13 wafariki kwenye ajali ya lori na msafara wa harusi

miss zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
2,925
2,000
Lori limegongana na msafara wa harusi na kusababisha vifo vya watu 13 katika jimbo la Racastan magharibi mwa India.

Afisa Mkuu wa Wilaya Shyam Singh Rajpurohi, amesema kuwa ajali hiyo imetokea katika barabara kuu ya mji wa Pratapgarh baada ya lori liyokuwa ikienda kwa kasi kubwa kugongana na msafara wa harusi na kusababisha vifo vya watu 9 papo hapo.

Watu wengine wanne wamefariki baad ya kufikishwa hospitali.

Watu wengine 19 wamejeruhiwa.

Trt
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom