Huawei: US charges Chinese telecoms giant with stealing trade secrets

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,015
Huawei, the Chinese telecommunications giant, was charged with a series of crimes by the US on Monday, in an escalation of hostilities between the world’s biggest economic powers.

The US justice department said Huawei had based its global expansion on “lies and deceit”. It accused the firm and its executives of stealing trade secrets, laundering money, obstructing justice and defrauding banks to elude US sanctions.

Matthew Whitaker, the acting attorney general, said criminal offending at Huawei went “all the way to the top of the company”. He announced that grand juries in Seattle and New York had issued indictments on 23 criminal charges.

HideKirstjen Nielsen, the US homeland security secretary, said Huawei had operated a scheme that had been “detrimental to the security of the United States” by undermining sanctions against Iran.

The company, which is the world’s biggest manufacturer of telecommunications equipment, has consistently denied wrongdoing.

Huawei is accused by the US of stealing robot technology from T-Mobile for making smartphones. The FBI said it obtained emails showing that in 2013, the company offered bonuses to employees based on the value of information they stole from other companies and sent home via an encrypted email address.

Engineers from Huawei measured and took photographs of the robot, “Tappy”, and even stole a piece of it for replication in China, prosecutors said, and were falsely disowned as rogue employees by the company when they were caught.

The company and its chief financial officer, Meng Wanzhou, are also accused of defrauding banks and lying to the US to get around economic sanctions on Iran. They claimed to have sold an Iranian subsidiary but had actually sold it to themselves, US prosecutors said.

Meng, 46, who is the daughter of the company’s founder, was arrested in Canada on 1 December following a request by the US, which will now seek to extradite her. She is accused of personally making a presentation to a “major banking partner” in which she “repeatedly lied” about the company’s relationship to the subsidiary, Skycom.

Meng is currently under house arrest and the US justice department has until 30 January to file a formal extradition request.
Another senior executive falsely told FBI agents that Huawei did not directly deal with Iranian companies, according to US authorities, and falsely said Huawei complied with all US export laws.

The charges said Huawei had also obstructed justice by concealing or destroying evidence about its Iranian subsidiary, and even moving potential witnesses who knew about the fraud back to China so they could not be reached by US investigators.

Prosecutors said that, as a corporate entity, Huawei could be punished by a fine of three times the value of the stolen trade secret, and up to $500,000 for wire fraud and obstruction of justice.

The charges are likely to raise tensions between China and the US amid a trade war between the world’s two biggest economies. They were unveiled shortly before trade talks between American and Chinese officials were due to resume.

Meanwhile, Meng’s arrest in Vancouver has provoked the detention and alleged abuse of two Canadian citizens in China, amid an ongoing diplomatic row between the two countries.

Huawei has long been considered a cybersecurity risk by US authorities. The Trump administration has pressured American technology companies to not use Huawei components, and have asked allied governments to do the same.

Whitaker said on Monday: “China must hold its citizens and Chinese companies accountable for complying with the law.”
=====

Marekani imeishtaki kampuni kubwa ya mawasiliano ya China, Huawei na afisaa mkuu wake wa fedha, Meng Wanzhou.

Mashataka hayo ni pamoja na ubadhirifu wa fedha, kupinga utekelezaji wa haki na wizi wa teknolojia.

Kesi hiyo huenda ikazua mgogoro wa kibiashara kati ya Marekani na China hali ambayo itaathiri biashara ya kampuni hiyo.

Katika taarifa, Huawei imesema kuwa "imeghadhabishwa na mashtaka dhidi ya yake".

Imesema kuwa haikufanya makosa yote "yanayodaiwa ilitekeleza" na kwamba"haina ufahamu wa kosa alilotekeleza Bi Meng".

Meng ambaye ni binti wa mwanzilishi wa Huawei, alikamatwa nchini Canada mwezi uliyopita kufuatia ombi la Marekani kwa madai ya kukiuka vikwazo vyake dhidi ya Iran.

