International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Mamlaka nchini Burkina Faso wanamshikilia aliyekuwa waziri mkuu wa taifa hilo kwa mauaji ya waandamanaji waliokuwa wanaupinga utawala wa rais wa za zamani Blaise Compaore. Rais huyo aliyetawala...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte leo amevitaka vikosi vya Marekani vilivyoko nchini humo kuondoka mara moja akidai kuwa wanaweza kumleta balaa la kushambuliwa na magaidi wa ISIS. Kauli hiyo ya...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
Check out @realDonaldTrump's Tweet:
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais wa zamani wa Italia Carlo Azeglio Ziampi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96. Rais huyo alizaliwa mwaka 1920 na alifanikiwa kuliongoza taifa la Italia kuanzia mwaka 1999 mpaka mwaka...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Mabaki yaliyopatikana Pemba, Tanzania ni ya MH370 Waziri wa uchukuzi wa Malaysia Liow Tiong Lai amesema kupitia taarifa, kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, kwamba baada ya uchunguzi...
0 Reactions
3 Replies
776 Views
Mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani kupitia chama cha Democratic Hillary Clinton amelazimika kuahirisha ziara yake ya kuchangisha fedha katika jimbo la California baada ya vipimo kuonyesha...
8 Reactions
60 Replies
6K Views
MWANAUME mmoja kutoka katika familia maskini inayoishi mjini Bhawanipatna katika jimbo la Orissa nchini, amelazimika kuubeba mwili wa mkewe begani, baada ya hospitali kushindwa kutoa gari la...
8 Reactions
89 Replies
11K Views
  • Redirect
Taasisi ya KUpambana na Rushwa nchini Nigeria imezifunga akaunti za Mke wa Rais mstaafu wa Nigeria, Goodluck Jonathan. Akaunti hizo zilikuwa na kiasi cha shilingi bilioni 64, mke huyo wa Rais...
0 Reactions
Replies
Views
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte, aliamuru kuuawa kwa wanasiasa wapinzani alipokuwa meya wa zamani wa Davao, mwanachama mmoja wa kikosi kilichopewa jukumu la kuwaua walanguzi wa biashara haramu...
0 Reactions
2 Replies
654 Views
The report says the UK diplomat spent almost entire career serving in Arab countries. British Ambassador to Saudi Arabia Simon Paul Collis and his wife Huda Mujarkech performed Haj this year...
1 Reactions
3 Replies
762 Views
Muammar Gaddafi aliuawa mwezi Oktoba 2011, wakati nchi za Magharibi ziliingilia kati kijeshi nchin mwake. Ripoti ya Bunge la Uingereza inakosoa vikali Ufaransa na Uingereza kuingilia kijeshi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Muungano wa Makanisa ya kikristo eneo la Mlima Kenya, umeapa kupinga warsha za malezi zinazopangwa na kundi lisilomwamini mungu hapa nchini la Atheist in Kenya. Warsha hizo zimetangazwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nchi nyingi za africa zimekuwa zikipiga hatua kubwa kimiuondo msingi hususan kwenye usafir wa mijini. Hizi hapa ni baadhi ya picha ndani ya ruti za Khartoum na mji wa Wadi-halfa
2 Reactions
56 Replies
7K Views
Mungu awarehemu wote walokutana na ukatili huu wa kimataifa! =========== Marekani inaadhimisha mwaka wa kumi na tano tangu shambulio la wapiganaji wa jihad la Septemba 11 ambalo liliwaua watu...
3 Reactions
77 Replies
7K Views
Msemaji wa kikosi cha anga cha Israel IAF Eli malka amesema hakuna ndege yoyote ya Israel iliyotunguliwa na vikosi vya Syria, kuwa taarifa zinazoonea kuhusu jambo hilo zipuuzwe ni propaganda na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
US-led coalition warplanes destroyed a factory in Iraq used by the Islamic State group to make chemical weapons, the Pentagon said Tuesday. The production center -- a converted pharmaceutical...
0 Reactions
1 Replies
538 Views
IYADH, Saudi Arabia POLISI nchini Saudi Arabia wamemkamata mwanamume mmoja aliyempiga risasi mwanaume mtaalamu wa afya ya uzazi aliyemsaidia mkewe kujifungua mtoto akisema ni haramu kwa mwanamume...
7 Reactions
156 Replies
22K Views
Madaktari wametumia roboti ya kwanza kufanya upasuaji wa macho na kurejesha uwezo wa kuona kwa mgonjwa kwa mara ya kwanza duniani. Kundi la madaktari kutoka hospitalia ya John Radclife nchini...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom