Jeshi la anga la Israel limefanya shambulizi la kulipa kisasi katika kambi ya Jeshi la Syria na inasemekana wanajeshi watatu wa Syria na wanajeshi wa kigeni zaidi ya saba wameuawa kambi hiyo...
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amesema nchi yake ipo tayari kwa mazungumzo na nchi ya Iran. Lakini hawatataka kuwepo kwa condition ya aina yoyote kutoka Iran kwa ajili ya hayo mazungumzo.
Kundi la mawakili limeiomba mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC, kufungua kesi dhidi ya Umoja wa Ulaya kuhusiana na sera yake ya uhamiaji.
Wanahoji kuwa mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya...
Vyombo vya habari vya Korea Kusini hii leo vimeripoti kwamba Korea Kaskazini imemuua mjumbe wake maalumu kwa ajili ya Marekani Kim Hyok Chol kufuatia kushindwa kwa mkutano wa pili wa kilele kati...
Huyu ametajwa kama mlinzi wa kutisha zaidi duniani!! maana katia gear zoote za kivita mwilini kumlinda mutharika wakati anaapishwa!! muscles za kijeshi ndio moango mzima! duhh Afrika tutafika...
Kuna mengi yamesemwa kuhusu uhalamia wa PK na genge lake la uhalifu ndani na nje ya Afrika na UN report zimedhibitisha hilo ingawa PK mwenyewe na watu wake wamekuwa wakizipinga kwa jeuri kuwa ni...
Explosions and machine gunfire were heard in Sudan’s capital early Monday, and troops blocked roads in an apparent move against a sit-in camp where protesters have demanded an end to military...
Ni muendelezo wa kuwamaliza wapinzani na wapingaji wakubwa wa Kagame.
Malipizi haya ya kisiasa yana maslahi gani kwa taifa la Rwanda?
------------
Nkuruziza is the second-high profile person to...
Baada ya masaa 24 tu Baada ya kutembeza kichapo huko Syria Israel imepiga tena na kuharibu maghara ya silaha ya maadui zake na at least mtu mmoja kauwawa katika uwanja wa ndege mjini Homs...
3 Juni 201
Vikosi vya ulinzi nchini Sudan vimetumia nguvu kujaribu kuwatawanya waandamanaji waliokita kambi nje ya makao makuu ya jeshi jijini Khartoum.
Kwa mujibu wa waandamanaji hao, milio ya...
Watu 10 wameuawa na 20 wamejeruhiwa siku ya Jumamosi katika shambulio la bomu la kujitoa muhanga mjini Raqa, ngome ya zamani ya wanamgambo wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS kaskazini mwa...
Online retailer, Jumia, engaged in massive fraudulent practices in a bid to list in the US stock market, a new research has revealed.
In a 12-page report published by Citron Research, a stock...
Wote wanaotuma maombi ya kupata Visa kueleka nchini Marekani sasa watahitajika kutoa majina yao ya mitandao ya kijamii, anwani zao na nambari za simu katika sheria mpya zilizowekwa.
Kulingana na...
https://www.bbc.co.uk/news/amp/world-us-canada-48467119
R Kelly anaweza kufungwa miaka 30
Amekutwa na hatia ya kulala na watoto wa umri kati ya miaka 13-16
Juhudi za Marekani za kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta; ukweli au madai tu?!
Jun 01, 2019 04:22 UTC
Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuiondoa nchi yake katika mapatano ya kimataifa...
China yapuuzilia mbali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Jun 01, 2019 07:51 UTC
Serikali ya China imepuuzilia mbali vikwazo vya mafuta vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Tehran na imeanza...
Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Iran kwamba itaharibiwa iwapo vita vitazuka katika ya mataifa hayo mawili.
''Iwapo Iran inataka kupigana , huo nduo utakuwa mwisho rasmi wa taifa hilo'' ...
Waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia Ibrahim al-Assaf ameyataka mataifa ya Kiislamu kukabiliana kwa nguvu zote na aina zote za mashambulizi ya hivi karibuni katika Ghuba ya Uajemi.
Marekani na...