International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

An Ethiopian airline boeing 737 Max airplane has crashed en route from Addis Ababa to Nairobi . CARRYING 149 passengers and 8 crew members . Note: Kenya's Transport secretary says there were...
3 Reactions
78 Replies
20K Views
Idadi ya watu waliokufa kutokana na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko Kusini mwa Malawi imefikia watu 28. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo iliyotolewa Jumamosi imesema kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Benki ya England imeazuia maafisa wasaidizi waliotumwa na Nicolas Maduro kutoa dhahabu yenye thamanai ya dola bilioni 1.2 Wamechukua uamuzi huo ili kumdhibiti Maduro anayehangaika kuendeleza...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Waziri wa afya wa TunisiaAbdurrauf esh-Sherif amejiuzulu wadhifa wake baada ya kutokea vifo vya watoto 11 katika hospitali moja ya serikali mjini Tunus. Waziri mkuu wa Tunisia Yusuf Esh Shahid...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
May 31, 2009 katika uwanja wa ndege wa Rio De jeneiro ilikua ni siku ya kawaida kama zilivyokua siku zingine katika maeneo hayo. Saa nne usiku ndege ya shirika la ndege la ufaransa, Airbus...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mahakama ya Khartoum imemhukumu kifungo cha wiki moja jela Naibu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani cha Umma Mariam Sadiq al-Mahdi pamoja na wanawake wengine wa upinzani, mbali na kuwatoza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
I don’t like to send religious articles but we need to be aware of what is going on. A friend of mine calls Trump a hero. That doesn’t affect our friendship though we have different views. He...
0 Reactions
3 Replies
955 Views
Hawa majamaa ni washenzi kweli, kumbe baadhi ya video tulizokuwa tukionyeshwa Alqaeda wakila tizi walikuwa wakizitengeneza wenyewe. hii itoshe kukuonyesha kuwa kuwa hata September 11, ile milipuko...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
[https://ocdn-eu] These are the 7 most powerful African countries on earth right now Tell your friends [https://ocdn-eu]Egypt military power (NPR) Seven African countries listed among 80 most...
2 Reactions
7 Replies
8K Views
Mzuqa Biashara ya kuuza bangi Denmark inalipa vibaya mno. Unaweza tajirika kwa wiki tu Mungu akikujalia mzigo wa kutosha walau kilo moja. Changamoto ni mwanga kwa sababu bangi nyingi zinapandwa...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa mjibu wa Afisa habari wa white house sarah sanders ni kwamba bwana bill shine ameng'atuka wadhifa wake na kujiunga na kampeni za trump 2020 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Ufilipino bado hajamalizana na Kanisa katoliki, aendelea kulishushia tuhuma. Anasema mapadri huwalawiti masista na watoto wadogo. Soma mwenyewe. ‘Who needs religion like that?’ Catholic...
3 Reactions
42 Replies
10K Views
Mtunzi wa vitabu na mshairi nguli wa Ivory Coast afariki. Tumkumbuke kwa hili shairi lake I thank you God ambalo amanshukuru Mungu kuzaliwa muafrika I Thank You God I thank you God for...
2 Reactions
2 Replies
912 Views
Wizara ya elimu ya juu nchini Algeria imeamuru likizo ya mapema kwa wanafunzi wa vyuo vikuu katika hatua ya kujaribu kuyadhoofisha maandamano yanayoendelea. Wanafunzi hao wamekuwa wakiandamana...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Usafiri wa anga nchini humo, ndege hiyo iliyokuwa ikitoka San Jose del Guaviare kuelekea Villavicencio imepata ajali jana katika Manispaa San Carlos de Guaroa, Meta...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
The cover page of The Economist, 9th March 2019. There are two articles speaking about the prospects of African development in relation to foreign direct investment and international trade...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SWAZILAND: Mke wa 8 wa Mfalme Mswati III, Senteni Masango amekutwa akiwa amefariki dunia baada ya kunywa vidonge vingi vya dawa aina ya #Amitriptyline Inadaiwa alichukua uamuzi huo wiki moja...
1 Reactions
40 Replies
16K Views
Hotuba ya wazi inayofahamika kutoka kwa Rais Bouteflika ilikua mwaka 2014 Kwa raia wengi wa Algeria ni vigumu kuelewa ni kwa vipi rais wao mwenye miaka 82 ,aliyeugua kiharusi miaka sita iliyopita...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam ndugu wadau, Leo mapema huko marekani, katika testing and launching base za NASA, kampuni ya genius Elon munsk,Space X wamefanya testing ya engine ya rocket Aina ya falcon na kwa asilimia...
11 Reactions
95 Replies
12K Views
MOSCOW’S top military commander has urged Russia to "create threats" against its Western adversaries or face being attacked by the United States. Valery Gerasimov, chief of the general staff of...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…