International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Majeshi ya Israel taarabu yameanza kujisogeza taaratibu ili kuweza kukalia 53% ya Gaza na kuwaachia 47% magaidi wa Hamas
3 Reactions
12 Replies
418 Views
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ametoa uamuzi wa kushangaza kwa kumteua tena Sébastien Lecornu kuwa Waziri Mkuu wa Ufaransa, hatua iliyozua maoni tofauti kutoka kwa wananchi na wanasiasa wa...
1 Reactions
5 Replies
434 Views
Haya mapicha yanasikitisha, hapa kuna link kwa yeyote mwenye uwezo wa kutoa misaada abofye akasaidie, hali ni mbaya, hadi nimekosa hata hamu ya kula...
1 Reactions
6 Replies
396 Views
Mpango wa Trump wa vipengele 20 kuhusu Gaza Rais wa Marekani Donald Trump amependekeza mpango wa amani wenye vipengele 20 ili kumaliza vita vya Gaza baada ya kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa...
2 Reactions
2 Replies
260 Views
Hasa kizazi cha miaka.ya 70 na 80s ambao wengi wazazi wenu walizaliwa miaka ya 60 mwanzoni hadi kati kati, 50 na 40. Wazazi wenu walikuwa wana waambia. 1. Acheni kuvuta bangi na sigara ninyi...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Oktoba 7, 2023 ndipo Hamas walivamia watu waliokuwa kwenye starehe na kuwafanya mateka. Nini kiliendelea? Viongozi Muhimu wa Kisiasa na Kijeshi Waliouawa Baada ya Operesheni Mafuriko ya...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Mwanaharakati wa upinzani wa Venezuela María Corina Machado ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2025 kwa ujasiri wa kupigania demokrasia na uchaguzi huru licha ya vitisho. Kamati ya Nobel imemsifu...
2 Reactions
4 Replies
343 Views
Nimeidhinisha awamu ya kwanza ya mpango, mateka wetu wote wataletwa nyumbani. Haya ni mafanikio ya kidiplomasia na ushindi wa kitaifa na kimaadili kwa Taifa la Israeli. Tangu mwanzo, niliweka...
3 Reactions
27 Replies
770 Views
Waziri Mkuu Netanyahu anasema Israel iko katika hatua nzuri ya kufikia malengo yake, haswa kuwarudisha mateka wote. Anamshukuru Rais Trump, Jared Kushner, na Steve Witkoff kwa jukumu lao muhimu...
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Anaitwa Mchungaji Robert Morris, amewahi kuwa Kiongozi wa kanisa kubwa la kiroho Texas, mshauri wa kiroho na rafiki kubwa wa Rais Trump.
2 Reactions
19 Replies
752 Views
Katika pitapita zangu nikakutana na hii video jamaa anamuuliza mdau mwingine kuwa kwa nini Hawa wafuasi wa Palestina na Uislamu hawawezi kupeperusha bendera ya Palestina wakiwa kwenye mataifa ya...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
https://youtube.com/shorts/BcPMdncuO2M?si=d_GrBtIPloZPcaqo Hivi atasubutu kumgusa China, nimebidi kucheka tu.
5 Reactions
14 Replies
750 Views
Maneno kama “Mshiriki mwenye ushawishi mkubwa zaidi katika masuala ya kimataifa”, “Mshirika wa kuaminika”, “China inazidi kuvutia”. Yanasikika zaidi katika zama hizi. Hivi karibuni, hojaji...
1 Reactions
1 Replies
304 Views
Rais wa Marekani Donald Trump kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Truth social ameandika kuhusu Makubaliano ya awali ya amani kati ya Israel na kundi la Hamas na kuwa mateka wote wataachiwa huru na...
1 Reactions
1 Replies
217 Views
Waandamanaji nchini Madagascar wamekataa kushiriki mazungumzo yaliyotangazwa na Rais Andry Rajoelina Oktoba 8, 2025, wakimtuhumu kiongozi huyo na serikali yake kwa vitendo vya ukandamizaji. Rais...
0 Reactions
1 Replies
272 Views
Baada ya Majeshi shupavu ya Israel kushusha kipondo kikali kwa magaidi wa Hamas hatimaye usiku wa kuamkia leo wamekubali kwa hiari yao kuwaachia mateka waliowateka Oct 07,2023. Kukubali kwao...
0 Reactions
1 Replies
241 Views
Uchaguzi wa Malawi uliofanyika na Malawi kupata Rais wa kuongoza nchi ya Malawi. Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano ijayo ataondoshwa. Huu ni uhakika wa 100% ataondoshwa...
2 Reactions
14 Replies
717 Views
HUU HAPA MPANGO WA KUMALIZA VITA YA GHAZA AMBAO ULIMWENGU WOTE UMEUKUBALI KUWA UNAFAA . Na Tonny Gwanco Mpango wa Amani wa Gaza wenye vipengele 20 uliotolewa na Donald Trump Waziri Mkuu wa...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Ukichunguza vizuri nchi hizi utaona ndiyo vinara wa rushwa duniani. Rushwa zao wamezifichaficha na kuzihalalisha kwenye makaratasi. US wanapeana rushwa kubwa kubwa wanazoita lobbying. Unakuta...
1 Reactions
5 Replies
248 Views
Serikali ya Ivory Coast imepiga marufuku mikutano na maandamano ya umma yanayolenga kupinga kuondolewa kwa viongozi wakuu wa upinzani kwenye uchaguzi wa urais unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25...
1 Reactions
7 Replies
415 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…