International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baada ya Serikali ya Rwanda kutoa Orodha ya Majina ya Watu 25 ya raia wanaodaiwa kuhusika na ugaidi pamoja na ufadhili wa makundi ya kigaidi. Orodha iliyoandaliwa na kuidhinishwa na Kamati ya...
2 Reactions
1 Replies
230 Views
Magaidi wa Hamas kama ilivyo kawaida yao wamevunja makubaliano kwa kuleta Maiti za watu 3 na mzoga wa mpalestina mmoja kitu ambacho ni utovu wa nidham Kwenye makubaliano ilitakiwq waachilie Maiti...
2 Reactions
21 Replies
830 Views
Maelfu ya watu wamejitokeza barabarani jijini Brussels, Ubelgiji, wakishiriki katika mgomo wa kitaifa kupinga mageuzi ya serikali na hatua za kupunguza matumizi, ambazo zimepelekea usafiri wa anga...
1 Reactions
3 Replies
274 Views
🇮🇱 Sasa mateka wetu Wapo nyumbani Kutoka kwa Kfar Aza, Nir Oz, na Nahal Oz - walichukuliwa kutoka kwa nyumba zao, wengine wakiwa wamevalia nguo za kulalia kutoka vitandani mwao. Mnamo Oktoba...
5 Reactions
95 Replies
2K Views
Mwaka huu pekee 7000 tayari wamechinjwa kisa imani yao Haya yanatekeleezwa na Boko Haram na mashambulizi ya makundi kama vile wanamgambo wa Fulani na ISIS-West Africa Province (ISWAP). Vikundi...
4 Reactions
25 Replies
649 Views
Kama magaidi wa Hamas wataendeleq kuzuilia maiti za wapendwa wetu basi Israel itarudi huko na kumalizia kazi iliyobakia ya kuwafuta magaidi hao
1 Reactions
3 Replies
197 Views
Waziri wa Ulinzi Israel Katz: amesema Sera ya Israel huko Gaza iko wazi ambazo ni- 1- Kuwarudisha mateka wote, walio hai na waliokufa nyumbani Israel. 2 - Kuwapoklonya silaha magaidi wa Hamas...
2 Reactions
2 Replies
322 Views
Aliyemsifia Netanyahu na Trump kuruhusu misaada ya chakula avunjwa mikono na miguu. Magaidi kwa sasa wanauana wao kwa wao na dunia wako kimya kabisa!!
3 Reactions
5 Replies
317 Views
Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio...
1 Reactions
3 Replies
232 Views
Kuna msemo wa wahenga mficha magonjwa kifo humuumbua. Msemo huo umedhibitiks leo. Mkuu wa Majeshi wa Houthis, Meja Jenerali Mohammed Abdul Karim Al-Ghamari, aliuawa katika shambulio la anga la...
2 Reactions
7 Replies
368 Views
Magaidi kadhaa waliokuwa na silaha waliviona vikosi vya IDF vinavyokaribia kufanya kazi katika eneo la Beit Lahia nyuma ya mstari wa njano, na kusababisha tishio la mara moja kwa askari. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
184 Views
Cameroon Yaani kwa mujibu wa wananchi waliofuatiilia wizi wa kura, waliojiandikisha kupiga kura serikali wameweka wapiga kura hewa na picha moja inayoonekana ya mpiga kura ni ya Mo Salah 😀...
5 Reactions
13 Replies
509 Views
Kiongozi wa mpito wa Mali, Jenerali Assimi Goïta, amewafukuza kazi maafisa waandamizi wa jeshi takriban kumi na wawili kwa tuhuma za kuhusika katika jaribio la mapinduzi lililoshindikana mwezi...
1 Reactions
5 Replies
287 Views
Wakuu ni siku ya tatu leo Madagascar hali si shwari kabisa,kumbuka jana Waziri wa nishati alishaliwa kichwa kunusuru malalamiko ya Wandaamanaji lakini bado haijasaidia kitu. Soma pia >> Gen Z...
5 Reactions
7 Replies
407 Views
Baada ya kuwa qatar na turkey wanamchekea chekea hamas kwa unafiki wao wa kuwatakia mema wana gaza kumbe wanafurahia ya hamas kufanya taharuki, wenyewe uae na saudi arabia wamekataa ujinga huo...
2 Reactions
3 Replies
228 Views
Afisa wa Uhusiano wa Umma wa Polisi, CSP Benjamin Hudeyin, amekanusha ripoti zinazodai kuwa Polisi walijaribu kutumia Mahakama kuzuia maandamano ya #FreeNnamdiKanuNow, akisema hawakuwahi...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Serikali ya Rwanda inayoongozwa na Rais Paul Kagame imetoa orodha ya majina 25 ya watu wanaotajwa kuwa wapinzani na magaidi wa taifa Katika orodha hiyo watu wengi waliotajwa ni waliokuwa...
2 Reactions
6 Replies
608 Views
Rais wa Lebanon Joseph Aoun anachapisha kwenye ukurasa wake rasmi maudhui ya hotuba ya Mbunge wa Lebanon Alain Aoun (mpwa wa Rais wa zamani Michel Aoun): Wakati umefika wa kumaliza mzozo na...
1 Reactions
4 Replies
243 Views
Idara mbalimbali za polisi Marekani zimepongeza na kuridhika na jinsi ,aandamano makubwa yaliyopewa jina la Hakuna Mfalme Marekani mahususi kupinga ukiukwaji wa katiba unaofanywa na rais nchi hiyo...
2 Reactions
5 Replies
308 Views
  • Featured
‎ Kikosi maalum cha Kijeshi nchini Madagascar cha 'CAPSAT' kimetangaza kuchukua madaraka, kikimwondoa madarakani Rais Andry Rajoelina, baada ya Wabunge katika Bunge la kitaifa kupiga kura ya...
3 Reactions
7 Replies
903 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…