Mlinzi wa Rais Malawi mmemuona?

Maarifa

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
4,568
2,911
Huyu ametajwa kama mlinzi wa kutisha zaidi duniani!! maana katia gear zoote za kivita mwilini kumlinda mutharika wakati anaapishwa!! muscles za kijeshi ndio moango mzima! duhh Afrika tutafika kweli?

malawi bodyguard.jpg

14D9D9EE-DDF9-410C-B8CD-AA97482B3688.jpeg

The man was standing guard on top of a pick up truck as Malawi’s President Peter Mutharika was sworn in for a second five-year term yesterday.

The 78-year-old Mutharika began his acceptance speech by declaring “I am not dead!” to address persistent rumours of his demise ahead of the vote.

He added that “it is time to move on and develop the country”.

Mutharika narrowly won re-election in the southern African nation with 38 per cent of the votes in last week’s poll, while main opposition leader Lazarus Chakwera received 35 per cent.
 
Hivi unafahamu wazungu walindwaje au ndo ukoloni umekuathiri ubongo?
Huyu ametajwa kama mlinzi wa kutisha zaidi duniani!! maana katia gear zoote za kivita mwilini kumlinda mutharika wakati anaapishwa!! muscles za kijeshi ndio moango mzima! duhh Afrika tutafika kweli?

View attachment 1112675

View attachment 1112677

The man was standing guard on top of a pick up truck as Malawi’s President Peter Mutharika was sworn in for a second five-year term yesterday.

The 78-year-old Mutharika began his acceptance speech by declaring “I am not dead!” to address persistent rumours of his demise ahead of the vote.

He added that “it is time to move on and develop the country”.

Mutharika narrowly won re-election in the southern African nation with 38 per cent of the votes in last week’s poll, while main opposition leader Lazarus Chakwera received 35 per cent.
 
Huwa huna dogo?
shida ni hizo gears za kujilinda wakati hali si hali! hata maisha ya kawaida maskini aweza kulala nyumba ya tembe mlango wazi no body cares! lakini kama una ngawira ma mahekalu huwezi lala mlango wazi utatembelewa!!
 
Mbwembwe nyingi, mtu akitaka kuassasinate mtu afrika ni fasta sana, security yetu ndogo, one sniper president yupo chini na hutojua hata alitokea wapi, surveillance system hatuna. Hapo anatisha vilaza na masikini tu.
 
shida ni hizo gears za kujilinda wakati hali si hali! hata maisha ya kawaida maskini aweza kulala nyumba ya tembe mlango wazi no body cares! lakini kama una ngawira ma mahekalu huwezi lala mlango wazi utatembelewa!!
Kwani wewe ni barbarosa? au una Id nyingi?
 
hapo angekuwa ni mlinzi wa TRUMP hadi vinyweleo vya makalio vingekusimama ungemsifia mpaka basi... sheeeenzi type

Africa hatuendelei kwa sababu

-hatupendani

-hatujikubali

-kulamba matako ya wazungu (kama mtoa mada)

-Majungu

-Unafiki

-Chuki

-Wivu

-Ubinafsi

-Uroho

-Upuuzi (kama wa mtoa mada)

NI WIVU TU
 
Attachments

  • whblog_0310.jpg
    whblog_0310.jpg
    32.9 KB · Views: 36
  • pict41.jpg
    pict41.jpg
    96 KB · Views: 39
  • 03548292.jpg
    03548292.jpg
    81.6 KB · Views: 45
  • BeFunky-Collage16.jpg
    BeFunky-Collage16.jpg
    47.6 KB · Views: 35
  • obama-surrounded-by-armed-guards-of-secret-service.png
    obama-surrounded-by-armed-guards-of-secret-service.png
    102.1 KB · Views: 46
Back
Top Bottom