Mining indaba 2019 cticc south africa.

Mining indaba 2019 cticc south africa.

Nkanini

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
7,155
Reaction score
17,425
Kati ya tarehe 4 Feb-7Feb,nimesikia kuna mkutano mkubwa wa Madini utakaofanyika hapo kwenye jiji la Cape Town(SA),Kutokana na kasi ya my no 1 kuhusu suala hili ninategemea my no 1atajitahidi kwenda kutuwakilisha kwenye mkutano huu muhimu,kashindwa sana basi hata waziri wetu wa madini ahudhulie mkutano huu ambao kuna manufaa mengi nchi yetu itanufaika nayo.
 
Hatujajipanga vizuri kwenye soko la Madini tuliyonayo ndio maana yapo ila taarifa muhimu za soko hazipo kutwa kuweka mazingira magumu ya kuuza na ndiyo inatengeneza mwanya wa kufanya njia za panya kutoka kwa Madini Tanzania...
 
Kweli mkuu! Kama ulivyosikia huko South Africa, ikiwa kashindwa sana basi hata waziri wetu wa madini ahudhulie mkutano huu ambao kuna manufaa mengi nchi yetu itanufaika nayo.

Natumaini wahusika wamekuelewa, watahudhuria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom