Mwanamke avunja rekodi ya ndevu ya Guinness World Record

Mwanamke avunja rekodi ya ndevu ya Guinness World Record

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,552
Reaction score
29,397
_91065862_hi035157726.jpg

Harnaam Kaur anasema kwa miaka mingi amekejeliwa kwa sababu ya ndevu zake

Mwanamitindo mwenye ndevu za urefu wa inchi sita ametambuliwa na Guinness World Record kuwa mwanamke wa umri mdogo zaidi duniani kuwa ndevu zilizokomaa kabisa.

Harnaam Kaur, 24, ambaye ni mwanamke mtetezi wa kutambuliwa na kukubalika kwa hali ya mwili wa mwanadamu ulivyo bila ubaguzi anatoka Slough, Berkshire nchini Uingereza.

Amesema ni heshima kubwa kwake kutambuliwa.

Ameeleza ndevu hizo ndefu kama sehemu ya juhudi zake za kukabiliana na watu wengi waliomkejeli kutokana na muonekano wake.

Wengine waliotambuliwa kwenye rekodi za karibuni zaidi ni paka mrefu zaidi anayefugwa kama mnyama kipenzi pamoja na Ilama anayeruka juu zaidi.

_91065866_harnaamkaur-youngestfemalewithafullbeard-0402160228.jpg

Machi 2016 Harnaam Kaur alikuwa mwanamke wa kwanza kushiriki maonyesho ya mitindo ya London Fashion Week akiwa na ndevu
Bi Kaur ana tatizo la homoni lifahamikalo kwa Kiingereza kama polycystic ovary syndrome, ambalo humfanya mwanamke kuwa na nywele zaidi kuliko kawaida usoni.

Machi 2016 Harnaam Kaur alikuwa mwanamke wa kwanza kushiriki maonyesho ya mitindo ya London Fashion Week akiwa na ndevu.

'Rekodi ya llama'

Rekodi ya paka mrefu wa kufugwa nyumbani ambaye bado yuko hai imemwendea paka kwa jina Ludo kutoka Wakefield, West Yorkshire ambaye urefu wake ni 3ft 10.59in (1.183m).

_91066313_hi035157738.jpg

Ludo na mmiliki wake Kelsey Gill mwaka 2014
Caspa, wa miaka tisa, naye ametambuliwa kwa kuruka juu. Anaweza kuruka juu 3ft 8.5in (1.13m).

Anaishi Porthmadog, Wales Kaskazini.

Chanzo: BBC
 
Harnan Kaur (24) anayeishi uingereza avunja rekodi ya Guiness Book kwa kuwa mwanamke mwenye ndevu nyingi zaidi zilizokomaa katika umri mdogo

1473352913666.png

1473352922649.png
 
_91065862_hi035157726.jpg
Image copyrightPAUL MICHAEL HUGHES/GUINNESS WOR
Image captionHarnaam Kaur anasema kwa miaka mingi amekejeliwa kwa sababu ya ndevu zake
Mwanamitindo mwenye ndevu za urefu wa inchi sita ametambuliwa na Guinness World Record kuwa mwanamke wa umri mdogo zaidi duniani kuwa ndevu zilizokomaa kabisa.

Harnaam Kaur, 24, ambaye ni mwanamke mtetezi wa kutambuliwa na kukubalika kwa hali ya mwili wa mwanadamu ulivyo bila ubaguzi anatoka Slough, Berkshire nchini Uingereza.

Amesema ni heshima kubwa kwake kutambuliwa.

Ameeleza ndevu hizo ndefu kama sehemu ya juhudi zake za kukabiliana na watu wengi waliomkejeli kutokana na muonekano wake.

Wengine waliotambuliwa kwenye rekodi za karibuni zaidi ni paka mrefu zaidi anayefugwa kama mnyama kipenzi pamoja na Ilama anayeruka juu zaidi.

_91065866_harnaamkaur-youngestfemalewithafullbeard-0402160228.jpg
Image copyrightPAUL MICHAEL HUGHES
Image captionMachi 2016 Harnaam Kaur alikuwa mwanamke wa kwanza kushiriki maonyesho ya mitindo ya London Fashion Week akiwa na ndevu
Bi Kaur ana tatizo la homoni lifahamikalo kwa Kiingereza kama polycystic ovary syndrome, ambalo humfanya mwanamke kuwa na nywele zaidi kuliko kawaida usoni.

Machi 2016 Harnaam Kaur alikuwa mwanamke wa kwanza kushiriki maonyesho ya mitindo ya London Fashion Week akiwa na ndevu.

'Rekodi ya llama'

Rekodi ya paka mrefu wa kufugwa nyumbani ambaye bado yuko hai imemwendea paka kwa jina Ludo kutoka Wakefield, West Yorkshire ambaye urefu wake ni 3ft 10.59in (1.183m).

_91066313_hi035157738.jpg
Image copyrightPAUL MICHAEL HUGHES/GUINNESS WOR
Image captionLudo na mmiliki wake Kelsey Gill mwaka 2014
Caspa, wa miaka tisa, naye ametambuliwa kwa kuruka juu. Anaweza kuruka juu 3ft 8.5in (1.13m).

Anaishi Porthmadog, Wales Kaskazini.

Hauhitaji Media Player
Pata usaidizi kuhusu Media Player

Bonyeza 'Enter' kuendelea au kurejea mwanzoni
Caspa anaweza kuruka juu 3ft 8.5in (1.13m)

BBC
 
dah noma kweli hata kuna baadhi ya vidume hawana ndefu na guarden love kiasi hicho
 
Multiphili90, hapo juu umenifurahisha sana aisee, haswa kwa kuiweka hiyo picha hapo. Yaani hawa wazungu, wanaamini kila jambo linatokea kwao, kuna wakati wanakera kweli.

Na watasingizia ya kuwa hatujitangazi. Ona mfano mzee huyo wa Indonesia, hawajamtambua hata miaka yote hiyo. Ila ahsante kwa picha hiyo, na naamini huyo wa kibongo (mweusi), ndevu zake zitakuwa zimekomaa na ngumu zaidi ya yule dada wa kizungu.

Ahsante!
 
Huwa napenda wale wenye bustani vifuani, halafu mwili mdogo mdogo hivi, daaah wanakuwa wana mvuto fulani hivi, kwangu mimi lakini. Wenye ndevu, hapana.

Ahsante!
 
Yule wa huku kwetu, msemaji wa wafanya mazoezi ya UKUTA, anashika nafasi ya ngapi?
 
Eti nasikia hao wenye ndevu ni watamu sana wakati wa kufyatuana ni kweli
 
Mwingine (hukohuko Uingereza) anaitwa Annalisa Hackleman akiwa na mumewe.
Ndevu za mama zinachuana na za baba!

MFELE NGERERO.jpg
 
Back
Top Bottom