Sio kwamba hawezi kuingia vita na Irani....... ukweli nikwamba USA hawezi kushida vita ya Irani akiwa peke yake pia na uchumi wake hawezi kuuweka rehani kwa kuingia vitaniUSA hawezi kurudia ya Iraq kwani anajua hasara alizozipata huko akiwa anategemea ataiba sana kufidia matumizi yote ya kijeshi lakini mwisho wa siku ilikuwa ni hasara tupu.
Wapo wasioijua vita watabisha kwa mapenzi tu lakini kiuhalisia USA hawawezi kuanzisha vita tena kwa sasa bali vita ya sasa ni ya kiuchumi tu na sio silaha
Kweli kabisa marekani hajawahi kushinda vita yeyote bila msaada hakunaSio kwamba hawezi kuingia vita na Irani....... ukweli nikwamba USA hawezi kushida vita ya Irani akiwa peke yake pia na uchumi wake hawezi kuuweka rehani kwa kuingia vitani
Walikufa wajeda wakimarekani Iraq wengi sana.USA hawezi kurudia ya Iraq kwani anajua hasara alizozipata huko akiwa anategemea ataiba sana kufidia matumizi yote ya kijeshi lakini mwisho wa siku ilikuwa ni hasara tupu.
Wapo wasioijua vita watabisha kwa mapenzi tu lakini kiuhalisia USA hawawezi kuanzisha vita tena kwa sasa bali vita ya sasa ni ya kiuchumi tu na sio silaha
Tena kwa wakati hu USA ni dhaifu kuliko siku zote hana mahusiano mazuri na Jeshi la NATO haliwezi kumuuga mkono, Utruki Iraq hawako tayari kwa vita yoyote kwa upande wa USA.....Vladimir Putin anasubiria tu Marikani kukosea ili adominate Syria Lebanon pamoja nakujiongezea eneo la Ukraini na Georgia kirahisi bila vitisho cha vita....kumbuka China iko full na Marikani kwenye vita ya uchumu akijiingiza kwenye vita China itakua uchumi namba moja duniani atadominate UN na sera zake zitapewe kipaumbele, Uingereza ana internal problems za brexite hawezi kuingia vitani na Marikani.....kwahiyo it's impossible for USA to go to war not with Irani only, hata ingekua Tz hawezi kushinda au kuanzishaKweli kabisa marekani hajawahi kushinda vita yeyote bila msaada hakuna
Hata wafia US wanajua hahaaha
Mkuu niliondoka siku kadhaa iraq na niliyoyaona baadae ni ya kusikitisha sana maana wengi wa wajeda walizikwa ujerumani na hawakurudishwa USA kwa kuhofia wananchiWalikufa wajeda wakimarekani Iraq wengi sana.
Ilikuwa tabu sana kwa marekani wamepoteza roho za vijana nyingi sana.kuna mmoja alijipiga risasi mjeshi alietoka vitani.politics mbaya wanakwambia" Do what the order said don't ask why?" .yaani ata raia waliuawa wengi coz magaidi walikuw wanajichanganya na raia kisha wanachinjwa wana usaMkuu niliondoka siku kadhaa iraq na niliyoyaona baadae ni ya kusikitisha sana maana wengi wa wajeda walizikwa ujerumani na hawakurudishwa USA kwa kuhofia wananchi
Yaani ndege zilibeba maiti nyingi sana na zile chemicals walizotumia zimewaathiri sana wajeda wengi na wengine kujiua, na maradhi yasiotibika
Vita mbaya sana mkuu nayajua sana na nimepitia ila siku zilikuwa hazijafika tuIlikuwa tabu sana kwa marekani wamepoteza roho za vijana nyingi sana.kuna mmoja alijipiga risasi mjeshi alietoka vitani.politics mbaya wanakwambia" Do what the order said don't ask why?" .yaani ata raia waliuawa wengi coz magaidi walikuw wanajichanganya na raia kisha wanachinjwa wana usa
Comments obviously issued under the influence of Cannabis sativa.Tena kwa wakati hu USA ni dhaifu kuliko siku zote hana mahusiano mazuri na Jeshi la NATO haliwezi kumuuga mkono, Utruki Iraq hawako tayari kwa vita yoyote kwa upande wa USA.....Vladimir Putin anasubiria tu Marikani kukosea ili adominate Syria Lebanon pamoja nakujiongezea eneo la Ukraini na Georgia kirahisi bila vitisho cha vita....kumbuka China iko full na Marikani kwenye vita ya uchumu akijiingiza kwenye vita China itakua uchumi namba moja duniani atadominate UN na sera zake zitapewe kipaumbele, Uingereza ana internal problems za brexite hawezi kuingia vitani na Marikani.....kwahiyo it's impossible for USA to go to war not with Irani only, hata ingekua Tz hawezi kushinda au kuanzisha
Marekani mnaichezea sio!!? Xawa tu lkn hamtoamini kitachotokeaTena kwa wakati hu USA ni dhaifu kuliko siku zote hana mahusiano mazuri na Jeshi la NATO haliwezi kumuuga mkono, Utruki Iraq hawako tayari kwa vita yoyote kwa upande wa USA.....Vladimir Putin anasubiria tu Marikani kukosea ili adominate Syria Lebanon pamoja nakujiongezea eneo la Ukraini na Georgia kirahisi bila vitisho cha vita....kumbuka China iko full na Marikani kwenye vita ya uchumu akijiingiza kwenye vita China itakua uchumi namba moja duniani atadominate UN na sera zake zitapewe kipaumbele, Uingereza ana internal problems za brexite hawezi kuingia vitani na Marikani.....kwahiyo it's impossible for USA to go to war not with Irani only, hata ingekua Tz hawezi kushinda au kuanzisha
Duuuh!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Comments obviously issued under the influence of Cannabis sativa.
Mwambie Asogee Iran kama kweli dume, hio kupiga Syria si anaua tu wawili watatu kama vile Iran anavyo mua kila kukicha kwa kutimia Hamas na Jihad.Mbona ISRAEL inawatandika wairan huko Syria USA atashindwa nn
Ndoto za mchana hizo Isreal hauwezi kufanya ujinga kuichokiza Iran hata siku moja anamjua vizuri hazoborah military wing ya Iran inamsumbua vyakutosha hawezi kupambana kwenye two battle field wa Shia wana umoja sio kama wa Sunni wa SaudiaMbona ISRAEL inawatandika wairan huko Syria USA atashindwa nn