R Kelly has been charged with more 11

R Kelly has been charged with more 11

Kama ni hivyo mbona hua hafungwi?Hizi kesi zimekua nyingi lakin zimapoishia hazijulikani
 

R Kelly anaweza kufungwa miaka 30
Amekutwa na hatia ya kulala na watoto wa umri kati ya miaka 13-16
duh!. reputation yake yote aliyoitengeneza miaka dahali alipokuwa kijana inachafuka uzeeni. pole yake aisee.
 
duh!. reputation yake yote aliyoitengeneza miaka dahali alipokuwa kijana inachafuliwa uzeeni. pole yake aisee.
Too sad, nimemkumbuka Luck Dube- Teach the world
It takes millions of year to build reputation but takes one stupid fool to destroy everything you have done.
 
Kuna baadhi ya mabinti wakubwa wamehojiwa na hali inaonekana sio nzuri kwa mzee R. Kelly. Jamaa atahitaji lawyers makini sana kupangua hizo charges. Itakuwa case ya hao washtaki kuproduce unshakable evidence. Lawyers wa R Kelly wakibugi step tu, jamaa ataozea jela.
 
Daah hao ni wale waliokua wanajipendekeza...

Bahati yake Aaliyaah alishafariki, angekua na kesi ya kujibu pia..


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom