International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kikundi cha Hamas kwamba kama wataendelea kwenda kinyume na mkubaliano basi ataruhusu IDF irudi tena kufanya mashambulizi
1 Reactions
8 Replies
425 Views
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika akieleza kuguswa na kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Amolo Odinga akimuelezea kama...
1 Reactions
4 Replies
351 Views
Mahakama ya kijeshi nchini Urusi imewahukumu wanajeshi 15 wa Ukraine waliotekwa kwa makosa ya ugaidi siku ya Oktoba 17, 2025, na kuwapa vifungo vya hadi miaka 21 gerezani โ€” katika kesi iliyopigwa...
1 Reactions
2 Replies
226 Views
Baada ya uchaguzi wa urais uliofanyika tarehe 12 Oktoba nchini Cameroon, pande zote mbili chama tawala na upinzani zinadai ushindi, ingawa matokeo rasmi yanatarajiwa kutolewa wiki ijayo Katika...
1 Reactions
4 Replies
327 Views
Kiongozi mpya wa kijeshi wa Madagascar, Kanali Michael Randrianirina, anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa taifa hilo siku ya Ijumaa, Oktoba 17, 2025, licha ya upinzani kutoka kwa Umoja wa Afrika...
1 Reactions
4 Replies
330 Views
Wakuu hili suala la Kanali Michael Randrianirina kamanda wa kikosi maalum cha CAPSAT, kuwa rais wa Madagascar leo 17 Otoba 205, mimi bado nina wasiwasi na hatma ya nchi hii. Hili limetokea siku...
1 Reactions
3 Replies
244 Views
Iran wamepokea mzigo wa kutosha kutoka Urusi, nadhani hii ndo delivery kubwa kuwahi kufanyika hapa duniani kwa muda mfupi... [emoji3544] ๐๐ซ๐ž๐š๐ค๐ข๐ง๐  ๐๐ž๐ฐ๐ฌ [emoji3544] [emoji1130] | Iran on Track to...
5 Reactions
20 Replies
986 Views
Mkutano wa Kimataifa wa Wanawake umefanyika wiki hii mjini Beijing kufuatia wito wa rais Xi Jinping wa China, na kuweka hatua mpya muhimu katika historia ya maendeleo ya wanawake. Miaka 30...
2 Reactions
4 Replies
215 Views
BREAKING NEWS: Rais wa Indonesia anatarajia kuitembelea Israel kesho, vyombo vya habari vya Israel vinaripoti. Natumaini hili litatokea. Wakati wa kufanya amani. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ
2 Reactions
6 Replies
312 Views
Donald Trump's latest threat to impose an additional 100% tariff on Chinese goods is "a typical example of US double standards", China's government has said. A Commerce Ministry spokesperson also...
1 Reactions
3 Replies
342 Views
Dunia imeshuhudia na kushangilia 'kusainiwa' kwa mkataba wa amani almaaruf PEACE CONFERENCE 2025 kulikofanyika huko Sharm el Sheikh Misri. Japo hatuna uhakika wa kuleta majibu, maswali...
1 Reactions
13 Replies
478 Views
Huenda umelisikia sana jina Scott Bessent tangu Trump aingie madarakani hasa wakati huu wa vita vya kiuchumi kati ya Marekani na China. Huyu ni U.S Treasury Secretary na ndiye mwakilishi...
7 Reactions
15 Replies
896 Views
Kiongozi wa kundi la Hamas Yahya Sinwar, ameuawa na Israel. Duru za habari zinatabanaisha Sinwar aliuawa mapema usiku wa leo huko Gaza. --- Senior U.S. Officials, including President Joe...
14 Reactions
851 Replies
92K Views
Magari ya Msalaba Mwekundu huko Gaza yanajiandaa kwa ajili ya kuachiliwa kwa mateka kutokana na makubaliano yanayotarajiwa ya kusitisha mapigano huko Gaza!! Hii imewezekana tu baada ya majeshi ya...
1 Reactions
42 Replies
1K Views
Rais wa Malawi, Dk Lazarus Chakwera ametangaza kupatikana ndege ya Jeshi la Malawi iliyokuwa imembeba makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Klaus Chilima (51) ikiwa imepata ajali katika msitu wa...
14 Reactions
232 Replies
21K Views
Department of State imefuta VISA kadhaa za raia wa kigeni walio Marekani ambao walishangilia kifi cha Charles Kirk. ============== Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani (@StateDept) Marekani haina...
1 Reactions
2 Replies
250 Views
REUTERS: Wahouthi wamekuwa wakiwalazimisha raia wa Yemen kujiunga na wanamgambo wao na kuhudhuria mikutano ya kila wiki inayobwabwaja "Kifo kwa Amerika" โ€œKifo cha Israelโ€ kama sharti la kupokea...
1 Reactions
7 Replies
264 Views
Rais Cyril Ramaphosa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ujasusi, Imtiaz Fazel, baada ya malalamiko kuwasilishwa dhidi yake. Katika taarifa iliyotolewa Jumatano jioni, msemaji wa Ikulu Vincent...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Iranian state television on Tuesday afternoon urged people to remove WhatsApp from their smartphones, alleging without specific evidence that the messaging app gathered user information to send to...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mteule wa Madagascar, Jenerali Ruphin Fortunat Zafisambo, amelaani kile alichosema ni matumizi ya nguvu kupita kiasi ya wana Usalama na Waandamanaji, baada ya wiki tatu za Maandamano...
1 Reactions
4 Replies
329 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