International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hatutakubali kushirikiana na UNRWA - shirika ambalo wafanyakazi wake walishiriki katika mauaji ya Oct 07,2023 kwa kuua watu wetu na wengine kuwateka nyara. Ni jambo la kutisha na la aibu kwamba...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Smotrich kuhusu uhalalishaji wa Saudia: 'Hapana asante, endelea kupanda ngamia' Waziri wa Fedha Bezalel Smotrich anasema kwamba hatakubali makubaliano ya kuhalalisha na Saudi Arabia ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Ni swali TU najiuliza Tuongee TU kiuhalisia bila ushabiki wa upande wowote waarabu wangepewa uwezo wa maarfa na silaha kama mataifa ya magharibi Dunia ingekuwaje ?
7 Reactions
46 Replies
1K Views
Elon Musk amewatolea povu waziri wa uchukuzi wa Marekani Sean Duffy na serikali ya Trump kufuatia mpango kutaka kuiweka NASA chini ya waziri wa uchukuzi au kama mojawapo ya wizara tofauti na...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Islamic Jihad imethibitisha kuwa maafisa wake wakuu 15 waliangamizwa na majeshi hodari ya Israel hivyo kuashiria pigo kubwa kwa uongozi wa kundi hilo huko Gaza kwa sasa vita vimeisha na wao...
0 Reactions
6 Replies
276 Views
Afisa Mwandamizi wa Houthi Amejiondoa kutoka kwa safu ya makamanda wa Houthi Kamanda wa Kikosi cha 10 cha Houthi "Samad," Amid Salah Moqbel Al-Salahi, alitoa wito kwa askari wake "kurejea kwenye...
0 Reactions
3 Replies
238 Views
Exclusive: In an open letter, Israeli ex-officials, artists and intellectuals say ‘unconscionable’ actions in Gaza amount to genocide Joseph Gedeon in Washington Wed 22 Oct 2025 12.00 CEST Share...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
BREAKING: Ujerumani imesaini mkataba wa kombora wa Euro BILIONI 2 na Israel. Wakati wengine wakikabiliwa la kuitenga Israel, Ujerumani inanunua makombora ya Spike ya RAFAEL kwa idadi kubwa. Ulaya...
1 Reactions
5 Replies
324 Views
Baada ya Magaidi wa Hamas kushindwa kwenye vita waliyoianzisha wao wenyewe Oct 07,2023 sasa hivi wamewageukia raia wasio na hatia kwa kuwapiga na kuwaua kwa njia za kutisha kabisa. Ukiondoa...
0 Reactions
12 Replies
376 Views
Wakiasi dhidi ya Waziri Mkuu, MKs walipitisha usomaji wa awali wa mswada wa upanuzi wa Ukanda wa Magharibi Kikao katika ukumbi wa kusanyiko wa Knesset huko Jerusalem mnamo Oktoba 22, 2025 (Chaim...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii ametimiza miaka 76 toka kuzaliwa. Ametimiza na anaendelea kutimiza kusudio lake hapa duniani kwa kuwanyoosha magaidi na maadui wa Israel popote...
4 Reactions
33 Replies
668 Views
Tovuti ya Yemeni "Defense Line," ambayo inapinga Houthis, iliripoti usiku kucha ikinukuu vyanzo vyake kwamba Waziri wa Ulinzi wa Houthi, Mohammed Nasser al-Atifi, amelazwa hospitalini akiwa katika...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Kanisa Katoliki nchini Cameroon limetoa wito wa utulivu huku kukiwa na hofu ya kutokea machafuko, wakati nchi hiyo ikisubiri matokeo rasmi ya uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025. Kanisa...
1 Reactions
0 Replies
138 Views
Nimekuwa nikitazama picha za mazishi ya Raila na nimeiona wakiweka mwili wake wazi na hadharani kabisa bila kizuizi chochote. Sielewi kwa nini, lakini kwa mimi binafsi sikubaliani kabisa na...
10 Reactions
144 Replies
3K Views
Baada ya uchaguzi wa urais nchini Cameroon uliofanyika Oktoba 12, 2025 Tume ya Kitaifa ya Kuhesabu Kura imetoa matokeo ya awali yanayomuonyesha rais aliyeko madarakani, Paul Biya, akiongoza kwa...
0 Reactions
1 Replies
226 Views
Hamas ni asasi ya mkakati kama Alqaida. Hamas ni kama Uislamu ulivyoundwa na Vatican kwa mkakati maalum. Kuna muda Uislamu uliasi ndivyo Hamas ilivyo asi. Qatar kulingana na mkataba ndio mtoa pesa...
9 Reactions
67 Replies
2K Views
Tafiti iliyofanyika nchini Marekani ionyesha kwa asilimia kubwa Vijana wanatumia akili Unde ( Artificial Intelligence AI) Kwa ushauri wa Mahusiano, kama rafiki wa karibu zaidi ya Uhalisia na...
3 Reactions
7 Replies
863 Views
JD Vance yuko njiani kuelekea kituo cha kijeshi cha Marekani huko Kiryat Gat,Israel.
1 Reactions
4 Replies
230 Views
Rais wa Marekani amewajibu waandamanaji wa Hakuna Wafalme Marekani kwa kuposti video akiwa ndani ya ndege akiwanyea mavi waandamanaji waliokuwa katika maandamano hayo.
13 Reactions
39 Replies
1K Views
Mgombea urais wa upinzani nchini Cameroon, Issa Tchiroma Bakary, ametangaza ushindi wake katika uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025 akimtaka Rais Paul Biya akubali matokeo na “aiheshimu...
0 Reactions
3 Replies
445 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…