika wa bunge Juan Guaido aliyejitangaza rais wa mpito wameandamana Jumatatu wiki hii ili kushikiza jeshi kutomtii rais Nicolas Maduro."...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kati ya tarehe 4 Feb-7Feb,nimesikia kuna mkutano mkubwa wa Madini utakaofanyika hapo kwenye jiji la Cape Town(SA),Kutokana na kasi ya my no 1 kuhusu suala hili ninategemea my no 1atajitahidi...
0 Reactions
2 Replies
714 Views
Marekani itajitoa kutoka mkataba wa silaha za nyuklia na Urusi, kwa mujibu wa rais Donald Trump. Akihutubia waandishi wa habari Trump alisema Urusi ilikiuka mkataba wa mwaka 1987 unaofahamika kama...
1 Reactions
88 Replies
14K Views
Serikali ya nchi hiyo iko mbioni kuwadukua Wananchi wake kwenye vifaa vyote vinavyotumia huduma ya mtandao kwa lengo la kuboresha usalama Kwa hatua za awali Serikali ya Japan imepanga kudukua...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Huawei, the Chinese telecommunications giant, was charged with a series of crimes by the US on Monday, in an escalation of hostilities between the world’s biggest economic powers. The US justice...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Vatican City (AFP) Pope Francis has made dialogue with Islam a cornerstone of his papacy, which began in 2013, and visited several countries with large Muslim populations...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…