"Kwa miaka sasa, kampuni za China zimekiuka sheria zetu za biashara ya kimataifa, hatua ambayo inahujumu vikwazo vyetu na mara nyingine kutumia mfumo wa fedha wa Marakani kuendesha shughuli zao haramu. Hili lazima likomeshwe," alisema waziri wa biashara wa Marekani, Wilbur Ross.

Huawei ni ya pili duniani kwa uundaji wa simu nyingi za aina ya smartphone

Mashtaka ni yapi ?
Mashtaka hayo yanadai kuwa Huawei iliipotosha Marekani na benki ya kimataifa na kufanya biashara na Iran kupitia kampuni zake mbili za mawasiliano,Huawei Device USA na Skycom Tech.

Utawala wa rais Donald Trump ulirejesha vikwazo vyote dhidi ya Iran vilivyokuwa vimeondolewa chini ya mkataba wa kimataifa wa Nuklia uliyofikiwa mwaka 2015.

Kesi ya pili inadai kuwa Huawei iliiba teknolojia kutoka kwa T Mobile kufanyia majaribio ya kudumu kwa yake, pamoja na kupinga sheria na ubadhirifu wa fedha kupitia mtandao.

Huawei ni mojawapo ya kampuni kubwa ya mawasiliano na usambazaji wa simu duniani, ambayo hivi karibuni iliishinda Apple na kuwa ya pili kwa uundaji wa simu aina ya smartphone baada ya Samsung.

Lakini Marekani na mataifa mengine ya magharibi yana hofu kuwa serikali ya China huenda ikatumia teknolojia ya kampuni ya Huawei kuimarisha uwezo wake wa kijasusi, japo kampuni hiyo inasisitiza kuwa haina ushirikiano wowote wa kibiashara na serikali.

Hatua ya kukamatwa kwa Bi Meng, binti ya mwanzilishi wa Huawei iliikasirisha China.

Alikamatwa Disemba mosi mwaka jana nchini Canada katika mji wa magharibi wa Vancouver kufuatia ombi la Marekani.

Baadae mahakama ilimuachiliwa kwa dhamana ya dola milioni 76.
 
Hao jamaa wazushi kinoma, wameharibu soko la telecom Engineers hapo bongo kwa kuleta equipments famba kwa bei rahisi huku Ericsson wakipigwa benchi.

Engineer wa Ericsson alikuwa anaweza lipwa hata 10k usd ila hao jamaa wameharibu kinoma watu wako kitaa koz wameleta chinese kufanya kazi kwa cheap labour. Kuna integration moja ya Huawei tuligundua wanaingia kwenye nodes wakitokea huko China bila permission kwenye nodes za billing. Mbafu sana hawa wanaoitwa marafiki zetu katika uchumi. Kama Australia, Canada hawataki sikia equipment ya Huawei hata kama ni bure.
 
In rural America where I live, Huawei's equipments have made the implementation of 4G possible and affordable. So from consumer point of view, the company has done a wonderful job and I am loving it.

With regard to your Ericsson engineer, tell him to find another job.
 
Hapa ni chuki za Marekani dhidi ya hii Kampuni. Kwasasa baada ya Samsung kwa mauzo ya simu Kampuni ya Huawei imechukua nafasi ya 2 na kuiondoa kampuni ya Apple. Huawei kwasasa wameanza kuingia kwenye mfumo wa 5G na hii imewashtua sana wa Marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In rural America where I live, Huawei's equipments have made the implementation of 4G possible and affordable. So from consumer point of view, the company has done a wonderful job and I am loving it.

With regard to your Ericsson engineer, tell him to find another job.
He has already. Ingawa point yako haina mashiko, so kwa kuwa Huawei wamepenetrate mpaka rural areas basi waachwe tu waibe data kwa mitambo yao?Really?
 
Kama sio wachina, technolojia mpya nchi za Afrika tungekuwa tunachelewa sana kupata
Say it again......

kumbuka hawa wazungu hata TV tu wametuletea baada ya miaka 60 toka kuvumbuliwa kwake.... tena ilikuwa kwa wachache sana,

Hawa watu wanaotukuza /wanaoshabikia wazungu wanasahau kuwa bila mchina hata hivi vismart phone tungekuwa bado tunaviona tu kwenye movie za Mmarekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In rural America where I live, Huawei's equipments have made the implementation of 4G possible and affordable. So from consumer point of view, the company has done a wonderful job and I am loving it.

With regard to your Ericsson engineer, tell him to find another job.
ahahahaha eti tell him to find another job. Or just to discover similar technology
 
He has already. Ingawa point yako haina mashiko, so kwa kuwa Huawei wamepenetrate mpaka rural areas basi waachwe tu waibe data kwa mitambo yao?Really?

I think Bowie has answered you. I believe to large extent, the West wants to protect their domestic companies and also to mitigate security risks which come with using equipment from Chinese manufacturers.

Yes Chinese have stolen some technologies. However, the practice of stealing from another isn't knew at all. Samsung have stolen some ideas from Apples. And Apples stole its Mac graphics from Xerox. The point is industrial espionage isn't a new game in town. Everybody or every company has done it.

If American company steal from another America company. The two companies go to court and let the judge decide. Now with regard to Huawei, we see direct involvements of government.

To me see China beating the West on their own game. It's simple as that.
 
Ukisoma habari
Hao jamaa wazushi kinoma, wameharibu soko la telecom Engineers hapo bongo kwa kuleta equipments famba kwa bei rahisi huku Ericsson wakipigwa benchi.

Engineer wa Ericsson alikuwa anaweza lipwa hata 10k usd ila hao jamaa wameharibu kinoma watu wako kitaa koz wameleta chinese kufanya kazi kwa cheap labour. Kuna integration moja ya Huawei tuligundua wanaingia kwenye nodes wakitokea huko China bila permission kwenye nodes za billing. Mbafu sana hawa wanaoitwa marafiki zetu katika uchumi. Kama Australia, Canada hawataki sikia equipment ya Huawei hata kama ni bure.
Ukiisoma mada utakuta hakuna malalamiko ya "engineering" au "technology", kuna malalamiko ya wizi wa siri za kibiashara na utakatishaji wa fedha na menyineyo.

Hizo ni mbinu za kuwapunguza makali na kuwafanya Huawei wabakishe faida kiasi fulani hapo hapo USA.

Kwa ufupi, USA ni kama waliokuwa wamelala usingizini kuzinduka wanaona wameachwa nyuma. Ni lazima wafanye kila hila kuwapunguza makali Wachina.
 
ahahahaha eti tell him to find another job. Or just to discover similar technology

In tech complaining and staying static don't help. 15 years ago, Nokia was the best phone company in the world. They were the pioneer of cell phones. Where are they now? They were beaten clearly. I don't know if Blackberry or Ericson makes phones anymore. Apples is struggling now

If Western companies can't make cheap electronic devices such as cellphones, computers etc, they will struggle to make cell-phone infrastructures. It's simple as that. You can't beat the cheap labor that is available in China in a fair competition.
 
ok
 
I think Bowie has answered you. I believe to large extent, the West wants to protect their domestic companies and also to mitigate security risks which come with using equipment from Chinese manufacturers.

Yes Chinese have stolen some technologies. However, the practice of stealing from another isn't knew at all. Samsung have stolen some ideas from Apples. And Apples stole its Mac graphics from Xerox. The point is industrial espionage isn't a new game in town. Everybody or every company has done it.

If American company steal from another America company. The two companies go to court and let the judge decide. Now with regard to Huawei, we see direct involvements of government.

To me see China beating the West on their own game. It's simple as that.
Nakubaliana na wewe katika hilo suala la kuibiana technology. Lakini mimi nimejikita katika risk na market instability hawa wachina wamepeleka huko Africa. Mfano Ericsson ndio walikuwa wamedominate sana kufunga mitambo ya GSM kwa Africa by then. Na kusema ukweli nguvu kazi ya vijana wa kiafrica iliimarika sana toka training na mishahara minono sana.

Nitolee mfano hapo Tanzania, huawei wakalobby wakaanza roll out ya mitambo ya Ericsson wakafunga ya kwao. Funny thing, almost after one year ya presence yao vijana wakaanza fukuzwa kazi sababu wameleta wachina wafanye hizo kazi. Na pia mitambo ya hao huawei ni ya kizushi koz wana fix sana KPI parameters ili kumridhisha mteja. Naamini kampuni za west haziwezi kufix vitu kama hivyo sababu serikali zao ziko strict kuwa-audit unlike China.

So ni kweli, Chinese presence inapunguza ile monopoly ya west lakini imeua sana nguvu kazi mfano hapo Tanzania. Hata tu AU-African Union juzi kati waligundua Chinese wanawasikiliza bila idhini yao kisa wamefunga mitambo yao kwenye jengo la Umoja wa Africa hapo Adis. Hao jamaa ni cancer.
 
Ukisoma habari
Hao jamaa wazushi kinoma, wameharibu soko la telecom Engineers hapo bongo kwa kuleta equipments famba kwa bei rahisi huku Ericsson wakipigwa benchi.

Engineer wa Ericsson alikuwa anaweza lipwa hata 10k usd ila hao jamaa wameharibu kinoma watu wako kitaa koz wameleta chinese kufanya kazi kwa cheap labour. Kuna integration moja ya Huawei tuligundua wanaingia kwenye nodes wakitokea huko China bila permission kwenye nodes za billing. Mbafu sana hawa wanaoitwa marafiki zetu katika uchumi. Kama Australia, Canada hawataki sikia equipment ya Huawei hata kama ni bure.
Ukiisoma mada utakuta hakuna malalamiko ya "engineering" au "technology", kuna malalamiko ya wizi wa siri za kibiashara na utakatishaji wa fedha na menyineyo.

Hizo ni mbinu za kuwapunguza makali na kuwafanya Huawei wabakishe faida kiasi fulani hapo hapo USA.

Kwa ufupi, USA ni kama waliokuwa wamelala usingizini kuzinduka wanaona wameachwa nyuma. Ni lazima wafanye kila hila kuwapunguza makali Wachina.
 
Ukisoma habari

Ukiisoma mada utakuta hakuna malalamiko ya "engineering" au "technology", kuna malalamiko ya wizi wa siri za kibiashara na utakatishaji wa fedha na menyineyo.

Hizo ni mbinu za kuwapunguza makali na kuwafanya Huawei wabakishe faida kiasi fulani hapo hapo USA.

Kwa ufupi, USA ni kama waliokuwa wamelala usingizini kuzinduka wanaona wameachwa nyuma. Ni lazima wafanye kila hila kuwapunguza makali Wachina.
Mimi nadhani wizi huo pia unakuwa umechakatwa kwa kuwa wachina wanatengeneza simple tech na kwa bei rahisi. Ndio maana wamepata soko sana ya bidhaa zao za mitambo ya simu huko Africa na kwingineko. Kumbe basi, pamoja na kutengeneza bidhaa za bei rahisi kumbe wanacompensate kwa kuiba mawasiliano au data kwa siri. Sasa kama makampuni ya simu Africa yakifunga mitambo yao vitu viwili hutokea, kwanza nguvu kazi za wazawa zitaathirika maana lazima walete wachina wapige kazi, pili wizi wa nyaraka lazima utokee.

Ingawa naamini hata hao west wanaiba nyaraka lakini hawaathiri sana nguvu kazi wanazozikuta za wazawa kwa kuwapa mafunzo na mishahara minono.
 
Nakubaliana na wewe katika hilo suala la kuibiana technology. Lakini mimi nimejikita katika risk na market instability hawa wachina wamepeleka huko Africa. Mfano Ericsson ndio walikuwa wamedominate sana kufunga mitambo ya GSM kwa Africa by then. Na kusema ukweli nguvu kazi ya vijana wa kiafrica iliimarika sana toka training na mishahara minono sana.

