International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

... siku ile ugaidi ulipofanyika member mmoja humu JF ali-comment kwamba uchunguzi utakapokamilika tutajua wahusika ni akina nani (akimaanisha itikadi zao). Nilimjibu "kama unasubiri uchunguzi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
RUSSIA ilipiga makombora huko Syria kutoka bahari ya caspian sea zaidi ya 1,000kms yakipitia Iraq huku yakikwepa milima kama mbayuwayu MISSILE IN FLIGHT The subsonic missile is powered...
5 Reactions
67 Replies
11K Views
Kimbunga Kenneth kimetokea africa, lakini nchi za Africa ambazo hazijaathirika zipo lakini hatuwezi kufanya uokozi kwa waliokwama huko,wazungu wametoka huko mbali wamekuja kufanya uokozi na kutoa...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Wizara ya habari ya Somalia imetangaza kuwa, wapiganaji watano wa kundi la al-Shabab akiwemo mtaalam mwandamizi wa mabomu wamejisalimisha kwa serikali ya Somalia wiki hii. Wizara hiyo imesema Bw...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwendesha mashitaka mkuu nchini Sudan ameamuru kuhojiwa kwa Rais aliyeondolewa madarakani Omar al Bashir kuhusu madai ya "utakatishaji fedha na kufadhili ugaidi" Chini ya Utawala wa Bashir, Sudan...
0 Reactions
3 Replies
837 Views
Mahakama Kuu ya Sheria ya Venezuela imesema majaji wa nchi hiyo wametoa amri ya kumkamata kiongozi wa upinzani Leopoldo Lopez baada ya yeye kushiriki kwenye jaribio la mapinduzi ya kijeshi na...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amejitolea kuwa msuluhishi wa mgogoro wa kisiasa unaondelea nchini Sudan baada ya kupinduliwa kwa rais Omar al Bashir wiki iliyopita. Miezi michache iliyopita al...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mamia kwa maelfu ya watu wamehamishwa kwenye pwani ya mashariki mwa India wakati kimbunga kikali kikivuma kuelekea Ghuba ya Bengal kabla ya kupiga leo. Idara ya Hali ya Hewa ya India imesema...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Marekani yazungumzia uwezekano wa hatua za kijeshi kumuondoa Maduro Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amesema nchi hiyo iko tayari kutumia nguvu za kijeshi kumaliza mzozo wa kisiasa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwendesha Mashtaka ameamuru aliyekuwa Rais wa Taifa hilo ahojiwe kwa tuhuma hizo Uchunguzi wa tuhuma za utakatishaji wa fedha ulianza mara baada ya mamilioni ya dola za kimarekani kukutwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
According to the U.S. Census Bureau, national poverty rate was 12.3 percent or 39.7 million Americans in 2017. These states have the highest percentages of poverty in the country: Louisiana...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Maandamano makubwa dhidi ya Baraza la Kijeshi Sudan yanafanyika tena leo Mei 03, 2019 07:34 UTC Mandamano makubwa ya kulishinikiza Baraza la Kijeshi nchini Sudan likabidhi uongozi na madaraka ya...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Mzozo wa kuwania madaraka nchini Venezuela kati ya Rais Nicolas Maduro na spika wa bunge, Juan Guaido, unazidi kufukuta, huku Urusi na Marekani zikichukuwa nafasi yao kwenye taifa hilo la Amerika...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Siku chache baada ya muda wa siku 30 kupita bila ya jeshi la Sudan kukabidhi madaraka kwa utawala wa kiraia, umoja wa Afrika umeongeza siku 60 kwa jeshi hilo kufanya hivyo au likabiliwe na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
VENEZUELA: Rais Maduro ametoa ombi hilo baada ya mpinzani wake Juan Guaido kuandamana akiwa na vijana wenye silaha Guaido naye pia aliomba Jeshi limuunge mkono katika harakati zake za mapinduzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanainchi wa Benin wanashiriki uchaguzi wa wabunge wapya bila wagombea wa upinzani. Tume ya uchaguzi mwezi uliyopita uliviidhinisha vyama viwili vay kisiasa vinavyodaiwa kumuunga mkono rais...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Washington (CNN) — Deputy Attorney General Rod Rosenstein, who appointed special counsel Robert Mueller to investigate Russian interference in the 2016 presidential election, submitted his...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
At least 100 people are reported to have been killed and more than 250 injured in explosions at churches and hotels in Sri Lanka. At least six explosions have been reported. Three churches in...
2 Reactions
144 Replies
13K Views
Marekani yatishia kuiwekea Uturuki vikwazo vipya ikinunua mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia Apr 23, 2019 07:02 UTC Uhusiano wa Marekani na Uturuki umekumbwa na msuguano mkubwa hasa baada...
3 Reactions
104 Replies
12K Views
Mzuqa wanajamvi! Aliapa atakufa na Maduro na kumlinda kwa maisha yake dhidi ya mabeberu. Ila jana kaandika kujiuzulu na kuunga juhudi za upinzani Venezuela dhidi ya Dikteta Maduro. Manuel...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…