Umeenda mbali. Faida ipo kubwa mno! Ivi wewe Kadhi mkuu m1, maendeleo yana faida gani bila kuwepo na wanawake? Hivi Majengo mazuri, magari mazuri, mazingira mazuri yanaweza kupendezaje bila wanawake?
Tuna"toil" tupate pesa ama mali tule na wanawake na kujenga familia!
Mungu ametuumbia wanawake wazuri(warembo)kutupumbaza na adha ya dunia hii ngumu, ili tuyaone maisha mazuri ijapo ni kinyume chake. Bila wanawake, ikawa tunazaliana kwa kujigawa kama micro organisms, pasingekuwa na maendeleo yoyote. Na maisha yangekuwa na sura tofauti. Kwa hiyo faida ya wanawake ni kubwa mno kuliko hata niliyoeleza kifupi. Ndiyo nyie wabinafsi mtumiao gia ya maadili ama udini, kuwagubika mibaibui mwili mzima ili watu wasifaidi maumbile yao ambayo M/Mungu aliyashusha bure,kila mtu aone na yamfariji na kufurahi na roho yake, kama aangaliavyo maua bustanini. Haya niliyokueleza unayafahamu ila roho ya ubinafsi inakubungua!