Leo ni kumbukumbu ya September 11

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Mungu awarehemu wote walokutana na ukatili huu wa kimataifa!

maxresdefault.jpg


===========
Marekani inaadhimisha mwaka wa kumi na tano tangu shambulio la wapiganaji wa jihad la Septemba 11 ambalo liliwaua watu 3000 na kusababisha vita dhidi ya wapiganaji wa kigaidi duniani.

Katika ikulu ya rais ,rais Obama ataadhimisha shambulio hilo mida ya saa 2 na dakika 46 alfajiri wakati ambapo ndege iliotekwa nyara iligonga jumba refu la World Trade Center mjini New York,na kuanzisha vita vikali dhidi ya magaidi nchini Marekani.

Baadaye majina ya waathiriwa wote yatasomwa katika ibada ya kumbukumbu katika eneo la Ground Zero ambapo jengo la WTC lilianguka.

Shambulio hilo la Septemba 11 lilisababisha uvamizi wa Marekani nchini Afghanistan na Iraq,na lilisababisha mashambulio zaidi ya kigaidi kutoka Bali hadi Brussels.

Chanzo: BBC
 
wamarekani wameua watu wengi sana duniani

kimsingi USA ndio makatili namba moja duniani

September eleven ilikuwa ni shambulio kutoka kwa agent wao wenyewe wa CIA

Kwangu mimi ukiua kwa upanga nawe utauawa kwa upanga

September 11 ilikuwa siku ambayo natural justice ilichukua nafasi yake kwa wamarekani
 
Kuna alot of conspiracy about this issue. From engineering point of view... the impact za ile ndege haliwezi kufanya jengo lianguke. Designs zilikuwa strong kuweza kuhold mpaka mara 30 za aina ile ya impact (Boeing 707 impacts causing 10% more damage)

Pili nature ya lile ama yale majengo. Ile ni steel design structure. And melting point ya steel ni almost twice ya burning jet fuel.

Tatu jengo lote kuweza kuanguka mpaka chini..lazima kuwe na failure kwenye critical columns of the building ambazo zinaweza kufail kuanzia level ya ground to the foundation ili jengo lote lianguke.

Inawezekana... kuna kitu ama explosive devices ziliwekwa chini ya jengo ili liweze kuanguka
 
walipumbaza watu na wakati hicho kitu kilipangwa na INTERPOL wenyewe. fuatilia zaidi undani wa mambo ndio utajua ukweli wake. waiwezekani kabisa jengo lililotengenezwa kwa steel liyeyuke kiasi kile mpaka chini.
 
Dah!

I will never ever ever forget 9/11.

It's just like yesterday.

Completely surreal.
 
Kwa kuangalia jengo lilivyokuwa lashuka ni hakika pale walifanya demolishen wao wenyewe
 
Back
Top Bottom