Israel yaua Wairan tena Syria

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653

Jeshi la anga la Israel limefanya shambulizi la kulipa kisasi katika kambi ya Jeshi la Syria na inasemekana wanajeshi watatu wa Syria na wanajeshi wa kigeni zaidi ya saba wameuawa kambi hiyo yasemekana ilirusha makombora mawili kuelekea upande wa Israel ambapo kombora moja liliangukia upande wa Syria na lingine eneo wazi nchini Israel.. Jeshi la ulinzi la Israel haikuyatungua hayo makombora baada ya kuyapigia hesabu na kuona hayana madhara .. Kanuni za Israel huwa lazima ajibu ndio ilivyotokea... wiki iliyopita Israel alilipua kambi ya Iran na washirika wake na Jeshi la Syria ilijaribu kuzuia baadhi ya makombora lakini kambi ilishavunjwa na kulipuliwa... so yasemekana Iran ilikuwa ikilipa kisasi wiki moja baada kwa Israel na vikombora vilivyofail.. Shambulizi la wiki iliyopolita Iran pia ilipoteza wanajeshi wake pamoja na mitambo ya kuzuia ndege nayo ililipuliwa baada ya kujaribu kuzilipua ndege za Israel. So vilio na maombolezo vinaendelea huko Syria na Iran... tusubiri tuone nini kitafuatia after.

MainAll NewsMiddle EastReport: 7 'foreign fighters' killed in Israeli strikes in Syria

Report: 7 'foreign fighters' killed in Israeli strikes in Syria

Monitor says 3 Syrian soldiers, 7 'foreign fighters' of unspecified nationality killed in Israeli air strikes close to Damascus.

AFP and Arutz Sheva Staff, 02/06/19 12:09

Strike in Syria

Reuters

Israeli strikes targeting Syria on Sunday left 10 people dead, including three Syrian soldiers and seven foreign fighters, a Syrian opposition organization based in Britain said.

They were killed in missile strikes close the capital Damascus where Syrian troops, Iranian forces and Hezbollah fighters are stationed, the Syrian Observatory for Human Rights said.

It did not specify the nationalities of the foreign fighters killed.

According to the IDF, on Saturday night "two rockets were launched from Syria towards Mount Hermon in the northern Golan Heights. One of the rockets was located within Israeli territory."

"In response, IDF fighter jets and attack helicopters struck a number of military targetsbelonging to the Syrian Armed Forces. Amongst the targets were two Syrian artillery batteries, a number of observation and intelligence posts on the Golan Heights, and an SA-2 aerial defense battery.

"During the strikes, an Israeli aerial defense system was activated due to Syrian anti-aircraft shooting. None of the rockets exploded in Israel."

The IDF also emphasized that it "holds the Syrian regime accountable for every action taken against Israel and will firmly operate against any activity from within Syrian territory against Israel. The IDF will continue to operate against any attempt to harm Israeli civilians and territory, and is committed to protect Israeli civilians."
 
"Syria na lingine eneo wazi nchini Israel.. Jeshi la ulinzi la Israel haikuyatungua hayo makombora baada ya kuyapigia hesabu na kuona hayana madhara"

Huwa ni waongo sana nyie iron dome inafeli mnadai eti walipiga mahesabu mkawadanganye wajinga wenzenu
 
Ningekuwa mie ndio Assad ningekaa chini na waasi tukawekana sawa kisha fukuza Iranian fukuza Russian weka urafiki na jirani zako maisha ya ugomvi wa kijinga uishe.

Eneo la wazi litizame mwenyewe kimsboy
131230.jpg
 
Attachments

  • hermon0206.mp4
    1.4 MB

Mleta habari ni mshabiki wa Israel. Mihemuko na upambe wa kijinga
 
"Syria na lingine eneo wazi nchini Israel.. Jeshi la ulinzi la Israel haikuyatungua hayo makombora baada ya kuyapigia hesabu na kuona hayana madhara"

Huwa ni waongo sana nyie iron dome inafeli mnadai eti walipiga mahesabu mkawadanganye wajinga wenzenu
Ahahahahaha wanaleta ushabiki maandazi
 
"Syria na lingine eneo wazi nchini Israel.. Jeshi la ulinzi la Israel haikuyatungua hayo makombora baada ya kuyapigia hesabu na kuona hayana madhara"

Huwa ni waongo sana nyie iron dome inafeli mnadai eti walipiga mahesabu mkawadanganye wajinga wenzenu
ww ukijikinga na mwamvuli unazuia mvua isinyeshe kwingine ama unajizuia usinyeshewe? mfumo wa kujilinda na makombora lengo kubwa ni kuzuia uharibifu kwenye miundombinu muhimu na maisha ya watu

ndio maana mamia ya makombora ya hamas yaliyorushwa majuzi ilisababisha 'negligible' hasara
 
Mleta mada habari yako iko kichimvi sana na una mahaba na wa yahudi hapa tunasema hakuna habari linganifu!!
 
Back
Top Bottom