Nitolee mfano hapo Tanzania, huawei wakalobby wakaanza roll out ya mitambo ya Ericsson wakafunga ya kwao. Funny thing, almost after one year ya presence yao vijana wakaanza fukuzwa kazi sababu wameleta wachina wafanye hizo kazi. Na pia mitambo ya hao huawei ni ya kizushi koz wana fix sana KPI parameters ili kumridhisha mteja. Naamini kampuni za west haziwezi kufix vitu kama hivyo sababu serikali zao ziko strict kuwa-audit unlike China.

So ni kweli, Chinese presence inapunguza ile monopoly ya west lakini imeua sana nguvu kazi mfano hapo Tanzania. Hata tu AU-African Union juzi kati waligundua Chinese wanawasikiliza bila idhini yao kisa wamefunga mitambo yao kwenye jengo la Umoja wa Africa hapo Adis. Hao jamaa ni cancer.

In Economics, you trade with a person who will give a competitive advantage. In a competitive advantage environment, if you can't make you own product, then you buy from somebody who is willing to give you a lower price. You will use the money left for other activities (optimum resource allocation).

African countries can't make the equipments and the question is why should African countries buy Ericsson when Chinese offer something at lower prices? It is true that people who used to work for Ericsson were paid good money. However, in a grand scale, individual interests shouldn't override economic imperatives.

Here's the thing. If America let their Car manufacturing companies fail, they will not be able make to military vehicles. If they let Boeing dies, they will struggle in Air defense. If the let their telecommunication companies disappear, they won't communicate securely. In other words, if America keeps their own commercial and private companies viable, those companies in turn will help public and military sectors.

For us Africans, it doesn't matter. We don't build our own equipments and we don't have our own capability. So the cheaper the better.
 
Mimi nadhani wizi huo pia unakuwa umechakatwa kwa kuwa wachina wanatengeneza simple tech na kwa bei rahisi. Ndio maana wamepata soko sana ya bidhaa zao za mitambo ya simu huko Africa na kwingineko. Kumbe basi, pamoja na kutengeneza bidhaa za bei rahisi kumbe wanacompensate kwa kuiba mawasiliano au data kwa siri. Sasa kama makampuni ya simu Africa yakifunga mitambo yao vitu viwili hutokea, kwanza nguvu kazi za wazawa zitaathirika maana lazima walete wachina wapige kazi, pili wizi wa nyaraka lazima utokee.

Ingawa naamini hata hao west wanaiba nyaraka lakini hawaathiri sana nguvu kazi wanazozikuta za wazawa kwa kuwapa mafunzo na mishahara minono.
Naona unajichanganya sana kwenye hii mada. Ngoja nimwage darsa kidogo kwenye hii mada kwani ndiyo taaluma yangu "telecommunications".

Kwanza napenda ufahamu kuwa "technology" ni "simplicity". Teknolojia yoyote ambayo hailengi kufanya unafuu wa gharama, urahisi wa matumizi na ubora wa bidhaa basi itakuwa teknolojia mfu.

Kuhusu "wizi" wa data za kibiashara, kuna namna mbili, kuna uhalali na uharamu.

Teknolojia nzima ya "telecommunications" ndiyo iliyozaa teknolojia mpya iitwayo "information technology".

Ili uwe kwenye soko ni muhimu sana kuwa na teknolojia na habari (information).

Kwenye kesi walizofungua USA kama zilivyo kwenye mada, hakuna kesi ya engineering wala teknolojia ya bei rahisi. Kuna malalamiko ya "commerce" tu.

Unapoongolea urahisi usichanganye "technology" na "standards". US wana standards zao na hawaruhusu teknolojia ambayo hai meet hizo standards. Afrika tuna standards ama zetu ama za wenzetu tunazozifata lakini rushwa, uzembe na ujinga hutufanya tufumbie macho hizo standards.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom