Mke wa Mfalme Mswati ajiua

Mke wa Mfalme Mswati ajiua

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,881
Reaction score
6,378
swazi-kings-8th-wife-senteni-masango-commits-suicide.jpg

SWAZILAND: Mke wa 8 wa Mfalme Mswati III, Senteni Masango amekutwa akiwa amefariki dunia baada ya kunywa vidonge vingi vya dawa aina ya [HASHTAG]#Amitriptyline[/HASHTAG]

Inadaiwa alichukua uamuzi huo wiki moja baada ya mazishi ya dada yake ambayo alikatazwa kuhudhuria na Mfalme Mswati (mumewe).

Marehemu ameacha watoto wa kike wawili..

Apumzike kwa amani!

=======
ENGLISH STORY
​
Senteni Masango, the eighth wife of Swaziland’s King Mswati, will be laid to rest today in line with the Royal Swazi rites.

Masango was found dead early Friday morning. She is said to have committed suicideafter overdosing on amitriptyline, used in treating chronic pain and depression and related disorders.

The late queen died barely a week after burying her sister Nombuso Masango on Sunday, April 1, at her parent’s home.

Reports indicate that King Mswati had barred her from attending her sister’s funeral.

Tributes to the queen have started flowing in, led by Swaziland’s Prime Minister Dr. Sibusiso Dlamini who sent government’s condolences to the King, the queen mother and the royal household.

“Death is a sad moment for anyone and this one which affects Their Majesties is shared by the country as a whole and as a nation, we are deeply touched at the news of her passing on,” the Prime minister said last night according to the African Monarch The Magazine of Royal Substance

Masango married King Mswati in September 1999 to become the 8th wife of Africa’s last absolute monarch.

She leaves behind two daughters.

Source: King Mswati’s eighth wife, Senteni Masango, laid to rest today - Face2Face Africa
 
Depression mbaya sana. Mtoto mzuri kama huyo ni miongoni mwa wake 14 wa Mfalme na mwakani kama kawaida lazima aongeze mke. Hapo lazima mrembo ajimalize wallahi akiwaza wenzie wa rika na uzuri wake wanavyofaidi ndoa zao za mke/mume mmoja - you have full control of the machine!

Sasa huyu mara kachovya pale, mara kule, mara hapa atakuwa na uwezo gani huyo? Hata yule tunayeambiwa alikuwa equivalent na marijali 30 wa ukweli hakuwa na jeuri hiyo.
 
Hapa hakujiua kwa sababu hiyo mkuu. Alishazoea mwenyewe aina hiyo ya maisha coz aliolewa tangu mwaka 1999.
 
Mkuu I believe hivyo vingine ni visababu tu; ila sababu kuu ni kama nilivyoeleza. Hata kama inadaiwa sababu ni KUKATAZWA KUHUDHURIA MSIBA WA DADA YAKE hiyo ni sababu iliyohitimisha matatizo ya muda mrefu. Well, kama unavyodai, "alishazoea hiyo hali" dawa zenyewe alizotumia kujimaliza tunaambiwa ni za kupunguza msongo wa mawazo. Why awe nazo kama hana hilo tatizo?

Mkuu matatizo hayazoeleki na usiombe "kufugwa" ndani kama mtumwa hata kama unapata "mahitaji" yote kuna hitaji lingine la msingi sana; linatibu zaidi ya hayo madawa ya depression aliyotumia "kwa wingi".
 
Kwani kuolewa 1999 ndo kuzoea? Yawezekana hakua amezoea kabisa ilikua bora liende miaka yote hiyo. Kukaa miaka mingi kwenye shida hakumaanishi kuzoea shida
Nimemshangaa sana beth Mkuu. Matatizo hayazoeleki.
 
Sawa mkuu. Pengine upo sahihi..
 
Yanazoeleka mkuu.. Tena yanazoeleka vizuri tu. Watu wana matatizo yao na wanaishi kwa amani kabisa..
Sio wote lakini. Kila binadamu ana "akili yake".
 
Ndio maana kuna wakati huwa naridhika na shida zangu,cha muhimu kwangu ni amani nilionayo,sitamani kabisa kuwa na mihela mingi halafu sina furaha...
 
Mkuu I believe hivyo vingine ni visababu tu; ila sababu kuu ni kama nilivyoeleza. Hata kama inadaiwa sababu ni KUKATAZWA KUHUDHURIA MSIBA WA DADA YAKE hiyo ni sababu iliyohitimisha matatizo ya muda mrefu. Well, kama unavyodai, "alishazoea hiyo hali" dawa zenyewe alizotumia kujimaliza tunaambiwa ni za kupunguza msongo wa mawazo. Why awe nazo kama hana hilo tatizo?

Mkuu matatizo hayazoeleki na usiombe "kufugwa" ndani kama mtumwa hata kama unapata "mahitaji" yote kuna hitaji lingine la msingi sana; linatibu zaidi ya hayo madawa ya depression aliyotumia "kwa wingi".
wanalazimishwaga kuolewa si wanapelekaga wenyewe bikira zao
 
Kwani kuolewa 1999 ndo kuzoea? Yawezekana hakua amezoea kabisa ilikua bora liende miaka yote hiyo. Kukaa miaka mingi kwenye shida hakumaanishi kuzoea shida
Haizoeleki kwa kweli
 
Depression mbaya sana. Mtoto mzuri kama huyo ni miongoni mwa wake 14 wa Mfalme na mwakani kama kawaida lazima aongeze mke. Hapo lazima mrembo ajimalize wallahi akiwaza wenzie wa rika na uzuri wake wanavyofaidi ndoa zao za mke/mume mmoja - you have full control of the machine!

Sasa huyu mara kachovya pale, mara kule, mara hapa atakuwa na uwezo gani huyo? Hata yule tunayeambiwa alikuwa equivalent na marijali 30 wa ukweli hakuwa na jeuri hiyo.
Kafa na mengi
 
Back
Top Bottom