International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Wizara ya Ulinzi ya Korea Kaskazini imetangaza kumaliza maandali yake ya kufanya jaribio la sita la kurusha kombora la nyukilia. Marekani na Korea Kusini wasikitishwa na vitendo vya KOrea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali yatangaza kuwapunguza kazi jumla ya Watumishi wa Umma 25,000 kwa sababu haina uwezo wa kuwalipa wote mishahara Pia imetangaza kufuta posho zote kwa wafanyakazi wa umma kwa kipindi cha...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Rais wa Marekani Barack Obama amevunja mkutano wake na Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte, ambaye awali alikuwa amemwita "mwana wa kahaba". Bw Obama awali alikuwa amesema kwamba angemuuliza...
1 Reactions
54 Replies
10K Views
10- J- 10 . " The J-10 adopts a “tailless delta-canard” aerodynamic layout, which was originally developed for the cancelled J-9 fighter. The aircraft has the horizontal control surfaces...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
John W. Hinckley Jr. Aliyejaribu kumuuwa rais Ronald Reagan mwaka 1981 ameachiwa huru. Mahakama ameamuru aachiwe huru mara baada ya kubaini anamatatizo ya akili, amekaa gerezani kwa miaka 35...
1 Reactions
1 Replies
644 Views
Watu zaidi ya 100 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mfurulizo wa mashambuluio ya anga. katika majiji ya Aleppo na Idlib, masaa kadhaa baada ya Marekani na Urusi kutangaza mpango wa...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Takribani watu 21 wamefariki dunia na 70 wamejeruhiwa, kufuatia kutokea kwa mlipuko katika kiwanda kimoja nchini Bangladesh. Taarifa ya Jeshi la Polisi imeeleza kuwa katika Kiwanda hicho...
0 Reactions
1 Replies
727 Views
A federal appeals court on Friday blocked Kansas, Georgia and Alabama from requiring residents to prove they are U.S. citizens when registering to vote using a national form. The 2-1 ruling is a...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Nilikuwa natazama CNN poll, Trump anaongoza kwa 45% dhidi ya 43% za Hillary Clinton. Lakini pia inaonyesha kwa categories zote I.e likely voters, registered voters, truth worthy leader etc Trump...
8 Reactions
143 Replies
10K Views
Hivi karibuni wajerumani walifanya uchaguzi wa serkali za mitaani,katika matokea chama cha Christian Democratic Union (CDU) kimepoteza viti vingi sana. Sababu za kushindwa vibaya kwa bi Merkel ni...
2 Reactions
3 Replies
835 Views
Bunge la Afrika Mashariki limepitisha azimio la kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya jamii ya Afrika Mashariki. Wajumbe wa bunge hilo wamekubaliana kwamba mabadiliko hayo yalikuwa...
5 Reactions
46 Replies
8K Views
Harnaam Kaur anasema kwa miaka mingi amekejeliwa kwa sababu ya ndevu zake Mwanamitindo mwenye ndevu za urefu wa inchi sita ametambuliwa na Guinness World Record kuwa mwanamke wa umri mdogo zaidi...
2 Reactions
15 Replies
8K Views
Kiongozi wa taifa la Palestina Mahmoud Abbas Wakati mkutano wa mapatanisho kati ya taifa la Palestina na Israeli ukiandaliwa kufanyika chini ya raisi Vladimir Putin, Israeli wametoa mdai kwamba...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Sean Stewart mwenye umri wa miaka 12 anayeishi Uingereza ndiye anayesemekana kuwa ndio baba mwenye umri mdogo zaidi duniani. Sean anasoma darasa la saba katika shule ya Margaret Beaufort...
6 Reactions
43 Replies
9K Views
Mmoja ya waanzilishi wa mtandao wa Facebook, Dustin Moskovitz amechangia bilioni 40 za Kitanzania kwa chama cha Democrats, kusaidia kumbwaga Donald Trump ============ The money will go to...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Maji katika mto Daldykan yamekuwa ya rangi nyekundu Wachunguzi wa masuala ya mazingira nchini Urusi wanajaribu kubaini sababu iliyoyafanya maji ya mto ulio karibu na kiwanda cha nikeli cha...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Laana ya kumuua Gadafi inazidi kumuandama Obama, Dunia nzima inamkataa, sasa jina lake limepewa vijidudu vinavyoshambulia na kuharibu Mapafu! Huyu ni Parasite mpya aliyegunduliwa huko nchini...
1 Reactions
0 Replies
820 Views
  • Redirect
Mmoja wa waanzilishi wa facebook Dustin Moskovitz amemwaga $20M ili ahakikishe Donald Trump anashindwa katika mbio zake za kuwania urais Dustin kwa upande wake amesema anamuunga mkono bibie...
0 Reactions
Replies
Views
Kiongozi wa kundi la kigaidi la Jabhat Fateh al-Sham, ameuawa kwenye shambulio katika jimbo wa Aleppo. =========== The militant group, which changed its name in July from the Nusra Front to...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Idadi kubwa ya watalii wamekwama kwenye magari ya waya katika milima ya Alps huko kusini ya kati mwa bara la Ulaya. Taarifa kutoka Barani Ulaya zimesema kuwa watalii hao wamekwama katika gari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom