technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,680
- 58,675
Check out @realDonaldTrump's Tweet:
Mkuu wamarekani wanamshambulia sana kwenye Twitter hebu jaribu kufungua account yake ya TwitterTrump lead clinton in all national polls,
Atoboi wacha tuoneTrump ni mti weye matunda sharti upigwe mawe.
Viva Trump
Nina mfollow trump on twitter na Facebook,Mkuu wamarekani wanamshambulia sana kwenye Twitter hebu jaribu kufungua account yake ya Twitter
Anamkimbiza Clinton vibaya,Atoboi wacha tuone
Ataenda hivyo hivyo mpaka anakatwa na wamarekaniAnamkimbiza Clinton vibaya,
Nani atakatwa sasa?Ataenda hivyo hivyo mpaka anakatwa na wamarekani
Trump anaweza shinda ila kutangazwa sasa!!Nani atakatwa sasa?
Akishinda na wakaleta mambo ya Jecha itakua mwisho wa United states of AmericaTrump anaweza shinda ila kutangazwa sasa!!
Anamkimbiza Clinton vibaya,
Jamaa ni mnafiki kweli ameona Obama amziba kila sehemu sasa anaanza kujipendekeza kibaya zaidi inaonekana zaidi wamarekani 50%+ wanaelewa kile Obama anachokiongea sasa Trump ameanza kutafuta kura za huruma baada ya kugundua hilo!!Mkuu leo nimecheka sana, Trump baada ya kuchoshwa na mbinu chafu za Clinton, Trump kahamua kuanika kila kitu adhalani, kasema.
kwanza:
Familia ya Clinton hawampedi Obama wanadai ndiye alimuwekea kauzibe Hillary akashindwa kuwania Urais kwa mara ya kwanza
Pili:
Trump kasema Hillary ndiye alimshinikiza Trump adai Obama si raia halali wa Marekani alizaliwa Mombasa na baba wa Kiarabu alafu mama yake kafanya ujanja wa kupata birth certificate Honolulu Hawaii.
Trump kasisitiza kwamba kelele zote alizokuwa anapiga kupinga Obama hasikubaliwe kuwania Urais kutokana na utata wa Uraia wake lilikuwa ni shinikizo la Hillary, ila Hillary hakutaka ajulikane ndiye muhusika akawa anamtumia Trump kumvurugia OBAMA-wazungu wakati mwingine ni binadamu wa ajabu sana!!!
Jamaa ni mnafiki kweli ameona Obama amziba kila sehemu sasa anaanza kujipendekeza kibaya zaidi inaonekana zaidi wamarekani 50%+ wanaelewa kile Obama anachokiongea sasa Trump ameanza kutafuta kura za huruma baada ya kugundua hilo!!
Sasa amekiri kwamba obama alizaliwa marekani!!
Huyu ni mnafiki kweli!!
Jamaa ni mnafiki kweli ameona Obama amziba kila sehemu sasa anaanza kujipendekeza kibaya zaidi inaonekana zaidi wamarekani 50%+ wanaelewa kile Obama anachokiongea sasa Trump ameanza kutafuta kura za huruma baada ya kugundua hilo!!
Sasa amekiri kwamba obama alizaliwa marekani!!
Huyu ni mnafiki kweli!!