Kagame faults Rwanda Supreme Court's decision to retain insulting the president as a criminal offence

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,742
2,000
IMG_20190426_150657.jpeg


Earlier Today:
The Supreme Court in Rwanda has rejected a challenge to a law which says it is a crime to insult the president.

The law, which was introduced last year, means that anyone insulting President Paul Kagame faces between five and seven years in prison.

Lawyer Richard Mugisha had argued that the law was unconstitutional as it undermined freedom of expression. The court ruled that the law should remain, due to the responsibility that the office holds.

The same court ruled that a law which prohibits writing articles or drawing cartoons that humiliate MPs, ministers or other government officials should be annulled.

Mr Mugisha had also argued that articles which criminalised adultery should be scrapped. The court rejected that appeal.
 

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
7,321
2,000
Kwa nchi za kiimla ambapo rais anaonekana kama Mungu mtu ndio sheria feki kama hizi zinakuwepo.

Lln ktk nchi za kidemokrasia ambapo madaraka ya rais hudhibitiwa na taasisi zilizo huru, kosa la kumtukana rais hushughulikiwa kama kosa la kumtukana mtu yeyote yule kwani wote wako sawa mbele ya sheria.
 

GODZILLA

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
5,722
2,000
Mkuu embu rudia tena kuisoma hyo taarifa
Naona mahakama ndio inajipendekeza kwa kupigilia msumari criminalization ya hiyo kitu!

Lakini tujiulize, in the first place ni nani aliyeitunga hiyo sheria kama sio bunge linaloongozwa indirectly na huyo huyo Kagame?

Leo anajikosha anajifanya haitaki sheria! Ama kweli uchawi upo!
 

Isinik

Senior Member
Dec 11, 2016
104
225
Write your reply...Vzr sana mr kagame,pia haitoshi kuikosoa mahakama pekee futeni hy sheria.
 

ngakotecture

JF-Expert Member
Dec 30, 2014
1,678
2,000
Naona mahakama ndio inajipendekeza kwa kupigilia msumari criminalization ya hiyo kitu!

Lakini tujiulize, in the first place ni nani aliyeitunga hiyo sheria kama sio bunge linaloongozwa indirectly na huyo huyo Kagame?

Leo anajikosha anajifanya haitaki sheria! Ama kweli uchawi upo!
Na kama kweli haitaki asisaini maana still bado ni muswada.ni mnafiki tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom