Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Laana ya kumuua Gadafi inazidi kumuandama Obama, Dunia nzima inamkataa, sasa jina lake limepewa vijidudu vinavyoshambulia na kuharibu Mapafu!
Huyu ni Parasite mpya aliyegunduliwa huko nchini Malaysia, amepewa jina la Barack Obama ambaye ni raisi wa 44 wa USA, parasite huyu Obama hushambulia na kuharibu mapafu!
Baracktrema obamai - Wikipedia, the free encyclopedia
Parasite Obamai baada kukuzwa mara nyingi kwenye Microscope!

Mpinga Kristo Obama akiangua kicheko baada ya kumuua Gadafi!